Mabilionea wenye Private Jets Tanzania

blessings

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
6,983
6,237
Tafadhali tufahamishane Matajiri wenye Private Jet/Chopper nchini Tanzania ili kuweka rekodi sawa, mpaka sasa nataarifiwa wapo saba tu nao ni;
1. Mo Dewji
2. Said Bakhressa
3. Diamond Platinumz
4. Prof. Rwegoshora, PhD - huyu yupo Harvard University - USA
5. Dr. Rweikiza, PhD (Oxford University, UK)
6. Mhe. Ndesamburo - Former MP, Moshi Urban
7. Baba Askofu Gwajima.
Mwenye list zaidi ya hii tafadhali tufahamishane;
 
Tafadhali tufahamishane Matajiri wenye Private Jet nchini Tanzania ili kuweka rekodi sawa, mpaka sasa nataarifiwa wapo watano tu nao ni;
1. Mo Dewji
2. Said Bakhressa
3. Diamond Platinumz
4. Prof. Rwegoshora, PhD - huyu yupo Harvard University - USA
5. Dr. Rweikiza, PhD (Oxford University, UK)
Mwenye list zaidi ya hii tafadhali tufahamishane;
Gwajima Ana chopa
Ndesa Ana chopa
 
sasa najiuliza hao UKAWA wanasema eti uchumi umeyumba takwimu wanazipata wapi?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Tafadhali tufahamishane Matajiri wenye Private Jet/Chopper nchini Tanzania ili kuweka rekodi sawa, mpaka sasa nataarifiwa wapo saba tu nao ni;
1. Mo Dewji
2. Said Bakhressa
3. Diamond Platinumz
4. Prof. Rwegoshora, PhD - huyu yupo Harvard University - USA
5. Dr. Rweikiza, PhD (Oxford University, UK)
6. Mhe. Ndesamburo - Former MP, Moshi Urban
7. Baba Askofu Gwajima.
Mwenye list zaidi ya hii tafadhali tufahamishane;
Mshana Jr. ya kwake ni maalumu kwa safar za usiku tu.
 
Back
Top Bottom