Mabilionea wakubwa 20 waliojitengengenezea utajiri wao baada ya kuacha Chuo Kikuu

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,738
155,424

Elimu ni ufunguo wa maisha, Elimu ni bahari, Elimu ni nguvu. Elimu ina nguvu na uwezo mkubwa sa a wa kubadilisha maisha ya watu.​

Lakini pia sii kila msomi au mtu mwenye elimu kubwa ana mafanikio makubwa au utajiri mkubwa au ametimiza ndoto zake. Elimu haijasaidia kutajirisha watu wote wenye nayo.​

Kukiwa na maelfu wa wasomi waluofanya mambo makubwa duniani kupitia ugunduzi wao, pia kuna wale walioachana na elimu ya juuu kisha wakaishangaza dunia.​

Kwenye hii oradea utakutana na majina ya watu maarufu walioacha shule na wakawa maarufu kwenye sanaa, wagunduzi na wafanyabiashara wakubwa..

20. Steve Jobs​

1638668955116.png
Miingoni mwa majina yanayotambulika sana kwenye historia ya teknolojia ni la Steve Jobs.


Huyu jamaa alitolewa zawadi na mama yake mzazi kwa watu wengine ili wamlee na kumfanya mwana wao baada ya watu hao kumhakikishia kwamba wangemsomesha Steve Jobs.

Wazazi wapya wa Jobs walikuwa na uwezo wa kumlipia Jobs ada ya chuo na wakampeleka Reed College kilichopo Portland, Oregon. Hata hivyo, wakaamua kuitumia ile pesa waliyopanga kulipia ada kufanyia mambo mengine.

Jobs aliacha chuo mwaka wake wa kwanza mnamo mwaka 1972 lakini inasadakika aliendelea kuhudhuria somo lake alilokuwa akilipendenda la ELIMU YA MWANDUKO (CALLIGRAPHY) huku akiishi kwenye chumba cha bweni la rafiki yake.

Jobs ameshawahi kunukuliwa akisema uzuri wa miandiko iliyomo kwenye simu za iPhone inatokana na elimu aliyoipata chuoni licha ya kwamba hakuhitimu.

Hata bila ya kuwa na degree, Jobs alionyesha kuwa na mbegu ya ujasiriamali ndani yake, ambapo baadaye akaja kuwa ni mwanzilishi mwenza wa kampuni ya Apple Inc., kampuni maarufu ya teknolojia duniani. Pia Jobs alikuwa ni mmiliki wa kampuni ya Pixar, ila kwa bahati mbaya NGULI huyu maarufu alifariki kwa kansa ya kongosho mnamo mwaka 2011 akiwa na umri wa miaka 56 akiacha nyuma utajiri unaofikia dola za Marekani 10.5 billion kwa mkewe.

Unaweza kuona filamu nyingi sana zikiyaelezea maisha yake, ikiwemo ili iliyotoka mwaka 2013 inayoitwa ‘Jobs’ na nyingine inayoitwa Steve Jobs iliyotoka 2015.

19. Bill Gates​

1638673746010.png


Gates anajulikana kama ni mwanzilishi wa makampuni maarufu ulimwenguni. Hata hivyo, kabla ya kuwa bilionea alipata alama 1590 kwenye mtihani wake wa SATs ambazo ni alama za juu sana na akachaguliwa kujiunga na digrii ya sheria kwenye chuo kikuu cha wa Harvard University. Gates aliacha chuo miaka miwili baadaye na akaingia rasmi kwenhe biashara akiwa na mwenzake. Uamuzi huo ulikuwa ni mzuri sana aliowahi kuufanya katika maisha yake. Biashara aliyoianza ni kutengeneza programs za kompyuta kupitia kampuni ya Microsoft. Programs zao ndio zinatumika kwenye maofisi mengi zaidi duniani.

Kampuni ya Microsoft pia ni watengenezaji maarufu wa michezo ya kompyuta ambapo wana michezo yao mingi inayopatikana kwenye kifaa kiitwacho XBOX.

Kwa mujibu wa jarida la Harvard Crimson, Gates ndiye mwanafunzi aliyeacha chuo mwenye mafanikio zaidi kuliko wote walioacha chuo Harvard University.
Pia Gates anatajwa kwamba ni mtoaji sana kwani kupitia mfuko wake na mtalaka wake Melinda Gates walitoa misaada ya zaidi ya dola za Marekani 61 billion.



18. Mark Zuckerberg​

1638675237577.png

Huwenda ikawa kazi ngumu sanankukumbuka maisha yalivyokuwa kabla ya Facebook haijakuwepo. Kabla ya uwepo wa mtandao wa kijamii wa Facebook Zuckerberg alikuwa ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Harvard. Yeye na maswhiba zake watatu wa chuoni wakaja na wazo la kuyengeneza mtandao utakao waunganisha wanafunzi wa chuo Chao na vyuo vingine.

mwaka 2005, Zuckerberg aliacha chuo na kuanzisha rasmi kampuni ya kibiashara huko Silicon Valley.


Zuckerberg sio tu ana mafanikio kwenye kutengeneza programs za kompyuta bali pia ni mfanyabiashara mkubwa, Mwenyekiti wa kampuni na CEO mwenye utajiri wa zaidi ya $17.5 billion. Uamuzi wake wa kuacha chuo na kujikita zaidi kuitanua Facebook kila sehemu duniani sasa unamlipa mabilioni ambayo asingeyapata kamwe kwa kuahiriwa. Facebook imekuwa ni sehemu kubwa ya mwanadamu wa leo. Watalaam wa taking wanasema kuna zaidi ya watumiaji 2.89 bilioni wa Facebook duniani kote.



17. Michael Dell​

1638676066049.png
@nguli mwingine maarufu ambaye ametusua sana kwenye ulimwengu wa teknolojia na alikimbia umande si mwingine ila Michael Dell. Dell alikuwa na mwamko sana na biashara tangu akiwa chuo ambapo alikuwa akiuza cd za upgrage za kompyuta mbalimbali akiwa University of Texas na hadi kufikia kupata leseni ya uwakala ambapo aliweza kushindana kwa ajili ya tenda mbalimbali huko Texas kama yafanyavyo makumpuni mengine makubwa.


Ndipo Dell alipong'amua kuwa maisha ya taaluma hayakuwa kwa ajili yake, akaomba kwa wazazi wake wamkubalie kuacha chuo akiwa na umri wa miaka 19 tu. Wazazi wake hawakufurahishwa na wazo lake hilo ila wakamruhusu kwa masharti kwamba lazima biashara yake itengeneze faida nzuri sana kabla majira ya joto (Summer) hayajamalizika.

Wazazi wake walimsaidia kwenye wazo lake la biashara na biashara ikashamiri kwelikweli. Dell akawa mfanyabiashara mkubwa. Computer za Dell ni maarufu duniani kote na Dell ni jina linalotambulika sana kwenye ulimwengu wa teknolojia.
Bwana Dell yeye binafsi ni CEO aliyedumu kwa muda mrefu zaidi kwenye tasnia ya teknolojia huku akiwa amejikusanyia utajiri wa dola za Marekani 15 billion .



16. Lawrence Ellison​

1638679225132.png


Ellison huenda lisiwe jina maarufu kwenye oradha hii ninayokuletea. Lakini software developer and businessman wanamtambua na kumheshimu sana kwani ni mtu wa saba kwa utajiri nchini Marekani🇺🇸 na wa nane duniani kote. Ellison amesoma katika chuo cha University of Illinois at Urbana-Champaign, masomo ya awali ya tiba ambapo alikuwa na matarajio ya kuwa daktari baadae. Akiwa chuoni hapo ameshawahi kupata tuzo ya mwanafunzi bora wa mwaka, hata hivyo kujana huyu aliacha chuo kabla ya kufanya mitihani yake ya mwisho baada ya kufiwa na mama yake mlezi.

Akajaribu kurudi tena chuo, wakati huu University of Chicago, lakini akapiga tena chini baada ya muhula mmoja tu.


Chuo hakuandikiwa yeye na Mungu ni mkubwa, tena sio Athumani wala Newton Gotti jamaa akatusua. Ellison daima alikuwa mwehu wa kompyuta, huku akivutiwa zaidi na kampuni ya IBM ambapo alishiri kuanzisha kampuni ya Oracle Corporation. Tangu hapo mkimbia umande huyu akathibitika kuwa ni billionaire na akapata washindani wengi sana.

gwiji huyu pia anajulikana kwa tabia yake ya kununua magari ya kifahari na hata amewahi kutokea kwenye sinema ya Marvel kwenye movie “Iron Man 2.” pia ana timu yake binafsi ya mashindano ya mbio za majahazi. Utajiri wake unafikia kiasi cha $112 billion.



shutterstock_520314613.jpg


15. Evan Williams​

1638679383493.png

Kwenye zama na nyakati hizi ni dhahiri kwamba utajiri mkubwa uko kwenye ulingo wa teknolojia kama alivyopata kusema Mentor wangu na Guru wangu wa technology Maxence Melo kwenye moja ya nyuzi zake zilizopata wasomaji wengi sana.

Williams alijua kuwa anataka kufanya kazi za kiteknolojia kabla kazi hizi hazijawa lulu. Alikulia shambani kijijini kabisa huko Clarks, Nebraska, lakini daima hakuridhika. Alitaka kuwa tembo licha ya kwamba alikuwa ni kasungura pori kadogo tu.

Kwanza, Williams alihudhuria University of Nebraska, Lincoln kwa semesters tatu kabla hajaingia kwenye ndoto yake ya ubilionea.

Williams alifanya kazi kwa kujitolea kama software programmer kwenye kampuni ya Hewlett-Packard (HP) na Intel kabla hajapata kazi Google (Wito wangu kwa madogo jobless, jitolee.... usidai hata nauli, iwapo tu una kipaji, utafika mbali sana. Boss wako asipoona kipaji chako kuna mdau atakiona)

Si haba, kwa kuwa Williams alitaka zaidi, hakubaki kiboya kwenye search engine kubwa kabisa duniani, alijiongeza. Hakutaka kukaa Google milele. Mshikaji akaanzisha mdude "BLOG" na akaanzisha jina jipya "blogger" kama tunavyolijua leo.

Williams alianzisha mitandao mahiri ambayo leo ni maarufu Blogger na Medium. Pia hizi BLIG twazionazo leo ni matokeo ya mawazo yake.
Unaambiwa jamaa alijaribu mambinu kibao ili kupata software ndogo zaidi hadi ikapatikana software hii ya blogging inayotumika leo.

NGULI huyu na wenzake ndio waanzilishi wa TWEETER. MSHIKAJI ana kiasi cha $2.2 billion.


14. Ty Warner​

To heck with the millionaires; let’s keep discussing college dropouts that become billionaires. For a short span in the ’90s, Ty Inc’s Beanie Babies were all the rage (via MoneyInc). Everyone scrambled to find the rarest of these creatures. H. Ty Warner created the line of stuffed toys that have “beans” instead of traditional stuffing

Advertisement

like other toys. However, before all of that craze, Warner was sent to military school at 15 years old. He later began his studies at Kalamazoo College but could not afford his tuition and dropped out. Warner would even try enrolling in the military, but they considered him unfit to serve because of his hearing loss.

He sold encyclopedias and worked as a valet before selling stuffed animals for Dakin’s now-defunct toy company. Warner would later start Ty Inc. in 1986 and then created the iconic Beanie Baby in 1993. He even earned $700,000 in just one year from the little guys (via MoneyInc). Warner now owns several hotels, including the Four Season in New York. He’s estimated to be worth about $2.6 billion, which is quite good for a college dropout.

13. John Mackey​

Mackey is one of the richest people who dropped out of college, but you may not recognize his name. You’ve probably heard of his famous stores. Mackey developed a new relationship with the food he was eating when he was 23. He discovered the premise and health benefits of a vegetable-based diet when he moved into a vegetarian co-op. This heath nut studied religion and philosophy at the University of Texas but dropped out. He thought the regular classes were boring.

Mackey borrowed $45,000 and started a health food store called SaferWay in downtown Austin (via CNBC). He knew that there was a market and a future for a healthier way of eating (via Esquire). It turned out that others also felt the same way, and the grocery store business was thriving. The company grew and then became the organic grocery store chain Whole Foods. In 2017, Mackey sold Whole Foods to Amazon for a whopping $13.7 billion.

12. John D. Rockefeller​

Few names conjure up visions of lavish luxury like Rockefeller. During his time, people believed the oil tycoon was the wealthiest man in the world. Today, his fortunes would total between $393 and $664 billion (experts adjusted the amounts for inflation via MoneyInc). Rockefeller got rich the old-fashioned way through a strong work ethic and give-and-save mindset that started at 16 years old. He started the oil refinery business with his brother William, becoming the world’s largest oil refinery (via MoneyInc).

The closest Rockefeller came to college was a 10-week business and bookkeeping course at Folsom’s Commercial College. Still, Rockefeller showed an affinity toward higher education. The tycoon ended up donating millions of dollars to the University of Chicago, and he was instrumental in establishing schools and colleges that educated black freedmen after the Civil War.

11. Sheldon Adelson​

Adelson showed how savvy he was in business at a young age. He grew up during the Great Depression and started his career at the age of 12 when he borrowed $200 from his uncle. Long before Adelson started college, he used the loan to buy a license to sell newspapers (via MoneyInc). At 15, he borrowed $10,000 to start a candy vending-machine business. While this savvy young man knew there was a knack for selling there, Adelson found that college wasn’t for him. Before enlisting in the army, he dropped out of college.
Adelson pushed on even when things got hard. After being discharged, he established several different businesses, selling toiletry kits and a chemical that removes ice from cars. Adelson reportedly started 50 of his own companies over the years and lost his wealth twice in the process. He was involved in the hotel, resort, and casino business, owning the famous Sands Hotel and Casino in Las Vegas (via MoneyInc). He died in 2021 at the age of 87.


10. Ted Turner​

Turner founded the 24-hour news network CNN. However, before the businessman started changing the world consumed news, he had attended Brown University for three years. He seemed to be doing well – he was captain of the sailing team and vice president of the Brown Debating Union. Turner never graduated because the school expelled him. Why? Turner allowed his girlfriend to live with him secretly (via MoneyInc). His business in media began in 1963 when he took over his father’s billboard business in 1963 after his suicide (via MoneyInc).

In 1970, he established Turner Broadcasting System after purchasing an Atlanta station. With CNN, Turner helped change the news landscape, as the network provided live coverage of the Challenger disaster and the Persian Gulf War. Turner also had a hand in turning the Atlanta Braves into a nationally popular franchise and entered the business world of professional wrestling for several years with World Championship Wrestling. Turner is reportedly worth about $2.3 billion.


9. Oprah​

With just her first name, this ultra-popular TV personality needs no introduction. Media mogul Oprah had a full scholarship to Tennessee State University to study communications, but she left with only one credit remaining. She wanted to pursue her career in media and took a job working on a Chicago morning show. She was able to take that show from last place in the ratings to the top of the charts in a matter of months.

Oprah is still changing the game. People consider her the Queen of All Media. She’s best known for her talk show “The Oprah Winfrey Show,” which ran from 1986 to 2011 and was the highest-rated television show of its kind. She has started her own network, magazine, website, and more, all under her own brand. After 13 years, TSU invited her back to speak, but Oprah thought it was vital for her to graduate first, and she did just that (via TAFE).


8. Steven Spielberg​

One of the greatest directors to have ever stepped behind the camera never walked across a college stage to get his diploma. Spielberg worked toward his bachelor’s degree in film and electronic arts at Cal State University at Long Beach. At 22 years old, Universal Studios offered him a contract (via TAFE). The movie was “Amblin,” a short love story set in the hippie era. Spielberg would later go on to name his company Amblin Entertainment after that film.

Steven Spielberg is on the list of self-made millionaires. He directed and produced some of the biggest blockbusters over the past 50 years. Movies like “Jaws,” “The Color Purple,” “Indiana Jones,” “E.T.: Extraterrestrial,” “Jurassic Park,” and “Schindler’s List” are considered masterpieces. He has won Oscars, Emmys, and honorary doctorates, but Spielberg went back 33 years later to finish his degree. During his speech, Spielberg said: “The undergraduates really embraced me… and made me feel like I had been there for 33 years. I felt like John Belushi at the end of Animal House.”



7. Lady Gaga​

Popstar and actress Lady Gaga – real name Stefani Germanotta – was accepted into the exclusive New York University’s Tisch School of the Arts in 2003. She knew she wanted to be a singer and had performed in front of crowds since she was a teenager. So she only attended classes for a year before leaving to pursue her music career (via TAFE). She even had a contract canceled by Def Jam before she became a household name.

The rest is history, and in 2008, Lady Gaga introduced her music to the world with a string of chart-topping hits. She has also started a successful movie career and won a Golden Globe for her performance in the 2018 film “A Star Is Born.” Gaga is estimated to be worth $150 million (via Forbes). It’s okay if you’re not a hug fan of her music or movies. You can still applaud her as one of the most talented self-made millionaires who dropped out of college.


6. Ellen DeGeneres​

Talk show host DeGeneres is known for her many talents. However, before she became famous, DeGeneres was working on a degree in communications from the University of New Orleans. However, the comedian left after one semester after she got a full-time job at a law firm (via TAFE). This college dropout would later tell Parade magazine that school wasn’t interesting enough for her, and she wanted to do stand-up comedy on the side.

A handful of years later, DeGeneres was touring nationally and named Showtime’s Funniest Person in America. DeGeneres starred in television shows and movies before landing her daytime talk show that has delighted her audience for over a decade. This household name is the epitome of pursuing dreams to the fullest and fulfilling that dream paying off big time. DeGeneres is estimated to be worth is $490 million (via Just Richest).


5. David Geffen​

Geffen is a record producer and businessman behind many of the most successful American musical acts. Geffen attended Santa Monica College, but struggled academically due to his dyslexia (via MoneyInc). So he dropped out to take a job in the mailroom of William and Morris Agency. The college dropout strived to make it in the music business, and he started his own record label, Asylum Records.

Geffen became the manager of Crosby, Stills and Nash, and Laura Nyro. Under his leadership, Geffen signed many huge acts, including The Eagles, Tom Waits, Linda Ronstadt, Bob Dylan, and several others (via MoneyInc). He currently owns Geffen Records, DGC Records, and DreamWorks SKG. Economists believe his net worth is $10.8 billion. He is one of the wealthiest people in the music industry, proving his dream did come true.


4. Jan Koum​

Koum is a Ukrainian immigrant and computer programmer who made his money as the co-founder and chief executive officer of famous chat app WhatsApp. He discovered his love of programming at the age of 18, and he enrolled at San Jose University with the hope of starting his career in technology. He worked his way through as a security tester but dropped out before graduation (via CNBC). Yahoo hired him in 1997, but he saw apps were going to be the future.

Koum deliberately chose the name WhatsApp because it sounded like the greeting, “what’s up.” People use this instant messaging tool instead of typical text messages. Although it was initially unpopular, WhatsApp started gaining more users after Apple allowed pushed notifications. In 2014, Facebook acquired WhatsApp for $19 billion, a financial move that placed him as the highest-ranking newcomer on Forbes’ richest list for that year (via Forbes).

3. Ralph Lauren​

The fashion world would not be the same without Lauren. He went to Barusch College for two years to study business, but he left after his sophomore year to join the Army (via MoneyInc). In 1964, after his service ended, Lauren worked as a salesman for Brooks Brothers before opening his own necktie store. He designed the neckties under the name Polo due to his love for sports.
Advertisement

Even though he had no formal fashion training, Lauren had a drive to succeed and a natural idea of designing clothes. His line has expanded to men, women, children’s clothing, fragrances, accessories, and many others. Lauren is a philanthropist who gives considerable amounts of money to various charities every year. Economists believe him to be worth $7.5 billion (via MoneyInc).

2. Jennifer Lopez​

Here’s one of the most impressive self-made millionaires who dropped out of college. The Grammy and Emmy award-winning performer has won the world over with her multi-hyphenate abilities. Before Jennifer Lopez became J-Lo, she had aspirations of becoming a dancer. She studied business at Baruch College, but she dropped out after one semester and enrolled at the Phil Black Dance Studio in Manhattan. Lopez would sleep on the studio floor for a few months after a falling out with her parents over her career choice.

She later became a Fly Girl on the sketch comedy show “In Living Color.” Her breakout role in “Selena” came in 1997, and she was the first Latina actress to earn $1 million. Lopez has continued to make movies and hit records in the decades since, making her one of the wealthiest self-made women. She has earned a reported $150 million from her music, movies, and various endorsements (via MoneyNation).

1. Kirk Kerkorian​

Kerkorian is unique on this list of college dropouts who still became rich. This self-made billionaire did not finish college, indeed; he didn’t even finish junior high school. Kerkorian dropped out of eighth grade to become an amateur boxer. He would later enlist as a fighter pilot who fought in World War II. After the war, Kerkorian decided to make a name for himself in business.

Kerkorian became one of the biggest players in helping Las Vegas become what it is today (via MoneyInc). He worked with architect Martin Stern Jr. to build the largest hotel in the city. He accomplished this three times with The International Hotel (1969), the MGM Hotel (1973), and the MGM Grand (1994). Kerkorian was a prominent philanthropist, donating more than $1 billion to Armenia through his foundation. Kerkorian died in 2014 and was reportedly worth $24.9 billion at the time of his death (via MoneyInc).

You’ll most likely recognize many of the names on this list of successful college dropouts. Several celebrities, inventors, and CEOs owe their success to their hard work and innovation, not to their degrees. Their stories are different, but in many ways are still similar in that they still went on to do great things. These millionaires didn’t let the hurdle of not finishing their education deter them from their journey. They put in the hard work they needed to succeed. Check out this rich list of millionaires and billionaires who made their money without a college degree

1638678684434.png


1638678684612.png


1638678684776.png


1638678684933.png


1638678685115.png


1638678685312.png


1638678685482.png


1638678685647.png


1638678685807.png


1638678685973.png


1638678686146.png


1638678686353.png


1638678686577.png


1638678686754.png
 
High School ya Marekani ni tofauti kabisa na huku kwetu.
Freshman na Sophomore wa States ni tofauti hata na Senior wa Tz kwa uelewa wa vitu.

Wengi wa hao watajwa elimu kwao haikua kukariri wala kushindana kama kwetu...

Sisi tuna Soma, Faulu, Ajiriwa, Staafu
Wao hawana hayo mavitu kichwani mwao
 
Umenena mpaka kwa lugha

Umeandika Kiswahili mpaka ukachoka ukaona uanze kunena kwa lugha

Ni kweli hakuna uhusiano wa moja kwa moja wa elimu na utajiri
 
High School ya Marekani ni tofauti kabisa na huku kwetu.
Freshman na Sophomore wa States ni tofauti hata na Senior wa Tz kwa uelewa wa vitu.

Wengi wa hao watajwa elimu kwao haikua kukariri wala kushindana kama kwetu...

Sisi tuna Soma, Faulu, Ajiriwa, Staafu
Wao hawana hayo mavitu kichwani mwao
Mbowe kasoma wapi high school? Mwigulu Nchemba na MBOWE nani zombie?
 
Jamaa Wana akili mingi, imagine MTU hajamaliza chuo lakn anagundua technology mpya, wakati Tz mtu Ana PhD kabisa lakn uwezo wake wa kawaida sana
 
Uzi wenu huu mliocheza disco.
Ukija uzi wa majina ya waliofanikiwa baada ya kumaliza university nitag
 
Hao walianzisha makampuni hawakugundua technology. Usichanganye madesa
Jamaa Wana akili mingi, imagine MTU hajamaliza chuo lakn anagundua technology mpya, wakati Tz mtu Ana PhD kabisa lakn uwezo wake wa kawaida sana
 
Mbona Maxence Melo hayupo kwenye orodha? Au yeye alimaliza chuo na kukinzana na nguli wenzake.

Ila angekomea hata Mwaka wa pili pale DIT Natumaini angekuwepo kwenye orodha hiyo.
 
Jamaa Wana akili mingi, imagine MTU hajamaliza chuo lakn anagundua technology mpya, wakati Tz mtu Ana PhD kabisa lakn uwezo wake wa kawaida sana

MIT drop out sio sawa na COET drop out bro.....
Facilities, Exposure, Systems za Udahili zinafanya hizi tofauti
 
Ahsante Kwa taarifa...

Wali drop off from University na siyo Primary wala secondary...
 
Back
Top Bottom