Mabilionea 100 anaotengeza Kikwete ni kina nani?

Lakini Rais Kikwete hakuishia hapo. Amewaagiza Mwanasheria Mkuu, IGP na Takukuru, kuchunguza na kuwachukulia hatua za kisheria wezi wote wa pesa za BoT; ikiwa ni pamoja na kutaifisha mali zao.

Mhh,

Nimependa sana hilo neno kuchunguza.
Naona Kikwete all he can do ni kuchunguza.

List ya wauza madawa inachunguzwa,
List ya wapokea rushwa inachuguzwa,
Ufisadi wa serikali bado unachunguzwa,

Uchunguzi wa kuchunguza uchunguzi uliofanywa na kampuni ya kigeni ya kuchunguza uchunguzi wa BOT sasa wamepewa POLISI wachunguze?!!!!??? Good way to go
 
Mhh,

Nimependa sana hilo neno kuchunguza.
Naona Kikwete all he can do ni kuchunguza.

List ya wauza madawa inachunguzwa,
List ya wapokea rushwa inachuguzwa,
Ufisadi wa serikali bado unachunguzwa,

Uchunguzi wa kuchunguza uchunguzi uliofanywa na kampuni ya kigeni ya kuchunguza uchunguzi wa BOT sasa wamepewa POLISI wachunguze?!!!!??? Good way to go

then polisi wakimaliza kuchunguza wakishatoa ripoti ya uchunguzi kwa igp ambaye ndio mkubwa wao...naye atachunguza before kumpa mwanasheria mkuu wa serikali kuiwasilisha kwa raisi nadhani hapo sasa ndio kama kawaida ya kichwa kilichojaa matope cha huyu mtalii wetu jk atateua tume maalumu if not kamati kwa ajili ya kuchunguza kashfa hizo ili aweze kuchukua hatua muafaka ila kwa bahati mbaya ndugu zangu itakua ishapita 2015 wakati huo hivyo it wil lbe the end of story hiyo....

very sick n kind of mjinga rais wetu alivyo anapewa ripoti kuwa kulikua na wizi huu na huu na huu instead of kuamuru hawa watiwe ndani eti polisi wafanye uchunguzi...mjinga sana huyu mtu
 
Wewe nawe kwa kujikombakomba kwa Mwanakijiji? Huna taarifa kuwa Mkjj hapendi watetezi wa mafisadi kama wewe kujikombakomba kwake?
Sijikombi na wala simtetei but hata katika wendewazimu hua kuna wenye afadhali but (i dont mean kua kila mmoja hapa ni mwendawazimu)ila what i mean hapa ni kua Mwanakijiji ktk watu wa JF ambao huangalia mambo upande wa -ve tu yeye anafadhali.
 
Kwa hatua tuliyofikia sasa hivi hata wanafunzi wa shule ya msingi wanajua kwamba there is something terreblly wrong with CCM. labda mwafrika wa kike hajaweza kuweka mambo katika ukamilifu wake lakini this is what is going on in this country. sidhani kama mtu mwenye akili zake timamu anahitaji kuambiwa.

na hatutakaa tuondokane na matatizo yetu if the mojorty will not accept that there is something wrong and we need solutins like 50yrs ago. Tutabaki kufunika na kuficha madudu ili tu kudumisha tena kwa ubabe chama na viongozi ambao hawana uchungu na Tanzania hata kidogo.
 
Hivi hii kampuni ya IMMA ndiyo nilisikia kuwa kuna wahusika ambao walisajili kampuni nyingine ambayo ilijipatia mabilioni toka benki kuu halafu baada ya muda mfupi hiyo kampuni ikafa?
 
Hivi hii kampuni ya IMMA ndiyo nilisikia kuwa kuna wahusika ambao walisajili kampuni nyingine ambayo ilijipatia mabilioni toka benki kuu halafu baada ya muda mfupi hiyo kampuni ikafa?

Kuna mengi sana yanakusanywa juu ya hii kampuni ya IMMA, nilisikia juzi Ishengoma akilalamika kuwa JF tunampondea bila sababu na bla bla blah nyingi kibaoooo!
 
Back
Top Bottom