The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,903
- 2,884
Naiomba serikali ifuatilie nani hasa alinufaika na hizi pesa kwani tuliaminishwa ziliwalenga vijana maskini ila cha kushangaza zikaishia mikononi mwa matajiri mimi nadhani kwa kua zilitolewa na serikali ifahamike ni Nani walinufaika na hayo mabilioni na kujua uhalali wao isije kua ulikua mradi wa kutoa pesa mfuko wa kushoto na kuingiza mfuko wa kulia