Mabibo wine and Monopolistic ideas that kill Tanzania's beer lovers | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabibo wine and Monopolistic ideas that kill Tanzania's beer lovers

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Geza Ulole, Nov 21, 2009.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Nov 21, 2009
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,065
  Likes Received: 3,986
  Trophy Points: 280
  Jamani mi nashindwa kuelewa hivi hili suala la kuwa sole importer wa Heineken brands lina umuhimu gani kwa sisi watanzania ingali bia za Heineken and Windhoek zinakuwa overprized? Kwanini supplier atake ku-monopolize hiyo biashara kwenye soko huria je Heineken wenyewe wanahujumiwa na kitendo cha another supplier kuuza bidhaa zao kwa more volume?

  Hivi Hao Mabibo wines hawajui usuluhisho wa hilo wanalopigania kila siku mahakamani? Wajenge kiwanda cha Heineken waone kama kuna mtu atathubutu kuingia mkenge wa kuagiza hizo bia maana gharama za bia hapa nchini zitakuwa ndogo na un-affordable for importers to compete (a fair trick)! Simple economics na pia itatoa ajira! na sio kutajirika kwa njia za kuwanyonya wanywaji at extorted prizes nashindwa kujua kwa nini Watanzania hawaoni hilo au mambo ya ulimbukeni kutaka kujionyesha unakunywa bia bei ya juu (though it is their choice i respect)! Sijui lini Fair Competition Commission wataona hili na kuwashushua hawa wanyonyaji?

  Nawakalisha!


  Waache ujinga wao si tunachotaka hizo bei za Heineken na Windhoek beer zipungue! Biashara huria sio ujinga wa monopoly wakati bei hazipungui! wajenge kiwanda waone kama kuna mtu ata-import hizo bia hio ndio solution ya matatizo yao!
   
 2. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #2
  Nov 21, 2009
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,065
  Likes Received: 3,986
  Trophy Points: 280
  Tena kama sikosei hawa Heineken wame-team up na Diageo to form a BrandHouse company ambayo iko SA kupambana na Sabmiller na jinsi hawa Mabibo Wine wasivyoliona hilo na wasivyofikiria kujenga kiwanda mapema ni uwezekano wa kiwanda hicho kujengwa Kenya to cater EA region haswa pale SerengetiBrew itakapo-partner na Diageo maana hawa tayari ni marafiki na wako mbioni kuteka Tanzanian market at the same time to protect it na pia kuprotect theirs i.e. kenyan na ukizingatia MD wa BrandHouse ni Gerald Mahinda (X-EA Brew Head) wasahau suala la kuwika na kujitamba magazetini ati wanajenga kiwanda miaka nenda miaka rudi huku wakiwakwamua wanywaji! Hawa jamaa wana mikogo ya kujitamba kuwa supplier bora na sio wazalishaji! Kweli tuna safari ndefu Bongo!
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  Nov 21, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Wao wanaojiita ndo wakala pekee wa kuagiza hiyo beer je wanakiwanda hapa Tanzania au ndo wamejipa majukumu eti ya kufunga soko huria la bidhaa Tanzania? Hivi mkulima wa nyanya Ilula kama Damian akiamua kuchukua mamlaka kama haya ya kuwa yeye ndo mkulima pekee wa kuiingiza nyanya soko la K/KOO mnafikiri bei ya nyanya itakuwa bei gani? Hawa jamaa wanatupiga sana bei kwenye hizo bia kwa kuwa wanawahonga TRA eti wao ndo wenye mamlaka ya kuingiza bia tunajua mbinu zenu mnazo cheza na TRA mnawahonga hao ili wazuie beer sijui mnachukua wapi mamlaka ya kuzuia products katika free market je kwa mfano BP wakiaamua wao ndo wawe ndo waigazji pekee wa mafuta nchini si tunge koma hapa tungeumia bei hizo za mtu kujipangai akiwa usingizini.
   
 4. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #4
  Nov 21, 2009
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,065
  Likes Received: 3,986
  Trophy Points: 280
  Kaka wana Goodown facilities si ndo wawekezaji wenyewe hao kaka! Si bora wale jamaa wanauza pombe za ndizi (banana beer) naona hata angalau wanaajiri Watanzania! Waache waendelee kulia teke kuu linakuja kupitia EA Brew na Serengeti Brew unachezea biashara? Si lelemama namna hiyo kutaka vya mterekmo kama wanavyolia namna hiyo!
   
 5. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #5
  Nov 21, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mabibo are just taking advantage of the situation. Lakini hapa wa kulaumiwa ni viongozi kwa hili na mengi ya bidhaa za hali ya juu hapa bongo.

  Kwanza serikali inaseti kodi zake ajabu ajabu kiasi kwamba bidhaa zinazoingia ni za wale wenye uwezo, hivyo jamaa lazima waweke bei zao nao juu na kwa kuwa amna mpinzani hivyo bei yao ni final.

  Kinachohitajika wala si kiwanda bali mchumi makini wa kujua ku maximize government revenue kwa kushusha mishuru yao ya ajabu na kuangalia the bigger picture ie ushuru mdogo allows many participants in the field na cuts the monopoly.

  Yaani kwa kweli serikali yetu imejaa sijui watu gani haya mambo ya favour haya tupeleki popote zaidi ya kutuletea umaskini na bei za ajabu tu. Tunahitaji a new wave of thinkers the days of totalitarian thinking kwa kweli zimepitwa. Tunasema tuna capitalism lakini viongozi wetu wana socialists thinking. Hivyo dont know what capitalism really is and how to implement it for the good of tanznaians.

  Wanadhani EAC ndio solution kumbe tio shimo litalo wamaliza subirini.
   
 6. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #6
  Nov 21, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,565
  Likes Received: 18,309
  Trophy Points: 280
  Hivi vita vya bia, pia nao ni ufisadi tuu kuwafisidi wanywaji. Ukiachana na vita ya TBL na SBL, hii ya ukiritimba wa Mabibo wine na Heineken unaipa nguvu ya soko kupanga bei ili kuwafisidi wanywaji.

  Uwezekano kuweka kiwanda bado ni mgumu kutokana na masharti magumu ya franchise yao, kila mmoja analinda brand name yake na pride ya nchi yake kama walivyo
  waswiss na saa zao na chocolate zao, Wafaransa na wine zao na perfum zao, wataliano na fashio zao na viatu vya kiume, Waholanzi wao ni beer zao tuu kama walivyo Waskotch na whysky zao, hawakubali kiwanda kiwepo popote, wanaogopa kucompromise kwenye quality ndio maana ukinywa Coke ya Ulaya tofauti na ile ya Mchagga pale Moshi, formular ni ile ile duniani kote ila ladha tofauti, Heineken wamepania kumeitain quality and taste yao.
   
 7. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #7
  Nov 21, 2009
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,065
  Likes Received: 3,986
  Trophy Points: 280
  Kaka napinga hilo, Heineken wana kiwanda Namibia, South Africa na hata Rwanda Balirwa Brew. hutengeneza bia za Heineken na hata carlsberg wana kiwanda Malawi! So wizi wa Mabibo wine hauwezi kukubalika! either wajenge kiwanda au wakubali ushindani fair competition kwani nani anaweza ku-comprimize quality za beer za Heineken wakati zinakuja packed na mambo ya advertising ni excuse kwa vile Heineken can outsource the job to any of Marketing Agency kuna ZK na makampuni mengi tu Tanzania yanaweza kuwafanyia kazi yao while Heineken is at bay!
   
 8. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #8
  Nov 21, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  kitu mabibo wanachokifanya kinaitwa exclusive rights
  kwa mfano uk o2 mobile walikuwa na exclusive rights za kuuza iphone uk, sasa hivi orange wamewanyanganya exclusive rights zao

  kama mtu anataka kuimport heniken inabidi ajue exclusive right ya mabibo inaisha lini.
  cha msingi ni alternative beer na sio kitu kingine. katika beer TZ kilimanjaro, safari na serengeti wako far ahead of heniken, wako mbele kwa kila kitu distribution, sales na kila kitu
  heniken hawafiki hata castle
   
 9. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #9
  Nov 21, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,581
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Nadhani kwa TBL kutoa kwao NDOVU mpya kutakuwa kumeshusha sana mauzo ya Heinken.
   
 10. A

  August JF-Expert Member

  #10
  Nov 21, 2009
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Technically naona mabibo hawana hiyo haki , na hakimu aliyetoa hiyo stop order mpaka shauri likamilike amekosea, na hapa ndipo watu wanapotakiwa kupinga matumizi ya stop order, maana inaweza kuchukua hata miaka 3 kesi inapigwa dana dana, kisheria za kibiashara mambo ya monopoly yanapingwa saana, na ukija mambo ya exclusive rights, inakuja kama walidevelop hiyo bia, hivyo wanapewa reasonable time recover walicho invest, kinyume cha hapo, mabibo wapo very very wrong , na huyo hakimu/judge anatakiwa amulikwe, kwa sababu this is anti-trade.
  Mwishowe tutasikia Mzee Rutakyamirwa kwa sababu yeye ndio alikuwa wakwanza kunywa Heineken basi wengine hawa ruhusa, then watakuja sijui Hotel Gani nao watasema kwa sababu wao walikuwa wa kwanza kununua heineken from mabibo basi wao ndio wauzaji wa reja reja wa heineken wengine hawaruhusiwi.
  Haya ndio mambo yanayo dumaza vikra na biashara Tanzania.
  Je wanaweza kuonyesha nchi yoyote Dunia ambapo supplier moja amekuwa na Exclusive rights za kuuza bidhaa fulani?
  Labda kwenye Biashara ya Magari, ambapo manufacturers, wanawapa Dealers wao hizo Exclusive rights za kuuza Genuine Spares za magari yao.
   
 11. Kafara

  Kafara JF-Expert Member

  #11
  Nov 22, 2009
  Joined: Feb 17, 2007
  Messages: 1,392
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  mkuu naamini upo sawa. la muhimu ni "interested party(ies)" kufuatilia na heineken holding company ili kufahamu aina ya distribution rights walizopewa mabibo. nasita kuamini kwamba heineken wamewapa exclusive rights mabibo kwani license kama hiyo itawafunga heineken katika kushika soko linalokuwa kama la tanzania na nchi jirani.
  inawezekana kabisa mabibo wanatumia mapungufu ya wapinzani wao sokoni
  wa kufanya uchunguzi unaotakiwa ili kujua mipaka ya mkataba ambao mabibo wanao.

  aidha uamuzi wa ujengaji wa kiwanda cha kutengeneza heineken bongo si wa mabibo. iwapo mtu yeyote anaweza kuwauzia hilo wazo heineken na wao wakakubali (inategemea mikakati yaheineken ya kupanuka) basi anaweza kuwapiga goli mabibo.
   
 12. A

  AM_07 Member

  #12
  Nov 22, 2009
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 74
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  by the way, i like serengeti ndogo than the way i can feel the exotic beer, am trying to cop with forsters but no way, i miss serengeti, nadhani wabongo tunywe bia zetu za home made
   
 13. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #13
  Nov 22, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  ndugu yangu ukisoma post yangu hapo juu nimekutajia o2 mobile ndio kampuni pekee inayouza iphone uk kwa sasa. contract hii ikiisha orange nao watakuwa wanauza.
  sio lazima mtu a develop kitu ndio anakuwa na exclusive rights.
  yafuatayo ni mazungumzo ya kutunga baina ya mabibo wine na heniken ili kukuelezea exclusive rights;

  mabibo wine(mw): nataka ulete bia za heniken tz
  heniken (h): TZ hamna wanywaji bwana stella walishidwa na walipoteza hela nyingi sana.
  mw: mimi ni mfanya biashara na ninaweza ni crack TZ market
  h: sisi hatuwezi kuja kupoteza hela zetu za matangazo halafu tusipate chochote
  mw: usijali matangazo nitaweka mwenyewe ila wewe unatakiwa unipe mimi exclusive rights pale TZ
  h: hapa jamaa wanakuwa hawana sababu ya kukataa wanamuambia tunakupa miaka 3 exclusive rights halafu tuone
  after 3 yrs
  h: heniken wameona mambo mazuri tz
  mw: mw anarudi kwa kujiamini na malalamiko mimi ningeweza sana kuuza zaidi ya hivi lakini natumia hela nyingi kwenye matangazo nk na nyinyi hamnipi support ya kutosha
  h: usiwe na wasi wasi sisi tutatoa 30% ya matangazo na promotional products kibao kama fredge vikombe na nk. kwa hiyo another 3 yrs.
  baada ya 3 yrs inatakiwa atokee mjanja mwingine (mjanja)
  mjanja: mabibo wine anauza heniken dar, tu jiji la mwanza lina watu wengi sana na mimi ninaweza kuuza kule beer yenu sana. naomba mnipe licences ya kuimport
  h : tunakupa ya kanda y ziwa
  mjanja 2: heniken dar inaywewa na watu wachache mikinipa mimi leceni nitaweza kuifikisha kwa watu wengi sana.
  h: na wewe chukua leseni
  mw : nasikia umewapa watu wengine leseni
  h: ndio nimewapa watakuwa wanauza pamoja na wewe na mimi nita take care matangazo. mzee (mabibo wine) umeshakula miaka sita peke yako. nadhani inatosha.
   
 14. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #14
  Nov 22, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Nyie vipi?

  Yaani uko Tanzania unalilia HEINEKEN? Mie nilishaishi Holland na nikawa sizinwyi. Ukifika huko ni ya kumwaga. Nasikia Vienna kuna Mswahili ana Bar na anauza SAFARI na bei ni juu sana maana Watz wanagombania. Hapo lete Heineken, watu wataimwaga. Kama uko Tz, si kunywa product za TZ? Tena kwenye chupa na si MAKOPO. Makopo makopo, what a shame.......

  Juu ya kuuza HEINEKEN. Si kweli wanayosema wengi. Kama hao Mabibo wameandikiana na Heineken Holland, mtu waweza kwenda kiwanda cha Heineken chochote duniani na kwenda kununua huko na wewe ukajiandika Solo Distributer. Dawa nyingine ni kuandikisha kampuni Rwanda au Burundi, unakuwa unazileta na kulipa kodi zote na unaziuzia hapa hapa Tanzania.

  Siku zote ni KUFAHAMU sheria zilivyo na kuanza kuangalia utaziruka vipi sheria bila ya KUZIVUNJA.
   
 15. A

  August JF-Expert Member

  #15
  Nov 22, 2009
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Eneo linalowapa hizo haki ni hiyo condition, kwamba Apple watakuwa wanapata sehemu ya mapato ya kila mteja wa O2, na kuna hiyo cost ya ku-configure mitambo ya O2 kufit Apple Products.
  Halafu ningependa ureje kwenye ile kesi ya Microsoft, ambayo walipigwa faini na EU, kuhusu monopoly, kwa kutengeneza software ambazo hazi fit in na za wengine.
  Apple’s agreement with O2 is thought to include a continuing share of the revenues generated by each iPhone customer. O2 ’s network will also have to be specially configured to accommodate the Apple handset. The lure of the Apple brand is expected to lead thousands of UK mobile customers to ditch their existing contracts and switch to the iPhone provider.
  In frenzied interest in the United States, more than 500,000 units were sold during the first weekend of sales. AT&T, the exclusive American network, claimed to have sold out of the iPhone in most of its 1,800 stores within 24 hours.
  Apple’s shares have jumped by nearly 50 per cent since the first prototype was unveiled in January, adding about $34 billion to its market value.
  O2 hopes that the Apple deal will help it to cement a niche as the country’s major music mobile operator. The group has already rebranded the former Millennium Dome as the O2 and transformed it into a concert and leisure venue.
  The deal is one of several negotiated by Apple across Europe. T-Mobile is understood to have secured an agreement to provide the phone in Germany, its home market. Orange is tipped as the likely front-runner in France.
  Apple, which had initially considered striking one Europe-wide deal, is thought to have felt that it could maximise revenues by negotiating individual market tie-ups.
  The California-based group is also thought to have been keen to ensure that it worked with the strongest operator in each country.
  In the UK customers signing up for an iPhone are likely to face hefty fees to buy themselves out of their existing contract and move on to O2’s network.
  The phone is expected to retail at about £300 in a market where phones are traditionally given away.
  Rival handset manufacturers are busy preparing “iPhone killers” for Vodafone and the other losing operators. O2 and Vodafone both declined to comment.  • Print
  • Email
  [​IMG]

  Ads by Google​

  Wholesale lPhones $149


  Unlocked lPhones 3G 16GB,3GS 32GB.Compass/WiFi/TV/JAVA. Free Shipping
  DHgate.com


  O2 Optix - Only $10.34


  O2 Optix Now $10.34. Reg $16.14Free UPS Shipping Available!
  www.CoastalContacts.com


  iPhone 3G/S Accessories


  Best Deals on iPhone 3G AccessoriesUp to 70% off. Same day Shipping!
  www.iGearUSA.com


  Also in Telecoms  Also in Industry Sectors
  Times Recommends  Your Browser doesn't support Inline frames


  Times Mobile


  [​IMG]


  Get Times news, listings and goal alerts on your mobile  Telecoms jobs
  @import "http://extras.timesonline.co.uk/css/typography.css"; @import "http://extras.timesonline.co.uk/css/typography.css";@import "http://extras.timesonline.co.uk/css/print.css";.rss-item {font-family:Arial, Helvetica, sans-serif;font-size: 12px; }.rss-item a:link, .rss-item a:visited, .rss-item a:active {text-decoration : none;color: #666;line-height:16px;}.rss-item a:hover { text-decoration:underline;color: #06c;}

  [​IMG]
  Find the perfect second job from a range of experienced graduate positions


  </DIV>
   
 16. A

  August JF-Expert Member

  #16
  Nov 22, 2009
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  kupitia hayo mazungumzo kati ya MW na H utaona ya kwamba contention, ya MW ni kuitangaza, na kuwatia hamasa watu ambao walikuwa hawanyi hiyo Bia wanywe, sasa kama kweli walifanya hivyo, watakuwa na haki ya kupata Exclusive rights ili warudishe hela ya Matangazo, maana kuweka yale matangazo ya outdoor si mchezo.
  Lakini tukija kwenye mambo mengine, inabidi uwepo huo mkataba ambao utasema kiasi ambacho MW waliambia H watawekeza kwenye matangazo, ambacho naona MW hawajawekeza kiasi cha kulalia hicho kipengele, zaidi ya matangazo ya TV, na ile Pub along Old Bagamoyo Rd.
  Hivyo wanaweza kuwa wamekwenda kinyume cha makubaliano na H, au kwa kuwa waliwekeza Hela Kidogo basi kibiashara tunaweza kusema kwamba wameisha rudisha fedha yao.
  Na ukija kwenye Mktaba wa O2 na apple inasemekana ulikuwa unaishia 2012, lakini sasa ulinatarajia kwisha mapema zaidi maana Court labda imeona wameisha rudisha fedha zao.
   
 17. A

  August JF-Expert Member

  #17
  Nov 22, 2009
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  <LI class=g>O2 Could Lose Exclusive iPhone Rights in UK on October 9th ...

  5 Aug 2009 ... Wireless carrier O2 may be set to lose its exclusive deal as the iPhone's mobile network on October 9th. The Mobile Entertainment web site ...
  www.iphonealley.com/.../o2-could-lose-exclusive-iphone-rights-in-uk-on-october-9th - Cached
  <LI class=g>O2 iPhone exclusivity to end on October 9th, according to leaked ...

  5 Aug 2009 ... Rumours that O2 may lose its exclusive hold on Apple's iPhone handsets ... that while O2 may have to give up its rights to the iPhone 3G, ...
  www.t3.com/.../o2-iphone-exclusivity-deal-to-end-on-october-9th-according-to-leaked-document?=... - Cached
   
 18. s

  shabanimzungu Senior Member

  #18
  Nov 22, 2009
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 182
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unacceptable face of capitalism!
   
 19. N

  Ndibahika Member

  #19
  Nov 23, 2009
  Joined: Aug 2, 2009
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tambo la Mabibo na heineken yao tayari limepata ufumbuzi. Wanywaji wa heineken zaidi ya nusu tayari wamehamia kwenye ndovu mpya!
  By the way, hawa jamaa wa Mabibo ni walewale kina Lugemarila wa IPTL.
   
 20. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #20
  Nov 24, 2009
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,065
  Likes Received: 3,986
  Trophy Points: 280
  Hiki ndo nilichopinga kaka wanadai eti wanahangaika ku-advertise hiyo bia hivi jamani dunia ya leo kunaitaji mtu on the ground kuadvertise your products? Hivi hao Heineken wakitaka mtu wa kuwafanyia marketing kuna kampuni ngapi za kimataifa zipo hapa kwa ajili hiyo? na hayo mambo ya quality management mbona hufanywa viwandani na si na agency? Hii nchi tinaibiwa! watu wanajitajirisha kwa mgongo wa maskini! na fair trade Commission imekaa kimya!
   
Loading...