Mabibo tena kwawaka moto.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabibo tena kwawaka moto....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nziriye, Feb 4, 2011.

 1. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Mmmh,nimeamini they wil chain our bodies bt the wont chain our brains,hii imejidhihirisha muda mfupi uliopita pale mabibo hostel,kwani fikra haina za wanagreat thinkerz wenzetu wameanzisha tena mgomo pale hostel,lool vijana wanaimba nyimbo za solidarity forever and for sure mkwere ataipa jeuri yake ,lets be together with these people,aluta continua my pipo
   
 2. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Mhmh, hivi huu mwaka utaisha kweli??? Shkamoo mzee Mubarak...
   
 3. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Vipi hapo kuna FFU au wapo wanafunzi peke yao ?
  Na huo mgomo wanaofanya sasa hivi ni wa kuimba nyimbo au wamegoma kufanya nini?
   
 4. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  @voice of reason,unadhani chips bila kachumbali inanoga,mmmh...jamaa wanapiga mgomo na mijisong yao ya kuhamasisha na kudai mabadiliko ya wanachokitaka ,mmmh,mkwere upo kweli au upo jamaica ktk bembea?
   
 5. P

  Pokola JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35

  NASUBIRI KIPENGA NIGAWE KNUCKLES...:coffee:
   
 6. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Acha wagome bana....kwani nn bana! Tatizo hawajipangi vizuri...waende ikulu zasa hivi...watamkuta mkwere yupo na mke mdogo.
   
Loading...