Mabibo jeshini nini kinaendelea, biashara zimepamba moto

MtamaMchungu

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
8,341
11,227
Kama ni mpitaji au mkazi wa maeneo ya Mabibo jeshini, hivi karibuni shughuli za kibiashara zimekuwa zikichipuka kila siku, pembezoni mwa barabara upande wa kambi ya jeshi. Nini kimetokea au kubadilika siku za hivi karibuni? Yale maeneo yanauzwa au kukodishwa au ni biashara za jeshi?

Mwenye kufahamu naomba anisaidie
 
Mungu amjalie mama samia suluhu hassan kila kona BIASHARA ZINAAMKA KILA UCHWAO, JAMAA ALITAKA KUTUUWA KABISA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom