Mabere Marando...........

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
8,602
5,569
Sitoshangaa kabisa akishinda nafasi ya Uspika,
Msijedhani ameshinda kwa nguvu ya Upinzani kumuunga mkono...
asilani, (inasemekana ni kada maarufu sana wa naniliu...):cool: hivyo basi wenzake ati ni lazima wamuunge mkono vilivyo kwa wengi wao kutopiga kura :peep:

Vema tusubiri majibu...
 
sitoshangaa kabisa akishinda nafasi ya uspika,
msijedhani ameshinda kwa nguvu ya upinzani kumuunga mkono...
Asilani, (inasemekana ni kada maarufu sana wa naniliu...):cool: Hivyo basi wenzake ati ni lazima wamuunge mkono vilivyo kwa wengi wao kutopiga kura :peep:

Vema tusubiri majibu...
sisiem hawawezim kurusu huyu ashinde hata kidogo, si bora wangemwacha sita kuliko huyu wa upinzani 100%
 
... Kama unajua kilichofanya CHADEMA kupata viti 22 vya ubunge...

Na

Kama unajua kilichopunguza Nguvu ya JK toka 80% hadi 61%

....Ni hicho hicho .... Kitakacho ushangaza umma wa Tz ndani ya Bunge!
 
Sitoshangaa kabisa akishinda nafasi ya Uspika,
Msijedhani ameshinda kwa nguvu ya Upinzani kumuunga mkono...
asilani, (inasemekana ni kada maarufu sana wa naniliu...):cool: hivyo basi wenzake ati ni lazima wamuunge mkono vilivyo kwa wengi wao kutopiga kura :peep:

Vema tusubiri majibu...

Wewe umekuja kupima upepo tu, tunakujua ni CCM damu ,tena mwanamtandao.....
 
Ni tetesi tu bado.... lakini dalili zote zinajionesha kuwa yeye ndiye mlengwa wa uspika bila kujali anatokea upinzani kwa maana ati wametumia msem: MCHAWI MPE MWANAO :bowl:
 
Nimemtumia sms mbunge wangu wa ccm kuwa amchague marando akanijibu kuwa tayari wananchi wengi wamemwambia hivyo. Akanihaidi kuwa kesho asubuhi atanipa upepo kamili
 
Huyu kachero wa kuua upinzani ni bora tuu ya huyo makinda wa mafisadi
 
Kuna mazingaombwe yalitokea wakati fulani kwenye mchakato wa wabunge wa Afrika Mashariki ambapo alionekana kuingia kiaina ambapo wengi iliwaacha midomo wazi!!!
 
Kuna mazingaombwe yalitokea wakati fulani kwenye mchakato wa wabunge wa Afrika Mashariki ambapo alionekana kuingia kiaina ambapo wengi iliwaacha midomo wazi!!!
:clap2::cool2: HERI YAO WENYE KUMBUKUMBU KWA MAANA HAWATOPOTEA NJIA KAMWE!:yo:

Hakuna anaekumbuka hilo na ni kina nani walimpigia kura....!!!!
 
Ngoja tuone hii ngoma inogile!! maana huyu jamaa anaweza kutuparua kweli kweli tukabaki midomo wazi, au tukaendelea kuwa naye huku tukiwa makini kweli kweli maana tayari saizi yuko jikoni kwetu hivyo akiamua kutuua naye ajiandae kufa kifo cha mende. Ni angalizo tu.
 
kama marando atavuga upinzani this tym basi ajianda kufa kikweli kweli.......hilo ni anagalizo tuu wakuu
kama ni mpinzani wa kweli namtakia kila kheri......
 
Ngoja tuone hii ngoma inogile!! maana huyu jamaa anaweza kutuparua kweli kweli tukabaki midomo wazi, au tukaendelea kuwa naye huku tukiwa makini kweli kweli maana tayari saizi yuko jikoni kwetu hivyo akiamua kutuua naye ajiandae kufa kifo cha mende. Ni angalizo tu.
hapo ndipo mashaka yangu yalipo...:doh:
 
Marando ni mpiganaji wa kweli hana chembe ya kuvuruga upinzani kama mzee wa kiraracha aliyezawadiwa ubunge
 
Back
Top Bottom