Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,522
- 24,010
Huyu ni mmoja ya wanasheria nguli na mwanasiasa wa kitambo sana. Anajua kujenga hoja na anaijua siasa toka akiwa kijana Mabere Nyaucho Marando. Ni muda mrefu hajasikika au kuonekana kwenye ulingo wa Kisiasa. Kulikoni?yu wapi na anashughulika na nini? Si mbaya pia ukitupa na habari za Prof Safari.