Mabenki yaanza kukusanya Tozo za Serikali kwenye miamala wanayofanya wateja

We kweli hamnazo,bajeti ya serikali ni til.36, sasa til.1 ni kitu gani kwenye matumizi ya serikali?
Tatizo ni huu mfumo wa HOVYO wa matumizi ya serikali, pesa za matumizi binafsi 90% wakati pesa za maendeleo 10%. kwanini wasianzishe UPORAJI wa pesa za wananchi kwa kutumia tozo?
 
Tatizo lilianzia hapa, hawa WATU WA HOVYO matumizi yao ni makubwa sana kuliko fedha za maendeleo. Ndio chanzo cha hizi TOZO ZA KITAPELI na ULAGHAI..
Bajeti ya Hovyo.PNG
 
Unadhani hizo tozo zinaenda kutumia mbinguni? Zinatumika kwa wananchi.Mnalialia.umeme kukatika unadhani serikali itoe mavi kufanya ukarabati miundombinu umeme uje?

Maji ni tatizo kila sehemu serikali itoe kamasi ndio zitaleta maji? Lipa kodi upate huduma
Bajeti ya Hovyo.PNG


Wewe m.ende, hiyo serikali yenu ya CCM inaweza kufanya MIUJIZA gani hapo kwenye maendeleo?
 
Aliemwambia Mama hizi 200 za kukata watu kihuni zinaweza kuendesha nchi kampoteza sanaa yani Huu ni wizii... Bora alikubali Viatu vya Magu haviwezi maana huu ni Upuuzi na kuumiza maskini..!!
Hawa MABEBERU WEUSI wameishiwa mbinu za kuongoza nchi, hii tozo ni UTAPELI tu.
 
Kodi zina taratibu zake, mimi ni mlipa kodi haswa, inavyoonekana sasa ni double taxation ndio tunalalamika,pia tunaweza tukawa tunalipa kodi nyingi lakini kama zinatumiwa hovyo hakuna maendeleo yoyote tutakayopata. Na mwisho mnaojifanya wazalendo wa kulipa kodi mnakuwa sio walipaji kodi ndio maana hamujui sisi tunaolipa kodi tunavyoumia kwa kukatwa hovyo hovyo wakati hukukwingine tayari tumeshalipa hizo kodi.
Inasikitisha sana kulipa kodi zote pamoja na hizi tozo za KITAPELI, kisha asilimia kubwa ya pesa hizo zinaishia KUFANYIA ANASA TU. Kwenye maendeleo zinapelekwa pesa KIDUCHU TU. Serikali ya hovyo hii.
 
Ukiona ume deposit wamekata ujue ni madeni ila ku deposit hawakati bali ku withdrawal,, kwenye miamala ya simu ukideposit hawakati ila ku draw au kutuma na kwenye mabenki ni hivyo hivyo.

Kopa kwenye mtandao au benk afu deposit uone moto.

Lipa kodi kwa maendeleo ya nchi.
Hiyo ni kodi au tozo? Unaelewa maana ya kodi?
 
Baada ya suala la TOZO kuanza kufanya kazi rasmi kwenye mitandao ya simu,wengi(mm nikiwemo) tulikimbilia benki kama moja ya mbinu ya kukwepa hizi tozo

Sasa leo nashangaa nilikuwa na salio la laki 2+,naangalia salio kupitia NMB App nashangaa hela imepungua,takribani shilingi 14500 na kitu hivi..kuangalia statement naona makato ya TOZO mengi kwelikweli(Maana miamala mingi huwa naifanya kwa benki)..Mpesa/Tigo pesa nilizikimbia kabisa

Sasa nauliza jamani hii inshu imewakuta na nyny au!?
Screenshot_20211018-171131_NMB%20Mkononi.jpg
 
Mbona walitangaza kuwa makato kutoka benki kwenda kwa simu yataanza
 
Back
Top Bottom