Mabegi wanayobeba watoto wa shule siku hizi yatawadumaza

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,048
3,227
"Ndalichako" wapunguzie hawa watoto adhabu hii wanayopitia bila hatia.


Siku hizi sijui hakuna timetable mashule, sijui ni masomo yameongezeka? maana ni hatari. Nimekutana na mtoto mmoja akitoka shule kuelekea nyumbani akijikokota taratibuu, tukiwa njia moja nikamuita nikamwambie lete begi lako nikusaidie, aisee kalikua kamzigo fulani hivi cha kilo kadhaa, binafsi mpaka nafika nilipomkabidhi begi lake niliona kama nimejivua kamzigo cha 15kg hivi, nikawaza Je huyo atakua anapata mateso kiasi gani?

Haya mabegi yanawekwa makorokoro mengi mno ambayo sidhani kama vitu vyote vinatumika, tuwapumguzieni uzito wa mabegi kwakweli na ni hatari kwa afya ya mtoto.

(By the way naona kama imekua ni ushindani fulani hivi wa mashule kuwapakiza mizigo watoto)
 
Wanawaandaa watoto kuwa wajeshi mkuu... hata hivyo nilikua na mvutano na kabinti kangu ndio kwanza kapo grade one, kanataka bag lingine nakauliza bag gani, kakajibu pooling bag, sikuelewa kwenda nako dukani kumbe mabegi makubwa kabisa utasema kanasafiri kisa lina matairi la kuvuta. Sasa najiuliza, analivuta saa ngapi wakati akitoka nyumbani, anapanda gari ya shule, akishuka ni darasani, kadhalika akitoka darasani kwenye gari na kurudi nyumbani.

Hili inabidi liangaliwe upya!
 
Wanawaandaa watoto kuwa wajeshi mkuu... hata hivyo nilikua na mvutano na kabinti kangu ndio kwanza kapo grade one, kanataka bag lingine nakauliza bag gani, kakajibu pooling bag, sikuelewa kwenda nako dukani kumbe mabegi makubwa kabisa utasema kanasafiri kisa lina matairi la kuvuta. Sasa najiuliza, analivuta saa ngapi wakati akitoka nyumbani, anapanda gari ya shule, akishuka ni darasani, kadhalika akitoka darasani kwenye gari na kurudi nyumbani.

Hili inabidi liangaliwe upya!
 
Mbona hili suala halijaanza Leo?.

Zamani hali ilikuwa kawaida sana. Tena ni kama mashindano fulani hivi, begi za sport (kamba kama za viatu-nyembambaa) zilikuwa zinajaa kwa idadi kubwa ya madaftari/vitabu na tuliona sawa.

Mathematical set ndiyo usiseme. Unaweka kila aina ya makorokocho. Kalamu zaidi ya 5, penseli nne, ruler kubwa iliyokatwa mara mbili..yaani hakuna kitu kucheza ndani. Hahah..

Tulikuwa wakubwa. Sasa hivi wanafunzi ni wadogo kwa kumudu wingi wa madaftari na vitabu at the same. Lakini utafanyeje wakati kwao hao wanafunzi ni ushindani?.

Hayo maisha ndiyo msingi bora wa leo yetu. Don't criticize, Inspire & motivate them.
 
Back the days, unakunja daftari unalitia mfuko wa nyuma shati rangi kama kaki si kaki, kaptula inaweza ikawa hata pensi ya jinsi na mmasai chini, darasani si lazima uingilie mlangoni, dirisha la nyuma linakuwaga mlango wa wana. Njemba 17 years upo darasa la sita :D:D:D
 
Yan unakuta hata akizingatia timetable bado mambo yaleyale maana unakuta somo moja linaweza kua na exercise books zaidi ya moja kama English linakua na english notes, english extra(hii ni asubuhi au jioni baada ya normal classes) na english homework hii wanaandkia kaz zao wanazoachiwa kweny kipindi sasa imagine kuna maths, Science,Civics,Kiswahili,ICT,nk halaf ukute mtoto anatumia madaftar makubwa yan unaezasema amebeba madaftar ya robo darasa
Utaratibu tu ufanyike ili kunusuru afya za migogo ya hawa watoto maana bado haijakomaa
 
Back
Top Bottom