mandella
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,048
- 3,227
"Ndalichako" wapunguzie hawa watoto adhabu hii wanayopitia bila hatia.
Siku hizi sijui hakuna timetable mashule, sijui ni masomo yameongezeka? maana ni hatari. Nimekutana na mtoto mmoja akitoka shule kuelekea nyumbani akijikokota taratibuu, tukiwa njia moja nikamuita nikamwambie lete begi lako nikusaidie, aisee kalikua kamzigo fulani hivi cha kilo kadhaa, binafsi mpaka nafika nilipomkabidhi begi lake niliona kama nimejivua kamzigo cha 15kg hivi, nikawaza Je huyo atakua anapata mateso kiasi gani?
Haya mabegi yanawekwa makorokoro mengi mno ambayo sidhani kama vitu vyote vinatumika, tuwapumguzieni uzito wa mabegi kwakweli na ni hatari kwa afya ya mtoto.
(By the way naona kama imekua ni ushindani fulani hivi wa mashule kuwapakiza mizigo watoto)