Mabegi wanayobeba watoto wa shule siku hizi yatawadumaza

mm watt wangu sitaki wasome hizo shule kabisa
Salamu, Mr Miller .

Smooth water never develop a skilled sailor. You're looking for smooth water, why?.

Kama umesoma Psychology, sociology na philosophy basi unafahamu "Elimu" ni itu gani.

Labda, kwanini hupendi/hutaki wanao wasome shule za St Kayumba (by street definition)?.

Karibu.
 
unakuta mwalimu wa kipindi kajichokea
Salamu, Demba .

Kwanini kujichokea pekee na labda pengine si kuumwa ghafla, dharura za hapa na pale (kupatwa na msiba, kufundisha darasa lingine) na kadhalika?.

Ukweli usioepukika ni kwamba, kutafakari mambo mengi kunahitaji muda. Haswa upatikanaji wa muda wa faragha.

Don't criticize, just show the way-forward.
 
Siku hizi sijui hakuna Timetable Mashule , sijui ni masomo yameongezeka ? maana ni hatari.Nimekutana na mtoto mmoja akitoka shule kuelekea nyumbani akijikokota taratibuu, tukiwa njia moja nikamuita nikamwambie lete Begi lako nikusaidie , aise kalikua kamzigo fulani hivi cha kilo kadhaa,binafsi mpaka nafika nilipomkabidhi Begi lake niliona kama nimejivua kamzigo cha 15Kg hivi,nikawaza Je huyo atakua anapata mateso kiasi gani.?
Haya mabegi yanawekwa makorokoro Mengi mmno ambayi sidhani kama vitu vyote vinatumika,tuwapumguzieni Uzito wa Mabegi kwakweli na ni hatari kwa Afya ya Mtoto.

(By the way naona kama imekua ni Ishindani fulani hivi wa mashule kuwapakiza Mizigo watoto )
Nakuunga mkono asilimia mia moja,nimewahi pia kuwapa lift,wanafunzi wengi,baada ya kushushwa na daladala,kuwapeleka shule,baada ya kuwaona wanalemewa na mabegi,waliobeba.Mimi pia huwa nawauliza hao wanafunzi,hamna ratiba ya masomo shule?Wakanijibu waalimu hawaaminiki,anaweza akaingia mwalimu wa somo,sio kipindi chake.
Huko tuendako,kutakuwa na watu wengi wenye matatizo ya mgongo(japo mimi sio daktari,wa mifupa,lakini nahisi hivyo).
 
AISE NI AJABU SANA HAWA MADOGO UTAFIKIRI WAMEJAZA VYUMA KWENYE BEGI NA HAPO NI PRIMARY AKIFIKA CHUO TENA ANAPAMBANA NA LIBEGI LA LAPTOP BALAA TUPU WATAUMWA MIGONGO HAWA MBONA SISI HATUKUBEBA HIVYO.
 
Salamu, Demba .

Kwanini kujichokea pekee na labda pengine si kuumwa ghafla, dharura za hapa na pale (kupatwa na msiba, kufundisha darasa lingine) na kadhalika?.

Ukweli usioepukika ni kwamba, kutafakari mambo mengi kunahitaji muda. Haswa upatikanaji wa muda wa faragha.

Don't criticize, just show the way-forward.
Nimependa unavyo waza ila swali langu unadhani nisawa mwanafunzi kwenda shule na begi lenye kaunta 14??
 
Mimi nina mtoto darasa la saba na lapili nitayapima mabegi yao nilete mrejesho muone
UTAKUTA NA WANAPEWA AMRI LAZIMA WATUMIE COUNTER BOOK TU NA SIYO YALE MADOGO SISI TULIKUWA TUNATUMIA YALE MADOGO UNAYAKUNJAKUNJA TU KAMA CHAPATI :D:D:D:D:D:D:D
 
Nimependa unavyo waza ila swali langu unadhani nisawa mwanafunzi kwenda shule na begi lenye kaunta 14??
Salamu, Uniq.

Maamuzi sahihi yanatanguliwa na Elimu sahihi. Right decision is proceed by right knowledge.

Uhuru wa kuchagua hutanguliwa na utashi. Na utashi hutanguliwa na elimu juu ya suala hilo.

Lazima tusanisi, tudadisi, tusaili na kadhalika. Lazima tuwe REST-LESS..

Unadhani ni sahihi mwanafunzi kufundishwa, kusoma masomo zaidi ya 14 kwa siku?. Nadhani tungeanzia hapa.

Karibu..
 
MBONA SISI HATUKUBEBA HIVYO
Amua kusema Mimi na siyo Sisi.

Ni ishara ya kutokujiamini kusimama nyuma ya migongo ya wengine. Mbona mimi nilibeba?.

Unaenda shule kuna vipindi 7. Bado hujabeba kitabu hata kimoja, hujabeba daftari la Tuition. Hujabeba daftari uliloazima ukaigilizie na mengine mengi. Cha kushangaza ni nini?.

Ulisoma Tanzania kweli?.
 
Siku hizi sijui hakuna Timetable Mashule , sijui ni masomo yameongezeka ? maana ni hatari.Nimekutana na mtoto mmoja akitoka shule kuelekea nyumbani akijikokota taratibuu, tukiwa njia moja nikamuita nikamwambie lete Begi lako nikusaidie , aise kalikua kamzigo fulani hivi cha kilo kadhaa,binafsi mpaka nafika nilipomkabidhi Begi lake niliona kama nimejivua kamzigo cha 15Kg hivi,nikawaza Je huyo atakua anapata mateso kiasi gani.?
Haya mabegi yanawekwa makorokoro Mengi mmno ambayi sidhani kama vitu vyote vinatumika,tuwapumguzieni Uzito wa Mabegi kwakweli na ni hatari kwa Afya ya Mtoto.

(By the way naona kama imekua ni Ishindani fulani hivi wa mashule kuwapakiza Mizigo watoto )
Mkuu jambo hili kwenye mikutano ya wazazi na uongozi wa shule nililipigia kelele sana, naona sasa hivi wameiweka timetable yao vizuri.

Sitoitaja hiyo shule lakini mtoto wangu alikuwa anabeba lumbesa kweli kweli, halafu madaftari yenyewe ni ma_ counter book yale ya 4Q yenye page 384, ilibidi niwake kweli kweli, mtoto alikuwa anaelekea kupinda mgongo!.
 
Watoto siku hizi ni wadogo sana haya mabag yanawatesa sana,hasa hizi wanaziita medeum sijui ndo middle school,
wawatengezee madawati ya kufunga na funguo kila mtoto awe anaacha daftari darasani kasoro zile za homework tu
 
Hilo suala la mabegi ya watoto kuwa mazito ni hatari kwa afya za watoto hasa migongo. Nashangaa Wizara husika iko kimya na wamiliki wa shule hawaoni kuwa ni tatizo. Shule zinazojitambua hutengeneza makabati na mtoto anaruhusiwa kwenda nyumbani na madaftari na vitabu atavyitumia nyumbani kwa kufanya assignment alizopewa darasani.

Vv
 
Mbona hili suala halijaanza Leo?.

Zamani hali ilikuwa kawaida sana. Tena ni kama mashindano fulani hivi, begi za sport (kamba kama za viatu-nyembambaa) zilikuwa zinajaa kwa idadi kubwa ya madaftari/vitabu na tuliona sawa.

Mathematical set ndiyo usiseme. Unaweka kila aina ya makorokocho. Kalamu zaidi ya 5, penseli nne, ruler kubwa iliyokatwa mara mbili..yaani hakuna kitu kucheza ndani. Hahah..

Tulikuwa wakubwa. Sasa hivi wanafunzi ni wadogo kwa kumudu wingi wa madaftari na vitabu at the same. Lakini utafanyeje wakati kwao hao wanafunzi ni ushindani?.

Hayo maisha ndiyo msingi bora wa leo yetu. Don't criticize, Inspire & motivate them.
Unamaanisha zamani gani hizo? Mimi wakati niko shule ya msingi somo la kiingereza tulianza kujifunza tukiwa darasa la 3, darasa la kwanza hadi la 2 tulikuwa na masomo yasiyozidi 4.

Vv
 
Mbona hili suala halijaanza Leo?.

Zamani hali ilikuwa kawaida sana. Tena ni kama mashindano fulani hivi, begi za sport (kamba kama za viatu-nyembambaa) zilikuwa zinajaa kwa idadi kubwa ya madaftari/vitabu na tuliona sawa.

Mathematical set ndiyo usiseme. Unaweka kila aina ya makorokocho. Kalamu zaidi ya 5, penseli nne, ruler kubwa iliyokatwa mara mbili..yaani hakuna kitu kucheza ndani. Hahah..

Tulikuwa wakubwa. Sasa hivi wanafunzi ni wadogo kwa kumudu wingi wa madaftari na vitabu at the same. Lakini utafanyeje wakati kwao hao wanafunzi ni ushindani?.

Hayo maisha ndiyo msingi bora wa leo yetu. Don't criticize, Inspire & motivate them.
Huo msingi bora umetufikisha wapi kama Taifa?!
 
Mkuu jambo hili kwenye mikutano ya wazazi na uongozi wa shule nililipigia kelele sana, naona sasa hivi wameiweka timetable yao vizuri.

Sitoitaja hiyo shule lakini mtoto wangu alikuwa anabeba lumbesa kweli kweli, halafu madaftari yenyewe ni ma_ counter book yale ya 4Q yenye page 384, ilibidi niwake kweli kweli, mtoto alikuwa anaelekea kupinda mgongo!.
duuh hakika hili ni janga..Watoto wanabeba Mabeg kama Makomando aisee . !
 
Back
Top Bottom