Mabegi mazito Shule za Kayumba za Kiingereza

Mlenge

R I P
Oct 31, 2006
2,125
2,291
Mabegi mazito Shule za Kayumba za Kiingereza

Nini chanzo, madhara ya muda mfupi na mrefu, na ufumbuzi wa mabegi mazito shule za Kayumba za Kiingereza?

Watoto wadogo wanabeba mabegi mazito kulinganisha na uzito wao wenyewe, urefu na ukuaji -- kwenye shule nyingi zinazotumia lugha ya Kiingereza kufundishia.
 
Nisubili hapo hapo nakuja
 
Aisee ni hatari mkuu yani nikiangalia madogo wanapata tabu sana utakuta mtoto ana kaunta 12 kwajili ya class na tuition yote anayabeba. Inamaana hakuna utaratibu maalumu?? Mtoto mdgo anabeba bag zito mpaka linamshinda
 
Binti yangu wa darasa la 4 anabeba begi zito balaa,kuna siku nilijaribu kubeba aisee ni zito balaa..imagine mtoto wa darasa la tatu anabeba kaunta buku
 
Za Kayumba shuleni hakuna locker kwa kila mwanafunzi ili kuhifadhi vitu vyao...

Za Kingereza wameweka utaratibu wa lockers kwa kila mwanafunzi kwa hiyo hawapati tabu ya kubeba kila kitu kila siku...
 
India walipiga marufuku hii kitu kwa hofu ya kuharibu uti wa mgongo.
Bora india waluona hivyo..mimi wangu yuko std six..mgongo unamsumbua..kumpeleka hosp..wakasema kisa mabegi..nikawafuata shule kuuliza kwanini wanatuulia watoto...nikasema ratiba ifuatwe..kama haitafuatwa na mtalazimisha mtoto abebe jibegi ntawafunga..maana mnamletea ulemavu wa kudumu kwa ujinga ujinga tu! Sasa huvi shule nzima inafuata ratiba..begi jepesi na mgongo umeacha. Tatizo hakuna umoja wa wazazi wenye makali..uluopo ni ule wa chama..ambao kazi ni kuombelezea wazazi kura! Wazazi wakisimama pamoja..tutasaidia sana mfumo wa elimu nchi hii.
 
Za Kayumba shuleni hakuna locker kwa kila mwanafunzi ili kuhifadhi vitu vyao...

Za Kingereza wameweka utaratibu wa lockers kwa kila mwanafunzi kwa hiyo hawapati tabu ya kubeba kila kitu kila siku...
Za Kiingereza za International ndio zinaweka lockers. Za Kiingereza za Kayumba (ambazo siyo international) ndio vinara wa kubebesha wanafunzi mabegi mazito.
 
Sasa kwenda na kurudi wanatumia basi au usafiri binafsi,wanabeba mazingira ya shule tu,hawatembei umbali mrefu kwenda na kurudi shuleni kama wa kayumba za serikali.

Pia wanakula msosi safi shuleni,hivyo wanakuwa nguvu za kubeba begi bila wasiwasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mitaala ya elimu
Masome mengii wee hadi watoto wanashindwa kukariri
Zamani masomo 7 leo zaid ya 10 ndosababu ya hayo
 
Back
Top Bottom