Mabeberu, Vibaraka wa Mabeberu, Wazalendo wa Hayati Magufuli, na Mradi wa Bandari ya Bagamoyo

Porojo at work!

Kila mwenye akili timamu anafahamu Jiwe nae ni miongoni mwa wezi wakubwa waliopata kutokea nchi hii.

Katumia billions of TZS kununua ndege, hata nikikuuliza wewe na ukoo wako wote ni wapi tenda ilitangazwa, hamuwezi kuwa na majibu! Ili asikaguliwe, akaamua kuhamishia Wakala wa Ndege za Serikali Ikulu, huku akiacha misukule yake ikiimba nyimbo za mapambio!!

Halafu hivi hujishtukii unavyosema "tunataka kila kitu wazi wazi" wakati utawala wa JPM ndio uliongoza kuficha yale yanayofanyika huko serikalini?!
Kweli tupu ila kiukweli Chige Watanzania wengi ni wajinga ndiyo maana alifanikiwa kuwadanganya
 
Back
Top Bottom