Mabaunsa hawana lolote. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabaunsa hawana lolote.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kyenju, Jul 1, 2012.

 1. Kyenju

  Kyenju JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 4,573
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 180
  Juzi tulisikia jinsi Mabaunsa walivyopewa kibano na wananchi wenye hasira eneo la Namanga Tegeta, Tukio lililo husisha hata msafara wa mkuu wa nchi mabaunsa walipigwa wakapelekwa Mwananyamala Hssp wakiwa hoi. Kipindi cha nyuma huko huko Tegeta mabaunsa wengine waliwahi kupigwa na kukatwakatwa na mapanga, sasa wajue eneo la Tegeta ni hatari kwa maisha yao.
   
 2. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mkuu umenipa hamu sana ya kutembelea maeneo ya Tegeta jioni hii ya leo halafu nilianzishe ili wapate kujua kwamba huwa wanawaonea mabaunsa njaa, siyo mimi Power G. Unaowatisha kwamba tegeta ni hatari kwa maisha yao ni hao mabaunsa njaa tu.
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Mabaunsa ndo watu gani hao?
   
 4. Kyenju

  Kyenju JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 4,573
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 180
  Mziki wa Tegeta mkubwa mr power G, mkuu wa nchi mwenyewe kavua kofia.
   
 5. Arvin sloane

  Arvin sloane JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 963
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Hakuna baunsa kwa panga.
   
 6. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  Ni Yale majitu yatembea Kama yana majipu makwapani mkuu.
   
 7. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Ni mimi hapo kwenye picha Power G
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Jul 1, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Kwa mujibu wa kamusi ya Merriam-Webster, bouncer ni:


  Kwa mujibu wa kamusi ya Oxford, bouncer ni:


  Si utani, lugha kwa Watanzania ni janga la kitaifa!
   
 9. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #9
  Jul 2, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Nyama haikatai panga kupita, jaribu hata kwa kisu butu utaona.....
   
 10. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #10
  Jul 2, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,631
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  Nimecheka sana! Like!
   
 11. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #11
  Jul 2, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  mabaunsa gani wa kupambana na watu wasio na hatia?
   
 12. Acha Uvivu

  Acha Uvivu JF-Expert Member

  #12
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ni kweli, yaani hata ukichana kidogo ngozi ya msuli, kupona ni mbinde. Au baada ya muda mrefu hutokea kovu kama kirungu.
   
 13. Ngalangala

  Ngalangala JF-Expert Member

  #13
  Jul 2, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  kazi kweli kweli
   
Loading...