Mabati yaliyotumika yanauzwa

Mookiesbad98

JF-Expert Member
Feb 1, 2015
2,300
2,714
Mabati yaliyotumika design ya zamani na ya mwanzo ya alaf aluminium yenye mgongo wa L type yanauzwa pamoja na mbao zilizotumika. Bidhaa zinapatikana magomeni mapipa. Njoo dm tuyajenge
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom