Mabasi ya safari za Nyanda za Juu Kusini ni mabasi yenye huduma mbovu

Hotel kama Ismila Aljazeera yaani dah aibu aisee Vanyalukolo twugwa kwiya manyi!!
Matajiri hebu amkeni jamani dah
nyanda za juu kusini wengi ni low income ukipeleka high class bus imekula kwako tofauti na kaskazini .,kule wasomi wengi,middle class wengi ndio maana huhitajika huduma classic.

nyanda za juu kusini nako hivyo hivyo wengi low class income ndio maana hoteli zote za njiani za mikoa ya kusini na nyanda za juu kusini ziko chini mno ya kiwango .Mimi huwa sili njiani nikienda hizo njia vyakula ni vey low standard kuanzia mapishi,usafi hadi ladha na huduma

Hata njia ya kati ya DAR MWANZA BUKOBA bado sana hasa kwenye hoteli za njiani nadhani iko haja matajiri wa kilimanjaro waanzishe hoteli za kueleweka za njiani kwenye njia za kusini,kati na nyanda za juu ni open opportunity usiwalaumu wakazi wa huko take challenge hiyo kama fursa ya wewe kuwekeza kwenye hilo gap
 
MTU kwao

Kilimanjaro na galaxy walikuwa na project ya kujenga hotel maeneo ya mtandika kama sikosei!!

Tena kilimanjaro Mkandarasi alikuwa ameshafika site mwanzoni mwa mwaka huu..

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Mleta uzi namuunga mkono, hizo njia za kusini hasa kwenye hotel hamna kitu!
Vipo vibanda vya ajabu ajabu, utadhani mabanda ya kuhifadhia mkaa!
Kama usipokula au kuchukua chakula Aljazeera, kama unaelekea Mbeya, Songwe, Rukwa, Katavi na Kigoma; jiandae kufunga kwa lazima au kula bites na soda bila kupenda. Mbeya na makelele yake humu hakuna cafe ya kula abiria.
 
Hivi miaka hii bado unatumia usafiri wa mabasi ikiwa gari private ni milioni 9 tu, basi usiwasemee wenye mabasi ya milioni 200 eti hawana hata vifaa vya kutupia taka!
unadhani kila mtu ana huo uwezo ?
 
Matajiri wa mabus ya njia hizo hebu jifunzeni kwa wenzenu wa njia ya Dar-Dodoma, Dar-Kilimanjaro Dar- Aarusha na Dar-Mwanza kwa baadhi ya Kampuni
Dar - Mwanza ni Nyehunge pekee yaongoza kwa usafi na ustaarabu, mengine yote yapo kihunikihuni tu hata kauli ni hovyo
 
Ulipanda gari za bei za promosheni halafu unakuja kupiga kelele, halafu labda uniambie kwa kanda ya ziwa gari gani luxury yenye huduma nzuri? najua utataja dar lux ndio kimbilio lenu wasukuma.
Kama ni promotion nilidhani ndo zinatakiwa ziwe bora ili kutangaza huduma zao zilizo bora, unless u dont even knw what the term promotion mean... shubaramit......
 
Back
Top Bottom