Mabasi ya safari za Nyanda za Juu Kusini ni mabasi yenye huduma mbovu

Mbona mabasi yapo mengi shida inaweza kuwa nauli yako ndogo, hebu cheki mabasi Kama Saul, Imani na mengineyo.
Saul gari ni nzuri sana,
Huduma ni mbovu, wahudumu ndo tatizo. Wachafu hawana tofauti sana na konda wa daladala!!!
 
Dar - Mwanza ni Nyehunge pekee yaongoza kwa usafi na ustaarabu, mengine yote yapo kihunikihuni tu hata kauli ni hovyo

Ninachojua ugomvi mkubwa kati ya abiria na wahudumu wa mabasi ni kwenye suala la kuchimba dawa.
Unakuta kila baada ya muda anaomba kuchimba dawa badala ya kujizuia kula kula hovyo na kunywa maji kila baada ya muda.

Pia kuna abiria wanapanda gari ambazo zina AC sasa kila gari linaposimamishwa na askari anataka afungue kioo watu wamuone.

Mwingine kila kituo ananunua vyakula, mara kaona nyama choma ( mishkaki ) kanunua, mahindi ya kuchoma, vitumbua / Maandazi twende. Mwisho wa siku unaleta usumbufu kwa watu wa gari na abiria wengine.... ukiambiwa unasema wahudumu wanakujibu hovyo.
 
  1. Dawa yake ni kuwa na
    1605514501281.png
  2. Back Scandinavia
 
Hotel kama Ismila Aljazeera yaani dah aibu aisee Vanyalukolo twugwa kwiya manyi!!
Matajiri hebu amkeni jamani dah
... ile hoteli huwa inanishangaza sana! Just less than 200m kuotoka hoteli ilipo unapita miongoni mwa mito mikubwa zaidi Tanzania; the Great Ruaha so maji sio shida. In that regard, ile hoteli ilitakiwa iwe like Heaven kwa bustani na mazingira bora kabisa lakini ndio hivyo, utadhani ni jangwa!
 
Sasa mkuu we ulipanda gari linaitwa PREZDAA unategemea nini.Vyuma vya Sauli Super feo ama Chaula huvijuwi au.
 
Back
Top Bottom