Mabasi ya polisi hayafuati sheria kabisa wanaendesha rafu

Mallia

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
437
1,532
Niko kwenye mwendokasi hapa kona na faya yani mabasi ya polisi yanakimbizana , wanaovertake hadi mwendokasi

Mwendokasi umesimama kutii sheria ya taa nyekundu wenyewe wanaovertake wanaendelea na safari

Kuna haja ya kuwapa mafunzo sana hawa madereva wa polisi sijui wanaajiriwa kwa vigezo gani wakati hawafuati sheria za barabarani, mkija kuyamwaga magari yenu chini kwa uzembe wenu mnasingizia magari ya raia kumbe ni spidi zenu
 
Simple.!!! Siku akagonga MTU mtaani kwetu akisimama malizaneni nae!!!wenzake watajifunza!???
Dawa ya MTU mshenzi ni kuwa mshenzi zaidi yake
 
Back
Top Bottom