mzee wa mazabe
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 843
- 627
Kiukweli Usafiri huu unatusaidia sana hasa wale wakazi wa Kimara,Mbezi mpaka Kibamba,tatizo kubwa ni Askali kama Ubungo magari yanatumia muda mwingi sana pale utazani sio magari ya mwendo kasi,Askali mjitaidi mkiyaona myaruhusu kwa wakati hili yapate sife zake kama mabasi yaendayo kasi.