Mabasi ya mikoani yaigomea Serikali kuingia Stendi ya Magufuli

Ukweli ni kwamba ile stand ipo sehemu mbaya sana!
Hivi unategemea magari yanayotoka huko Kaskazini yanayopita barabara ya Bagamoyo yaje yarudi Mbezi kweli? Yatapitia njia ipi itakayoyarudisha Mbezi Stand kama yatakuwa yamepitia Bagamoyo?
Hakuna gari inayoweza kupitia Bagamoyo ifike mwenge iende Ubungo kisha ianze kuitafuta Mbezi!
Inachotakiwa ni dereva na kondakta amwambie abiria kabla hajapanda gari inapitia Bagamoyo na haitapitia Magufuli stand, hivyo abiria abaki na uamuzi wa kupanda then achague sehemu nyingine safe kwake kushuka au apande gari zinazopita Chalinze!
Tatizo abiria nao ni wabishi, anaambiwa hii gari inapita Bagamoyo na anataka kushuka mbezi anang'ang'ania tu gari ikifika mwisho wa safari anaanza kutukana dereva!
Kingine labda ugeni wa abiria, ambapo wengi wakielezwa wanaelewa!
We mgeni wa dar nin,mbona njia ya goba iko poa tu kukufikisha hapo stend ya Magufuli?
 
kwani akitokea stendi ya makufuli akapita njia ya goba akatokea mbezi tank bovu akashika njia ya bagamoyo ninintatizo? na akitokea tanga bagamoyo mbezi beach njia ya goba mbezi ya kimara stendi ya makufuli kimeharibika nini mbona poa tu
 
Huyo abiria hata kama simu imezima hawez kupotea mwenyej wake aende ofs za tashriff kuuliza ataelezwa gari ilipo huyo abiria asubir hapohapo
 
Kama jiwe la msingi liliwekwa na Magufuli, stand ibafilishwe jina la kuitwa Dar Es salaam International Bus Terminal (DIBT).. Majina y wana siasa yanabagua wananchi.
Wadau, habari za Jumapili? Kuna ugomvi wa mara kwa mara au kila siku, kati ya abiria na wahusika wa baadhi ya mabasi kutoka mikoani kuja Dar kuhusu mabasi hayo kugoma kuingia Stendi Kuu ya Magufuli, Mbezi.

Nimewahi kusikia mara kadhaa, lakini jana Tarehe 27/11/2021 nimeshuhudia mwenyewe abiria wa Basi la Tashiriff lililotoka Tanga saa kumi jioni akipigizana kelele na wahusika wake pale Magomeni Mwembechai akitaka basi hilo liende Mbezi Stendi ya Magufuli kwani halikufanya hivyo na lilipita Bagamoyo mpaka Mwembechai, ndiyo ruti yao.

Sijajua nani mwenye mamlaka ya kutoa kauli hiyo, lakini ukweli ni kwamba, abiria wanapata tabu. Yupo abiria mmoja alisubiriwa na mwenyeji wake Stendi ya Magufuli, basi hakikuingia na breki ya mwisho ilikuwa Shekilango. Mbaya zaidi abiria huyo simu yake ilizima chaji na alitegemea kumwona mwenyeji wake kwa sura maana alishamwambia amepanda basi gani. JF tuungane kukemea sintofahamu hii.
 
Njia ya madale imekamilika.. leta sababu nyingine
Ukweli ni kwamba ile stand ipo sehemu mbaya sana!
Hivi unategemea magari yanayotoka huko Kaskazini yanayopita barabara ya Bagamoyo yaje yarudi Mbezi kweli? Yatapitia njia ipi itakayoyarudisha Mbezi Stand kama yatakuwa yamepitia Bagamoyo?
Hakuna gari inayoweza kupitia Bagamoyo ifike mwenge iende Ubungo kisha ianze kuitafuta Mbezi!
Inachotakiwa ni dereva na kondakta amwambie abiria kabla hajapanda gari inapitia Bagamoyo na haitapitia Magufuli stand, hivyo abiria abaki na uamuzi wa kupanda then achague sehemu nyingine safe kwake kushuka au apande gari zinazopita Chalinze!
Tatizo abiria nao ni wabishi, anaambiwa hii gari inapita Bagamoyo na anataka kushuka mbezi anang'ang'ania tu gari ikifika mwisho wa safari anaanza kutukana dereva!
Kingine labda ugeni wa abiria, ambapo wengi wakielezwa wanaelewa!
 
Wadau, habari za Jumapili? Kuna ugomvi wa mara kwa mara au kila siku, kati ya abiria na wahusika wa baadhi ya mabasi kutoka mikoani kuja Dar kuhusu mabasi hayo kugoma kuingia Stendi Kuu ya Magufuli, Mbezi.

Nimewahi kusikia mara kadhaa, lakini jana Tarehe 27/11/2021 nimeshuhudia mwenyewe abiria wa Basi la Tashiriff lililotoka Tanga saa kumi jioni akipigizana kelele na wahusika wake pale Magomeni Mwembechai akitaka basi hilo liende Mbezi Stendi ya Magufuli kwani halikufanya hivyo na lilipita Bagamoyo mpaka Mwembechai, ndiyo ruti yao.

Sijajua nani mwenye mamlaka ya kutoa kauli hiyo, lakini ukweli ni kwamba, abiria wanapata tabu. Yupo abiria mmoja alisubiriwa na mwenyeji wake Stendi ya Magufuli, basi hakikuingia na breki ya mwisho ilikuwa Shekilango. Mbaya zaidi abiria huyo simu yake ilizima chaji na alitegemea kumwona mwenyeji wake kwa sura maana alishamwambia amepanda basi gani. JF tuungane kukemea sintofahamu hii.
Abiria wanapo nunua tiketi hujuzwa gari linalo pita Bagamoyo haliingii stand ya Magufuli. Kwa kuwa yapo magari yanayo pita chalinze, ambayo yanaingia stand ya Magufuli kwa nini abiria hao wasichague magari hayo, badala yake wakazushe ugomvi usiyo na tija? Abiria wajitafakari!
 
Kama jiwe la msingi liliwekwa na Magufuli, stand ibafilishwe jina la kuitwa Dar Es salaam International Bus Terminal (DIBT).. Majina y wana siasa yanabagua wananchi.
Uko sahihi kabisa.
Tuachanane na huu mtindo wa kuyapa majina maeneo yetu majina ya wanasiasa, tena wakati wanasiasa hao wakiwa madarakani.
 
Kuweka kumbukumbu sawa na usahihi hapa JF.

Utaratibu wa mabasi kuingia stendi kuu ya mabasi ni suala la lazima kisheria na sio uchaguzi wa mwenye basi au abiria. Haijarishi kama kampuni ya mabasi ina ofisi zake binafsi sehemu nyingine au inapitia njia gani, route yake rasmi inapaswa kuanzia stendi kuu na kuishia stendi kuu. Kabla ya kuanza route yake au baada ya kumaliza route yake inaweza kwenda popote (shuttle) ikiwemo kwenye ofisi zake. Tusiwe na double standard katika hili. Tunapaswa kutofautisha kati ya route (njia rasmi ya usafirishaji) dhidi ya shuttle (njia binafsi ya urahisishaji kwenye usafirishaji), tusilazimishe shuttle kuwa ndio route.

Kuhusu hili la sasa, msimamo ni huo huo na mkuu wa Mkoa alishaweka wazi kuwa mabasi yote lazima yaingie na kutokea Magufuli bus terminal pale Mbezi na kinyume na hapo ni kuvunja sheria na maagizo yake.
 
Ukweli ni kwamba ile stand ipo sehemu mbaya sana!
Hivi unategemea magari yanayotoka huko Kaskazini yanayopita barabara ya Bagamoyo yaje yarudi Mbezi kweli? Yatapitia njia ipi itakayoyarudisha Mbezi Stand kama yatakuwa yamepitia Bagamoyo?
Hakuna gari inayoweza kupitia Bagamoyo ifike mwenge iende Ubungo kisha ianze kuitafuta Mbezi!
Inachotakiwa ni dereva na kondakta amwambie abiria kabla hajapanda gari inapitia Bagamoyo na haitapitia Magufuli stand, hivyo abiria abaki na uamuzi wa kupanda then achague sehemu nyingine safe kwake kushuka au apande gari zinazopita Chalinze!
Tatizo abiria nao ni wabishi, anaambiwa hii gari inapita Bagamoyo na anataka kushuka mbezi anang'ang'ania tu gari ikifika mwisho wa safari anaanza kutukana dereva!
Kingine labda ugeni wa abiria, ambapo wengi wakielezwa wanaelewa!
Ssa hao wenye mabac wanakpsea.
7babu kwa kawaida kma una habiria lazm huende kweny kituo husika cha ruti yko ssa kma wanafnya hivy inakuwa haileti picha nzur
 
Sehemu mbaya dhidi ya nan? Watu walikuwa wanatoka Mtwara bus linafika Ubungo kipindi hicho licha yakuwa na stand zake uko Sudan

Sent using Jamii Forums mobile app
Soma ulivyoandika kuhusiana na mabasi ya Mtwara kufika Ubungo NA mabasi yanayotoka Tanga yanayopitia Bagamoyo kwenda Mtwara via Dar yaende stand ya Mbezi! Tafakari kwanza urahisi au ugumu uliyoko.
 
Kutoka Tanga kuja dae kuna ruti mbili
Ya bagamoyo ambayo haipiti mbezi stand na kuna ya
kibaha ambayo inapita ....same way na abiria toka moshi na Arusha.
So hao Tashrif wako sahihi huyo abiria angetaka kupita mbezistand angepanda gari za kupitia Kibaha.
Exactly.

Case closed.
 
Ukweli ni kwamba ile stand ipo sehemu mbaya sana!
Hivi unategemea magari yanayotoka huko Kaskazini yanayopita barabara ya Bagamoyo yaje yarudi Mbezi kweli? Yatapitia njia ipi itakayoyarudisha Mbezi Stand kama yatakuwa yamepitia Bagamoyo?
Hakuna gari inayoweza kupitia Bagamoyo ifike mwenge iende Ubungo kisha ianze kuitafuta Mbezi!
Inachotakiwa ni dereva na kondakta amwambie abiria kabla hajapanda gari inapitia Bagamoyo na haitapitia Magufuli stand, hivyo abiria abaki na uamuzi wa kupanda then achague sehemu nyingine safe kwake kushuka au apande gari zinazopita Chalinze!
Tatizo abiria nao ni wabishi, anaambiwa hii gari inapita Bagamoyo na anataka kushuka mbezi anang'ang'ania tu gari ikifika mwisho wa safari anaanza kutukana dereva!
Kingine labda ugeni wa abiria, ambapo wengi wakielezwa wanaelewa!
Hapo ndiyo watawala wajifunze kwamba town planning ina watu waliopinda akili, ile location ni ya hovyo kabisa, kiukweli standa ya Dar ilipaswa iwe mawasiliano kabla hawajampa eneo mama mkapa kujenga shule na kile chuo cha sheria
 
Kero yangu kwa stand hio;Tuboreshe vyoo vya wanaume Mambo ya kusimamiwa mgongoni na mwanaume mwenzako ukiwa unajisaidia haja ndogo hapana..masinki machache,matundu machache mkiingia watu kumi mnasukumana mabega....Asanteni Hilo dogo linawezekana tukiamua
 
Ukweli ni kwamba ile stand ipo sehemu mbaya sana!
Hivi unategemea magari yanayotoka huko Kaskazini yanayopita barabara ya Bagamoyo yaje yarudi Mbezi kweli? Yatapitia njia ipi itakayoyarudisha Mbezi Stand kama yatakuwa yamepitia Bagamoyo?
Hakuna gari inayoweza kupitia Bagamoyo ifike mwenge iende Ubungo kisha ianze kuitafuta Mbezi!
Inachotakiwa ni dereva na kondakta amwambie abiria kabla hajapanda gari inapitia Bagamoyo na haitapitia Magufuli stand, hivyo abiria abaki na uamuzi wa kupanda then achague sehemu nyingine safe kwake kushuka au apande gari zinazopita Chalinze!
Tatizo abiria nao ni wabishi, anaambiwa hii gari inapita Bagamoyo na anataka kushuka mbezi anang'ang'ania tu gari ikifika mwisho wa safari anaanza kutukana dereva!
Kingine labda ugeni wa abiria, ambapo wengi wakielezwa wanaelewa!
Hakuna basi linapita mwenge...njia inayotumika ni tegeta mataa Kwenda wazo wanatokea madale mpaka Mbezi mwisho, ni mwendo wa dk 15 tu na hakuna foleni
 
Wadau, habari za Jumapili? Kuna ugomvi wa mara kwa mara au kila siku, kati ya abiria na wahusika wa baadhi ya mabasi kutoka mikoani kuja Dar kuhusu mabasi hayo kugoma kuingia Stendi Kuu ya Magufuli, Mbezi.

Nimewahi kusikia mara kadhaa, lakini jana Tarehe 27/11/2021 nimeshuhudia mwenyewe abiria wa Basi la Tashiriff lililotoka Tanga saa kumi jioni akipigizana kelele na wahusika wake pale Magomeni Mwembechai akitaka basi hilo liende Mbezi Stendi ya Magufuli kwani halikufanya hivyo na lilipita Bagamoyo mpaka Mwembechai, ndiyo ruti yao.

Sijajua nani mwenye mamlaka ya kutoa kauli hiyo, lakini ukweli ni kwamba, abiria wanapata tabu. Yupo abiria mmoja alisubiriwa na mwenyeji wake Stendi ya Magufuli, basi hakikuingia na breki ya mwisho ilikuwa Shekilango. Mbaya zaidi abiria huyo simu yake ilizima chaji na alitegemea kumwona mwenyeji wake kwa sura maana alishamwambia amepanda basi gani. JF tuungane kukemea sintofahamu hii.
Huyo abiria angepanda ndege
 
Hakuna basi linapita mwenge...njia inayotumika ni tegeta mataa Kwenda wazo wanatokea madale mpaka Mbezi mwisho, ni mwendo wa dk 15 tu na hakuna foleni

Wiki hii nimesafiri kijana, tumepita mwenge nikashukia shekilango! Acha ujuaji, mimi siyo mgeni wa hiyo njia!
 
Basi itategemea na kampuni ya basi na nyia wanayotumia...ila mabasi yanayokwenda Tanga/Dar mengi yanakatisha hapo..
 
We mgeni wa dar nin,mbona njia ya goba iko poa tu kukufikisha hapo stend ya Magufuli?

Hiyo njia unajua changamoto zake kwa mabasi? Ingekuwa rahisi kama unavyofikiria mabasi yote yanayotoka kaskazini na kupitia njia ya Bagamoyo yasingeleta ubishi kwenda hiyo stand ya mbezi!
Panda hayo magari siku moja then waambie wapitie Goba huko wakupeleke mbezi then ulete mrejesho hapa!
 
Basi itategemea na kampuni ya basi na nyia wanayotumia...ila mabasi yanayokwenda Tanga/Dar mengi yanakatisha hapo..

Mabasi ya Tanga/Dar mengi pia yanapitia njia ya Chalinze, na mengi yamehamishia pia ofisi zao Mbezi, ndiyo maana hayo machache yanayopita Bagamoyo yanaenda Mbezi!
Magari ya route za Dar -Arusha/Moshi ni machache sana yanaingia Mbezi kupitia hiyo njia ya Goba! Na kama yatapitia hiyo njia ya Goba kupitia njia ya Bagamoyo na kuingia Magufuli stand basi yatakuwa hayaendelei na safari yataishia hapo!
 
Back
Top Bottom