uzeebusara
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 657
- 514
Habari za jioni na wikiend kwa ujumla
Jamani wana Jf hivi haya mabasi ya kichina hasa body zinatengenezwa kwa mabati au material ya aina gani? Imekuwa inanishangaza sana gari likipata ajali yaani basi linakwisha kabisa. Maana nikiangalia mabasi yale yenye body za Kenya au Dsm na Marcopolo naona tofauti sana. Mfano angalia kuna basi hili la BM. Na je material haya yanakidhi viwango vya usalama.
Angalizo picha hizi hazina uhusiano qowote na kampuni husika bali ni reference kwa kuijadili mada kiupana zaidi.
Nawasilisha