Haya mabasi ni imara na bora.Hayo ni Higher.
Huyo ni mchina hata US anapiga kazi. Ni kampuni bora na trustworth kwa dunia nzima.
Matajiri wa kibongo wameyakimbilia sana kwasababu ni bora, class na rahisi kuyamaintain na pia yanadumu muda mrefu kuliko zhongtong buses.
Umejibu ki ndolanga ndolanga!Haya mabasi ni imara na bora.
Pia kuna kampuni nyingine ya RED BELT imeingiza bus kutoka za Red Dragon kwa kweli hii gari nilipanda gari kutoka kahama kwa kweli ni mazurihuyo sio mkorea wala sio Hyundai iyo. Mchina huyo ni mabasi aina ya Higer yanaitwa hayo. bado matajir wa bongo hawajaanza kununua mabasi toka korea kwa sababu korea anatumia left hand drive na gar zake nyingi ni left hand drive, mostly gar zake nyingi zatumika rwanda sana mkorea
Kiukweli yana mvuto, hata ndani ni SUPER DELUXY, hadi charger na space ya kutosha ya miguu. Nilimsindikiza mtu aliyesafiri nalo kwenda kanda ya ziwa, nilikaa ndani kidogo wakati yakijivuta kuelekea getini ile asubuhi kuanza safari, ni first class luxury!Kila siku nayaona barabarani, kwa kweli yanavutia sana. Je kwa aliyekwisha panda mabasi hao vipi kuhusu ubora na comfortability yake. Nimeona matajiri mbalimbali wameanza kuyanunua kwa kasi sana.
View attachment 326994
View attachment 326995
nyie ndio wale mnaosindikiza wageni mpk ndani ya basi sipendi hiyo tabia ndio maana airport hawaruhusu kusindikizana sindikizanaKiukweli yana mvuto, hata ndani ni SUPER DELUXY, hadi charger na space ya kutosha ya miguu. Nilimsindikiza mtu aliyesafiri nalo kwenda kanda ya ziwa, nilikaa ndani kidogo wakati yakijivuta kuelekea getini ile asubuhi kuanza safari, ni first class luxury!
Ubora sijajua!
Nipe jina la hiyo kampuni, nikitaka kwenda home nipande!Kiukweli yana mvuto, hata ndani ni SUPER DELUXY, hadi charger na space ya kutosha ya miguu. Nilimsindikiza mtu aliyesafiri nalo kwenda kanda ya ziwa, nilikaa ndani kidogo wakati yakijivuta kuelekea getini ile asubuhi kuanza safari, ni first class luxury!
Ubora sijajua!