Mabasi ya 'Dar Express' yanahujumiwa?

Preta nalishugulikia hili,Ila nimeongea namkurugenzi amesikitika sana kwamatatizo ambayo wateja wake wanayapata ktk huduma yake bila yeye kujua!Anaomba mnapopata shida mumjulishe mara moja ili aweze kuchukua hatua!Mtapata namba yk soon.Kwasasa fuata maelekezo niliyatoa hapo juu namana yakumpata.
Tena aanze na yule binti yake mwenye nyodo. Halafu aache ajira za kindugu maana wafanyakazi wake wana viburi sana.
Siyo mbaya pia akinunua mabasi mapya
 
Hakuna mfuatiliaji,toka yule mother kufariki,then akafuata Ben(kihondi)....kampuni imeyumba itachukua muda kusimama tena.
 
Inaskitisha sana kuona hujuma za waziwazi zinazofanywa na mafisadi kuhujumu juhudi binafsi za wazawa katika shughuli nzima za kimaendeleo kama kinachoendelea kwenye mabasi ya Dar Express.

Angalizo kwa hujuma anyofanyiwa mmiliki wa hayo magari ni kuwa watu wanaelewa kuwa ni mchezo mbaya anafanyiwa huyo bwana na anaefanya hayo yatajulikana tu kwani kaskazini watu huku wanachukia majungu kuliko kitu chochote kile,hayo magari yenu mmnayoleta mtapanda wenyewe na familia zenu.

Nan anahujumu kampun mbov huduma mbov hata service mbovu,jumatano tu ndugu yangu anatoka karatu to dar gari kufika moshi limeharibika,kubadilisha likaletwa jingine kufika uchira mafuta hakuna kumbuka hapo ni saa sita,kali yao kufuata mafuta na dumu masaa mawili na kupelekea gari kuondoka saa tisa kwenda dar, nan anahujum huduma yao mbovu hii
 
Tena aanze na yule binti yake mwenye nyodo. Halafu aache ajira za kindugu maana wafanyakazi wake wana viburi sana.
Siyo mbaya pia akinunua mabasi mapya
Mpinga shetani nimekusoma.Nikweli mambo hayoko sawa kwajinsi inavyoonekana kwanje.Ila niswala lamuda tu.
 
Back
Top Bottom