Mabasi na Malori yatumika kukusanya watu CCM kirumba, Ng'ombe 70 Wachinjwa!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabasi na Malori yatumika kukusanya watu CCM kirumba, Ng'ombe 70 Wachinjwa!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by spencer, Feb 5, 2012.

 1. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  [FONT=&amp] GreatThinkers,[/FONT]

  [FONT=&amp]Tangu usiku wa manane mabasi ya Mombasa raha, Nyehunge na Zakaria yanasomba watu toka Musoma Vijijini, Mombasa inatoa watu shinyanga vijijini na Nyehunge Biharamuro.[/FONT]
  [FONT=&amp]Vijana wa Jijini Mwanza walio na Boda boda kama kawaida Posho wamechukua wanasomba watu.[/FONT]
  [FONT=&amp]Kuna ng'omba takribani ya 70 wamechinjwa na ubwabwa unaendelea kupikwa. [/FONT]
  [FONT=&amp]Watu hawa wote wamelipwa posho kati ya 10,000 na 25,000.[/FONT]
  [FONT=&amp]Ni aibu kubwa sana kwa viongozi wengi kufuja mipesa mingi badala ya kushughulikia Madaktari. [/FONT]
   
 2. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Miaka 50 ya uhuni na Tanganyika tuitakayo
   
 3. chuki

  chuki JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,691
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135

  Usingedanganaya ningeshangaa,
  ungefukuzwa kazi chadema kwenda kinyume na mkataba wenu wa kupotosha.

  Mwl Nyerere aliwahi sema mnaacha mema mnachukua ya KIJINGA.
   
 4. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,606
  Trophy Points: 280
  Tumewaona wale 'chipukizi wa ccm'yaani wamewaapa pesa zao za mauzo kila siku wakawaweka pale kuruka gwaride fake...watu wazima wale mnawaita chipukizi??kweli siasa za karne hii kazi ipo!!sawa wale watoto waliletwa karimjee kuchangia katiba.........watoto wa mitaani!!!kazi ipo
   
 5. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #5
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  .
  Huna hata aibu,
  mnatuletea wageni ambao wala si wakazi wa Mwanza
   
 6. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #6
  Feb 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 493
  Trophy Points: 180
  Hivi ni kweli haya Yametokea!!!
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ccm zaidi ya uijuavyo
   
 8. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #8
  Feb 6, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  watanzania zaidi ya uwajuavyo
   
 9. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #9
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  mkuu pia jiji walipita kukagua wafanya biashara wa vileo wasio na leseni siku ya ijumaa kama huna leseni walikua wakichukua creti zenye pombe na kuondoka nazo hapa kwa jamaa yangu wameondoka na 4 zenye pombe, kumbe walikua wanazipeleka kwa hao watu walio alikwa!
   
 10. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #10
  Feb 6, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  ungebandika picha ingekuwa safi sana
   
 11. L

  Lsk Senior Member

  #11
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ...waache wasombanesombane,itafika muda uelewa utawaingia kichwani hao wasombwaji na hapo ndipo utakapokuwa mwisho wa CCM. Their days are numbered...wenye akili ya kung'amua tushafahamu kuwa hii ni hatua ya pili kutoka mwisho wa Chama Cha Mafisadi.
   
 12. s

  sanjo JF-Expert Member

  #12
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Ilibidi wafanye hivyo baada ya CDM kuchukua majimbo yote mawili.
   
 13. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #13
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Uliza yeyote aliye Mwanza akwambie ukweli.
  Wametia aibu kubwa.

  Ila nilichojionea waliokuwa wameletwa wengi wao umri umekwenda.
   
Loading...