Mabasi mawili yagongana uso kwa uso | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabasi mawili yagongana uso kwa uso

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Invisible, Dec 17, 2009.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Dec 17, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,099
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Watu kumi na tisa wamefariki papo hapo huko Moshi (Same) likitokea Mombasa. Basi mojawapo ambalo limehusika ni Mohammed Trans na gari dogo aina ya Coaster
   
 2. Z

  Zungu Pule JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2009
  Joined: Mar 7, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 180
  Oh man! My prayer is with all the victims. Ni Moshi au Same (Moshi=Same?)?
   
 3. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #3
  Dec 17, 2009
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,072
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  kampuni ya mohamed ina matatizo gani mbona kila siku wao???basi wabadili jina la magari yao kama ni hivyo!!!onyo madreva kuweni waangarifu huu ni mwezi wa makusanyo kwa hiyo mnahitajika muwe makini sana ajali nyingi hutokea kipindi hiki cha x mass na mwaka mpya!
   
 4. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #4
  Dec 17, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,099
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Mkuu taarifa nilizopata zilidai ni maeneo ya Moshi karibu na Same, sina hakika kama ni Same kabisa... lemme check with sources. Ila ni confirmed kuwa ajali hiyo imeua watu zaidi ya 19 papo hapo. Mwisho wa mwaka mbaya sana!
   
 5. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #5
  Dec 17, 2009
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,056
  Likes Received: 663
  Trophy Points: 280
  Hizo habari za kusikitisha. RIP marehemu wote. Poleni mliofiwa.
   
 6. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #6
  Dec 17, 2009
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 10,416
  Likes Received: 2,975
  Trophy Points: 280
  Poleni sana,
   
 7. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #7
  Dec 17, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,919
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  japo kuwa tuna madereva wazembe wengi lakini mie nalia sana na barabara zetu ni nyembamba mno na wahusika hawana jipya kabisa kutatua tatizo hili.tunapoteza maisha ya watu wengi sana kwenye ajali za barabarani kila mwaka.


  mungu alaze roho za marehemu mahali pema peponi.
   
 8. ulimboka

  ulimboka Member

  #8
  Dec 17, 2009
  Joined: Aug 23, 2009
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu aziweke roho za marehemu mahali pema peponi. Amina!
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Dec 17, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,045
  Likes Received: 18,551
  Trophy Points: 280
  ni lazima kusafiri,kila sikukuu...
  huuu ujinga wa kwenda nyumbani kwa sikukuu utaisha lini?
   
 10. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #10
  Dec 17, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,156
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  We The Boss, kwani ajali imetokea kwa kuwa walikuwa wanakwenda nyumbani kwa sikukuu (na vinginevyo isingetokea)?!

  Poleni wafiwa!
   
 11. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #11
  Dec 17, 2009
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 4,746
  Likes Received: 534
  Trophy Points: 280
  Ooh jamani jinsi gani watu hawa walivyokuwa na malengo na wakiliwajibikia kusudi la woa kuwepo duniani. Wameondoka ghafla na tumaini lao pamoja nao. Eeh Mungu jalia nafsi zao ziweze kurithi ahadi ya tumaini la imani yao kwako wakati wa uhai wao. Aamina!!
   
 12. Hebrew

  Hebrew JF-Expert Member

  #12
  Dec 17, 2009
  Joined: Jul 3, 2008
  Messages: 498
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Poleni sana wafiwa na nawaombea majeruhi wapone haraka.
  Hivi wahusika hawapo au hawaoni hizi ajali..au kwa sababu wao wanaruka siku hizi?
   
 13. m

  mpangwa1 JF-Expert Member

  #13
  Dec 18, 2009
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli binadamu tunatofautiana, under this circumstance unaongea haya maneno.
   
 14. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #14
  Dec 18, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Lord have mercy, Lord have mercy, why is this happening? It is unbelievable to see and hear such a sad sad news at time like this! Lord have mercy.

  Poleni sana wafiwa, Mungu awatie nguvu na kuwafariji wakati huu mgumu wa kufiwa.

  Poleni sana.
   
 15. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #15
  Dec 18, 2009
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkuu wang The Boss
  Umeamikia wapi leo? Ungegonga kwanza RIP basi. Huwezi jua walikuwa wanakwenda wapi, kama ujuavyo msafiri kafiri

  Aungu awapumzishe kwa amani na majeruhi wapate kheri
   
 16. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #16
  Dec 18, 2009
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mungu azilaze roho za marehemu pahala alipowaandalia
  Mwisho wa mwaka huu, ni budi madereva wetu wakawa waangalifu zaidi... Aidha abiria tuache kushabikia mwendo wa kasi, wakati mwengine ajali zinaweza kuepukika.....
  UNAPORUDI NYUMBANI SALAMA,,SALI NA UMSHUKURU MUUMBA
   
 17. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #17
  Dec 18, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,479
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  Waliokuwa kwenye coaster wengi ni ndugu. Safari yao ilikuwa kwa ajili ya shughuli ya harusi. Moja ya familia zilizokuwemo kwenye coaster hakusalimika hata mmoja.
   
 18. T

  Tsidekenu Senior Member

  #18
  Dec 18, 2009
  Joined: May 7, 2009
  Messages: 141
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Nimesikia kwenye BBC walikuwa ni ndugu wnaeleke kwenye harusi same, kwa hiyo kuna probability kuwa a number of family members wameondoka at once.
  ITS VERY SAD>
   
 19. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #19
  Dec 18, 2009
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 792
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Siyo ujinga hata kidogo kwenda nyumbani wakati wa sikukuu, usitoke nje ya hoja kinachojadiliwa hapa ni ajali na siyo kwenda nyumbani wakati wa sikukuu, kama hutakiwatu waende nyumbani wakati wa sikuku unataka waende wapi? kwenda nyumbani ndio wanvyo-enjoy sikukuu
   
 20. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #20
  Dec 18, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,533
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  pole kwa wafiwa na ninawaombea majeruhi wapone haraka...
   
Loading...