Mabasi Luxury yaendayo Mbeya

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,897
8,350
Wadau naulizia kwa wanojua kama kuna bus Luxury ziendazo Mbeya,nataka kujua majina ya hayo mabasi ambayo ni Luxury na sio Semi-Luxury,nadhani tunajua utofauti wa Luxury na Semi -luxury bus.Asanteni
 
Hakuna bus luxury huyo labda semi luxury. Nasikia kuna mabasi mapya yanaitwa Dar Lux sijajua kama yenyewe ni luxury au semi luxury
 
Back
Top Bottom