Mabasi kutembea usiku sawa, ila yasimamiwe yasizidi spidi 60!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,660
15,744
Pendekezo la waziri wa mambo ya ndani mh Kangi Lugola la kuyawezesha mabasi yasafiri usiku, nimelipokea/ limepokelewa kwa nderemo na vifijio kote nchini.
Tatizo ni jinsi ya kuyadhibiti ndio shida.
Kwa mtazamo wangu, kampuni za fleet management kama Car track wapewe tenda ya kudhibiti mabasi hayo kuhakikisha inapofika saa moja usiku, hayatembei zaidi ya spidi sitini.
Kwa muundo wa mabasi yalivyo, hata likipata ajali likiwa kwenye spidi sitini na kushuka chini, am sure 'no one will die' at that speed.
Speed 60 inaweza kuonekana kuwa ni ndogo lakni iwapo basi linakwenda speed 60 kwa masaa 12 lina uwezo wa kusafiri umbali wa 720km, ambao huo ni umbali wa kutoka Dar na karibu kufika Mbeya.
Hizi fleet management companies kwa kushirikiana na kitengo cha trafik kina uwezo wa kumonitor speed ya mabasi isizidi sitini kwa usiku na wenye mabasi wenyewe ndio watakaogharamikia kulipia kwenye fleet management companies.
Tukifanya hivi, haya mambo sijui ya abiria kulala njiani tutakuwa tumeyaondoa kabisa.
Hongera mh Kangi Lugola kwa ubunifu huu....
 
hapo ni 80+ utasikia tu lilipata pancha tairi la mbele n.k
 
sioni logic ya Bus kusafiri usiku, kuna wakati pale Kisutu tulikuwa tunaondoka saa 12 kwenda mikoani na ajali zilikuwa nyingi tu ndio tukabadili Bus zikaanza kuondoka asubuhi na bado tumeendelea kuwa na matatizo, nafikiri tujaribu kutumia akili zaidi kidogo
 
Mkuu issue ya kusafiri usiku haaihusiani na ajali. Hapa waziri alichooangalia ni upotwezaji wa muda uliokuwa ukifanywa na polisi kwa kisingizio cha usalama.Kwa mfano bus linapofika pale Morogoro Msamvu 21:55HRS mtaambiwa mpaki mpaka alfajiri.
 
yacha yaende speed yoyote,muda wowote tuwahi kufika.huyu ni waziri mvuta..........

bora hata angesema maroli yatembee usiku,mabasi mchana,inaonekana hata hajui kwanini iliwekwa namna hiyo.
 
unajuwa.basi.linapo.toka.dar.kuja mwanz.a dereva anakimbia.aje.kufika.shinyanga chini.ya.saa 6 usiku na.anapo.toka mwanza kwende.dar.anakimbia.afike.morogoro chi.ya saa 6 usiku wakijuwa hakuna kizuwizi inamana hakuna mtu atakae.kimbia ili asilale .moro au shinyanga
 
Siamini kama speed ndio chanzo cha ajali. Naamini kuwa kukosekana umakini kwa watumiaji wa barabara ndio kunasababisha ajali. Watumiaji wa barabara ni madreva wa vyombo vya moto, waendesha baiskeli na mikokoteni pamoja na watembea kwa miguu bila kusahau mifugo.
 
sioni logic ya Bus kusafiri usiku, kuna wakati pale Kisutu tulikuwa tunaondoka saa 12 kwenda mikoani na ajali zilikuwa nyingi tu ndio tukabadili Bus zikaanza kuondoka asubuhi na bado tumeendelea kuwa na matatizo, nafikiri tujaribu kutumia akili zaidi kidogo
Hujashauri lolote Mkuu. Nini kifanyike???!!!!
 
Aisee cha kwanza nahisi ili kuzuia ajali ni kuweka taa za barabarani, sababu hii imekua changamoto sana manake taa sehem nyingi hamna hasa usiku na kumbuka mnapishana inatupa shida sana sisi madereva mwenzako akiwa na full light Ni Kama anakublind hivi hii inaweza sababisha ajali, zngne magari yalioharibika nayo kuyaona ni shida unakuta Mtu hajawasha indicator wala triangle hajaweka so ni changamoto sana
 
Hizo Dawa Kuponya Majeraha Inategemeana Ngozi Imeungua Kwa Kiasi Gani. Matabaka Ya Ngozi Ni Mengi. Tabaka La Juu Ndilo Hupona Haraka. Matabaka Ya Ndani Yakiungua Ni Shughuli Pevu Kupona Na Kurudi Kama Mwanzo Bila Makovu. Kuhusu Kupika Ni Lazima Upike Nyumbani Tu, Bajeti Ni Kubwa Ya Kwenda Kula Hotelini Kutwa Mara Tatu Kwa Siku. Mwanandoa Akighadhibika Na Kuamua Kutoa Adhabu Hashindwi Kutumia Nyingine Iliyo Karibu Kutimiza Kusudi Lake Ovu
 
Bangi gani umevuta?
 
chanzo cha ajali nyingi ni barabara ifikie kipindi barabara zijengwe nne mbili kwenda mbili kurudi zikitenganishwa Na tuta kubwa.

ikumbukwe ajali nyingi ni kugongana kwa gari liendalo na lirudilo
 
Hizo Dawa Kuponya Majeraha Inategemeana Ngozi Imeungua Kwa Kiasi Gani. Matabaka Ya Ngozi Ni Mengi. Tabaka La Juu Ndilo Hupona Haraka. Matabaka Ya Ndani Yakiungua Ni Shughuli Pevu Kupona Na Kurudi Kama Mwanzo Bila Makovu. Kuhusu Kupika Ni Lazima Upike Nyumbani Tu, Bajeti Ni Kubwa Ya Kwenda Kula Hotelini Kutwa Mara Tatu Kwa Siku. Mwanandoa Akighadhibika Na Kuamua Kutoa Adhabu Hashindwi Kutumia Nyingine Iliyo Karibu Kutimiza Kusudi Lake Ovu
Naona umemix code boss.

Unatumia app?
Gusa post yako itabadilika rangi na kua ya bluu juu kulia kuna vidoti vitatu, bonyeza hiko itakuletea option hii 'Moderate' ikubali kisha bonyeza 'Delete' utaulizwa kama ni 'Soft delete' au 'Hard delete' Kubali 'Soft delete' na post yako itakua imefutwa.

Unatumia browser?
Nenda kwenye post uliyoituma chini kutakua na maneno 'Edit' 'Delete' 'Reply' chagua 'Delete' utaulizwa sababu, utaisema kua umemix code na post yako itafutika.
 
Mkuu issue ya kusafiri usiku haaihusiani na ajali. Hapa waziri alichooangalia ni upotwezaji wa muda uliokuwa ukifanywa na polisi kwa kisingizio cha usalama.Kwa mfano bus linapofika pale Morogoro Msamvu 21:55HRS mtaambiwa mpaki mpaka alfajiri.
Kusafiri usiku hakuhusiani na ajali ila mleta uzi alichopoint ni namna gani ajali zipunguzwe kama kutembea usiku kutapitishwa.

Hivyo uliyemquote yupo sahihi kwa alichosema.
 
Back
Top Bottom