Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,660
- 15,744
Pendekezo la waziri wa mambo ya ndani mh Kangi Lugola la kuyawezesha mabasi yasafiri usiku, nimelipokea/ limepokelewa kwa nderemo na vifijio kote nchini.
Tatizo ni jinsi ya kuyadhibiti ndio shida.
Kwa mtazamo wangu, kampuni za fleet management kama Car track wapewe tenda ya kudhibiti mabasi hayo kuhakikisha inapofika saa moja usiku, hayatembei zaidi ya spidi sitini.
Kwa muundo wa mabasi yalivyo, hata likipata ajali likiwa kwenye spidi sitini na kushuka chini, am sure 'no one will die' at that speed.
Speed 60 inaweza kuonekana kuwa ni ndogo lakni iwapo basi linakwenda speed 60 kwa masaa 12 lina uwezo wa kusafiri umbali wa 720km, ambao huo ni umbali wa kutoka Dar na karibu kufika Mbeya.
Hizi fleet management companies kwa kushirikiana na kitengo cha trafik kina uwezo wa kumonitor speed ya mabasi isizidi sitini kwa usiku na wenye mabasi wenyewe ndio watakaogharamikia kulipia kwenye fleet management companies.
Tukifanya hivi, haya mambo sijui ya abiria kulala njiani tutakuwa tumeyaondoa kabisa.
Hongera mh Kangi Lugola kwa ubunifu huu....