Mabasi kutembea usiku sawa, ila yasimamiwe yasizidi spidi 60!

Pendekezo la waziri wa mambo ya ndani mh Kangi Lugola la kuyawezesha mabasi yasafiri usiku, nimelipokea/ limepokelewa kwa nderemo na vifijio kote nchini.
Tatizo ni jinsi ya kuyadhibiti ndio shida.
Kwa mtazamo wangu, kampuni za fleet management kama Car track wapewe tenda ya kudhibiti mabasi hayo kuhakikisha inapofika saa moja usiku, hayatembei zaidi ya spidi sitini.
Kwa muundo wa mabasi yalivyo, hata likipata ajali likiwa kwenye spidi sitini na kushuka chini, am sure 'no one will die' at that speed.
Speed 60 inaweza kuonekana kuwa ni ndogo lakni iwapo basi linakwenda speed 60 kwa masaa 12 lina uwezo wa kusafiri umbali wa 720km, ambao huo ni umbali wa kutoka Dar na karibu kufika Mbeya.
Hizi fleet management companies kwa kushirikiana na kitengo cha trafik kina uwezo wa kumonitor speed ya mabasi isizidi sitini kwa usiku na wenye mabasi wenyewe ndio watakaogharamikia kulipia kwenye fleet management companies.
Tukifanya hivi, haya mambo sijui ya abiria kulala njiani tutakuwa tumeyaondoa kabisa.
Hongera mh Kangi Lugola kwa ubunifu huu....
Speed 60 tunaenda makaburi ya KINONDONI??AM UNUNIOO??
 
Kuzuia ajali nafikiri ni suala ambalo linahitaji kuanza na madereva wenyewe, km hawajaamua basi itakuwa ni kazi bure.
Hv mlishawahi kujiuliza kwnn vijijin kwenye barabara mbaya, magari mabovu na yanaongoza kwa kujaza watu lkn ajali si nyingi km huku mijini kwenye barabara nzuri na magari mazuri?
 
Walipoweka amri ya kutotembea usiku ilikuwa ni kudhibiti ajali mbaya zilikua zikitokea kipindi kile
Serikali ikaona ni vema gari za abiria zisifanye safari zaidi ya saa nne usiku, ki ukweli walikuwa na reason
Sasa leo hii waziri anataka kuruhusu kwa maana hata zile tochi zitakua hazina nguvu ya kudhibiti mwendo kasi ambao ndio chanzo hasa cha ajali
Nionavyo mimi hapa tutarajie mfululizo wa ajali mbaya za mabasi kuliko wakati wowote ule
Na huenda tukarudi kule kule kwa safari za mchana, waziri angefanya utafiti wa kina kwanza
 
Hizo Dawa Kuponya Majeraha Inategemeana Ngozi Imeungua Kwa Kiasi Gani. Matabaka Ya Ngozi Ni Mengi. Tabaka La Juu Ndilo Hupona Haraka. Matabaka Ya Ndani Yakiungua Ni Shughuli Pevu Kupona Na Kurudi Kama Mwanzo Bila Makovu. Kuhusu Kupika Ni Lazima Upike Nyumbani Tu, Bajeti Ni Kubwa Ya Kwenda Kula Hotelini Kutwa Mara Tatu Kwa Siku. Mwanandoa Akighadhibika Na Kuamua Kutoa Adhabu Hashindwi Kutumia Nyingine Iliyo Karibu Kutimiza Kusudi Lake Ovu
Mneri wa wapi umepiga mkuu?
 
Je suala la utekaji magari wameliangalia?kwani kwa mikoa kama kagera na kigoma itakuwa ni ngumu sana kwani kuna mapoli makubwa mno!!mchana tu walikuwa wanateka sembuse usiku itakuwaje??poli unatembea masaa ma tatu hadi manne!!
Hapo ndipo patamu, je polisi ndio wanaogopa majambazi au majambazi waogope police.
 
kweli kututawala watanzania ni rahisi mno,mabasi kusafiri usiku sio sababu ya ajali,yafuatayo yafanyike ili kuzuia hizi ajali;tutambue ajali its someone faulty sio kazi ya Mungu;magari yote kabla ya kusajiliwa ni lazima yawe na road worthy certificate(kazi ya kuendesha hizi roadworthy centers tuwape third part);leseni zote za madereva zitolewe na traffic dept.(madereva wa mabasi lazima wawe na PDPs ON TOP OF THEIR LICENCE);Barabara zetu tuzijenge upya ili zikidhi maongezeko ya matumizi,sehemu hatarishi tujenge extra line kwa ajili ya magari yenye uzito mkubwa na ziwekwe stop signs zitakazowalazimisha madereva kusimama kwa 2secs hii itasaidia kudhibiti mwendo wa gari,na tujenge Arrester ili gari linapopata matatizo ya break failure driver analielekeza upande ule;police visibility ni muhimu mno wasijifiche vichakani wawe wanaonekana;vituo vya upimaji uzito (mizani)viondolewe huu ni uchafu badala yake new technology itumike(gari linapoingia kwenye zone ya upimaji linapigwa camera na uzito wake unapimwa na kurusha taarifa kwenye control room),tujenge speed cameras za kudumu na tuondoe matuta yote kwenye freeways(huu ni uchafu mwingine),na sehemu kama Mikumi National park tujenge cameras zinazorekodi speed na time ya gari linaposafiri from point Ato B.TUKIFANYA HAYA itatusaidia mno na inapotokea ajali ni lazima uchunguzi wa kina ufanyike kujua why ile ajali ilitokea na hii itatusaidia to remedy the situation ili isitokee ajali tena kwenye eneo lilelile(sio maombi kama yaliyofanyika pale mbeya ule ni usanii tu).
 
Umeongea maneno ya maana lkn sorry sa hivi mapato tunayapeleka kwny Tz ya viwanda.

Barabara za hapo mwenge sokoni tu zinashindwa kukarabatiwa sembuse hio mipango uliyoisema hahah,it's next to impossible boss.
 
Ndio hapo sasa askari waende kuweka kambi ktk mapori hayo na si kuzunguka mjini kuvizia abiria wanaorusha chupa za maji kutoka ndani ya daladala
 
Hapo ndipo patamu, je polisi ndio wanaogopa majambazi au majambazi waogope police.
Kwenye hili polisi ndio wanawaogopa majambazi daa miaka ile ya wakimbizi polisi wengi waliuawa mkoani kagera!kwani walikuwa wakisimamisha bus wanaanza na askari,na ni mchana sembuse usiku sijui!!!labda kama kagera na kigoma itaondolewa kwenye utaratibu huo
 
Daah hio sikua najua nilikuaga naona kama ni story story kumbe ni kweli police walikua wanauwawa?Very sad
 
Pendekezo la waziri wa mambo ya ndani mh Kangi Lugola la kuyawezesha mabasi yasafiri usiku, nimelipokea/ limepokelewa kwa nderemo na vifijio kote nchini.
Tatizo ni jinsi ya kuyadhibiti ndio shida.
Kwa mtazamo wangu, kampuni za fleet management kama Car track wapewe tenda ya kudhibiti mabasi hayo kuhakikisha inapofika saa moja usiku, hayatembei zaidi ya spidi sitini.
Kwa muundo wa mabasi yalivyo, hata likipata ajali likiwa kwenye spidi sitini na kushuka chini, am sure 'no one will die' at that speed.
Speed 60 inaweza kuonekana kuwa ni ndogo lakni iwapo basi linakwenda speed 60 kwa masaa 12 lina uwezo wa kusafiri umbali wa 720km, ambao huo ni umbali wa kutoka Dar na karibu kufika Mbeya.
Hizi fleet management companies kwa kushirikiana na kitengo cha trafik kina uwezo wa kumonitor speed ya mabasi isizidi sitini kwa usiku na wenye mabasi wenyewe ndio watakaogharamikia kulipia kwenye fleet management companies.
Tukifanya hivi, haya mambo sijui ya abiria kulala njiani tutakuwa tumeyaondoa kabisa.
Hongera mh Kangi Lugola kwa ubunifu huu....

Speed 60 kwa saa siyo ... kumbuka basi haliwezi kutembea constantly 60 km kwa distance uliyotoleya mfano ya mbeya - dar. Kuna sehemu barabara ni milima, kuna malori, kuna kusimama kwa ajili ya watu kula na kujisaidia, kuna kuweka mafuta n.k. Nafikiri speed ya 80- 90 ni speed nzuri
 
kweli kututawala watanzania ni rahisi mno,mabasi kusafiri usiku sio sababu ya ajali,yafuatayo yafanyike ili kuzuia hizi ajali;tutambue ajali its someone faulty sio kazi ya Mungu;magari yote kabla ya kusajiliwa ni lazima yawe na road worthy certificate(kazi ya kuendesha hizi roadworthy centers tuwape third part);leseni zote za madereva zitolewe na traffic dept.(madereva wa mabasi lazima wawe na PDPs ON TOP OF THEIR LICENCE);Barabara zetu tuzijenge upya ili zikidhi maongezeko ya matumizi,sehemu hatarishi tujenge extra line kwa ajili ya magari yenye uzito mkubwa na ziwekwe stop signs zitakazowalazimisha madereva kusimama kwa 2secs hii itasaidia kudhibiti mwendo wa gari,na tujenge Arrester ili gari linapopata matatizo ya break failure driver analielekeza upande ule;police visibility ni muhimu mno wasijifiche vichakani wawe wanaonekana;vituo vya upimaji uzito (mizani)viondolewe huu ni uchafu badala yake new technology itumike(gari linapoingia kwenye zone ya upimaji linapigwa camera na uzito wake unapimwa na kurusha taarifa kwenye control room),tujenge speed cameras za kudumu na tuondoe matuta yote kwenye freeways(huu ni uchafu mwingine),na sehemu kama Mikumi National park tujenge cameras zinazorekodi speed na time ya gari linaposafiri from point Ato B.TUKIFANYA HAYA itatusaidia mno na inapotokea ajali ni lazima uchunguzi wa kina ufanyike kujua why ile ajali ilitokea na hii itatusaidia to remedy the situation ili isitokee ajali tena kwenye eneo lilelile(sio maombi kama yaliyofanyika pale mbeya ule ni usanii tu).
Hio ni ndoto labuda utoe Wazo La kuongeza dimulaina nyingine utaonekana wa maana kwa jogoo.
 
Acha hizo ndugu! Spidi ya 60 tuko karne ya 17? Km 600 uende kwa spidi ya kmh 60 ! Itakuwa mwendo kono2 huo. Twendeni na wakati. Iwe japo km100 kwa saa
 
Pendekezo la waziri wa mambo ya ndani mh Kangi Lugola la kuyawezesha mabasi yasafiri usiku, nimelipokea/ limepokelewa kwa nderemo na vifijio kote nchini.
Tatizo ni jinsi ya kuyadhibiti ndio shida.
Kwa mtazamo wangu, kampuni za fleet management kama Car track wapewe tenda ya kudhibiti mabasi hayo kuhakikisha inapofika saa moja usiku, hayatembei zaidi ya spidi sitini.
Kwa muundo wa mabasi yalivyo, hata likipata ajali likiwa kwenye spidi sitini na kushuka chini, am sure 'no one will die' at that speed.
Speed 60 inaweza kuonekana kuwa ni ndogo lakni iwapo basi linakwenda speed 60 kwa masaa 12 lina uwezo wa kusafiri umbali wa 720km, ambao huo ni umbali wa kutoka Dar na karibu kufika Mbeya.
Hizi fleet management companies kwa kushirikiana na kitengo cha trafik kina uwezo wa kumonitor speed ya mabasi isizidi sitini kwa usiku na wenye mabasi wenyewe ndio watakaogharamikia kulipia kwenye fleet management companies.
Tukifanya hivi, haya mambo sijui ya abiria kulala njiani tutakuwa tumeyaondoa kabisa.
Hongera mh Kangi Lugola kwa ubunifu huu....
Mzee inaijua spidi 60 unataka watu wasafiri kwa masaa 20?..juzi nimetoka dar nimekuja songea asee nimefika saa 6 badala ya saa 3 tena hiyo ni kwa spidi 80
 
Mtazamo wangu ajali sio spid tu na kutembea usiku kun mambo mengi
 
spidi 60 unaijua wewe au? Spidi ya 60 kwa gari ni sawa na mwendo wa kobe
 
Back
Top Bottom