Nashangaa Kuikuta Post Hii Huku Kwenye Hii Habari IsiyohusianaNaona umemix code boss.
Unatumia app?
Gusa post yako itabadilika rangi na kua ya bluu juu kulia kuna vidoti vitatu, bonyeza hiko itakuletea option hii 'Moderate' ikubali kisha bonyeza 'Delete' utaulizwa kama ni 'Soft delete' au 'Hard delete' Kubali 'Soft delete' na post yako itakua imefutwa.
Unatumia browser?
Nenda kwenye post uliyoituma chini kutakua na maneno 'Edit' 'Delete' 'Reply' chagua 'Delete' utaulizwa sababu, utaisema kua umemix code na post yako itafutika.
Well said, Hakuna sababu kabisa! Kenya wameshapata majanga makubwa Sana, magari yanaharibika Usiku Halafu hawaweki alama zozote.sioni logic ya Bus kusafiri usiku, kuna wakati pale Kisutu tulikuwa tunaondoka saa 12 kwenda mikoani na ajali zilikuwa nyingi tu ndio tukabadili Bus zikaanza kuondoka asubuhi na bado tumeendelea kuwa na matatizo, nafikiri tujaribu kutumia akili zaidi kidogo
Well said, Hakuna sababu kabisa! Kenya wameshapata majanga makubwa Sana, magari yanaharibika Usiku Halafu hawaweki alama zozote.
Siku moja Usiku eneo jirani na Wami natokea Tanga kwenda Dar, ghafla nakutana uso Kwa uso na matawi ya miti, then Gari! Nimefunga break nusura nigongwe na Gari iliyokua inanifuatia nyuma.
The same night, nimefika Makurunge - Bagamoyo ghafla Punda wakawa wanavuka barabara, kumbuka Punda hawana Reflectors! Nikajitahidi kufunga break nikamgonga mmoja!
Leo basi lisafiri Usiku Mzima, Dereva mmoja kisha njiani "vicheche" kibao. Narudia Tutazika saanaaaa Kwa kupenda Political attention
Hahaha imenibidi nifurahi tu, maana nimeanza kusoma jina lako tu nikafurahi. OK, hata ukitembea speed ishirini, huwezi kuzuia Punda wasiingie barabarani, pia, suala la alama za barabarani yaani Gari limeharibika unaweka matawi ya miti having uhusiano na ulena wangu. HayaSasa na wewe na ulena lena wako, kwa nini unapenda kukimbia usiku?
Mkuu hatuwezi gharama ya kuweka taa highway hadi kuunganisha mikoa yote.Aisee cha kwanza nahisi ili kuzuia ajali ni kuweka taa za barabarani, sababu hii imekua changamoto sana manake taa sehem nyingi hamna hasa usiku na kumbuka mnapishana inatupa shida sana sisi madereva mwenzako akiwa na full light Ni Kama anakublind hivi hii inaweza sababisha ajali, zngne magari yalioharibika nayo kuyaona ni shida unakuta Mtu hajawasha indicator wala triangle hajaweka so ni changamoto sana
Tatizo sio speed mkuu,tatizo ni mind set ya madereva na kufuata sheria za barabarani ikiwemo kuendesha gari lisilo na tatizo hata moja kwa manufaa ya abiria wanaosafiri ,ie good service ,new tyres,ect
Kangi Lugola hatungi sheria bali anatoa mapendekezo,na tujiulize ni changamoto zipi zilisababisha sheria ya kuzuia mabasi yasitembee usiku?na je hizo changamoto zimetatuliwa?isije mwisho wa siku tukashikana uchawi.Pendekezo la waziri wa mambo ya ndani mh Kangi Lugola la kuyawezesha mabasi yasafiri usiku, nimelipokea/ limepokelewa kwa nderemo na vifijio kote nchini.
Tatizo ni jinsi ya kuyadhibiti ndio shida.
Kwa mtazamo wangu, kampuni za fleet management kama Car track wapewe tenda ya kudhibiti mabasi hayo kuhakikisha inapofika saa moja usiku, hayatembei zaidi ya spidi sitini.
Kwa muundo wa mabasi yalivyo, hata likipata ajali likiwa kwenye spidi sitini na kushuka chini, am sure 'no one will die' at that speed.
Speed 60 inaweza kuonekana kuwa ni ndogo lakni iwapo basi linakwenda speed 60 kwa masaa 12 lina uwezo wa kusafiri umbali wa 720km, ambao huo ni umbali wa kutoka Dar na karibu kufika Mbeya.
Hizi fleet management companies kwa kushirikiana na kitengo cha trafik kina uwezo wa kumonitor speed ya mabasi isizidi sitini kwa usiku na wenye mabasi wenyewe ndio watakaogharamikia kulipia kwenye fleet management companies.
Tukifanya hivi, haya mambo sijui ya abiria kulala njiani tutakuwa tumeyaondoa kabisa.
Hongera mh Kangi Lugola kwa ubunifu huu....
Je suala la utekaji magari wameliangalia?kwani kwa mikoa kama kagera na kigoma itakuwa ni ngumu sana kwani kuna mapoli makubwa mno!!mchana tu walikuwa wanateka sembuse usiku itakuwaje??poli unatembea masaa ma tatu hadi manne!!Pendekezo la waziri wa mambo ya ndani mh Kangi Lugola la kuyawezesha mabasi yasafiri usiku, nimelipokea/ limepokelewa kwa nderemo na vifijio kote nchini.
Tatizo ni jinsi ya kuyadhibiti ndio shida.
Kwa mtazamo wangu, kampuni za fleet management kama Car track wapewe tenda ya kudhibiti mabasi hayo kuhakikisha inapofika saa moja usiku, hayatembei zaidi ya spidi sitini.
Kwa muundo wa mabasi yalivyo, hata likipata ajali likiwa kwenye spidi sitini na kushuka chini, am sure 'no one will die' at that speed.
Speed 60 inaweza kuonekana kuwa ni ndogo lakni iwapo basi linakwenda speed 60 kwa masaa 12 lina uwezo wa kusafiri umbali wa 720km, ambao huo ni umbali wa kutoka Dar na karibu kufika Mbeya.
Hizi fleet management companies kwa kushirikiana na kitengo cha trafik kina uwezo wa kumonitor speed ya mabasi isizidi sitini kwa usiku na wenye mabasi wenyewe ndio watakaogharamikia kulipia kwenye fleet management companies.
Tukifanya hivi, haya mambo sijui ya abiria kulala njiani tutakuwa tumeyaondoa kabisa.
Hongera mh Kangi Lugola kwa ubunifu huu....
Tusitafute sifa zisizokuwepo. Hizi bus kuzidhibiti mchana ni tatizo itakuwa usiku wsioni logic ya Bus kusafiri usiku, kuna wakati pale Kisutu tulikuwa tunaondoka saa 12 kwenda mikoani na ajali zilikuwa nyingi tu ndio tukabadili Bus zikaanza kuondoka asubuhi na bado tumeendelea kuwa na matatizo, nafikiri tujaribu kutumia akili zaidi kidogo
Pendekezo la waziri wa mambo ya ndani mh Kangi Lugola la kuyawezesha mabasi yasafiri usiku, nimelipokea/ limepokelewa kwa nderemo na vifijio kote nchini.

Lkn wazir yeye aliongelea majambazi kitu ambacho sio tishio kwa sasa.Siamini kama speed ndio chanzo cha ajali. Naamini kuwa kukosekana umakini kwa watumiaji wa barabara ndio kunasababisha ajali. Watumiaji wa barabara ni madreva wa vyombo vya moto, waendesha baiskeli na mikokoteni pamoja na watembea kwa miguu bila kusahau mifugo.
Mida y usiku kuanzia singida hadi mwanza hapo katikati huwa ni mvurugano wa hatari.Kenya baada ya kufa Sana Kwa ajali za Usiku wameamua kusafiri mchana! Sisi tunaanza safari za Usiku! Duh, ushawahi kupanda Gari ikifika Usiku inavyokimbizwa? Imagine unakutana na Gari limeharibika halina alama yotote. Trust me, tujiandae kuzika saaaana!! Tutazika wengi