Mabasi gani mazuri kutoka Dar kwenda Kigoma?

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,320
11,322
Habari!!

Kwa yeyote mwenye ufahamu jinsi gani naweza kupata usafiri wa basi (luxury) au hata semi luxury wa kutoka Dar kwenda Kigoma.

Basi la kampuni gani wana usafiri wa uhakika.?

Asante.
 
Habari!! Kwa yeyote mwenye ufahamu jinsi gani naweza kupata usafiri wa basi (luxury) au hata semi luxury wa kutoka dar kwenda kigoma...basi la kampuni gani wana usafir wa uhakika.. Naomba nipatiwe information yeyote mwenye experience ya kufika kigoma ...
Asante.
Nenda kapande Saratoga mkuu....
 
Semi luxury Adventure na Saratoga ambazo zinapitia Tabora. Ukiondoka leo, kesho saa 4 asubuhi upo stendi kuu Kgm mjini.
 
Back
Top Bottom