Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Scania ndiyo hawana! Benz wanazo model tofauti tofauti..
Wameenda mbali zaidi wana Actros mp1 V8!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wacha kutulisha matango pori usifikiri wote tumeanza kuyaelewa magari jana. Scania amewahi toa military vehicles anzia huko nyuma alianza na Tgb 30(SBA 111) na mengineyo mengi but in general hawa jamaa wamespecialize kweye commercial vehicles hata kwenye marine ametoa mashine haswa
 
"Balance na stability ya uhakika"
Unataka kusema nini? Mabasi yote yamefungwa speed limit, barabarani Kuna touch, huo mwendo Ni upi? Issue kubwa hapo Ni unafuu wa manunuzi na uendeshaji wa mabasi ya kichina basi.
 
Hapana mkuu semi ni ndefu Kushinda hiyo Basi , for strange reasons sheria za Tanroad zipo very complicated
Basi za mwendokasi ni ndefu sana pia Ila wale wana exemption maana wanatembea kwenye barabara zao , ndio sababu yale marefu hua hayafanyi safari za nje ya barabara yao lets say muhimbili na mbezi
Mbezi wameanza kuyapeleka na yale marefu...nahisi sheria imebadilika au wanaruhusa maalum
 
Nafikiri maelezo yangu yalikuwa mengi mpaka sikueleweka vizuri!

Msingi wa swali ulikuwa hivi:
Wanaposema truck ina certain torque at 900 rpm, wanamaanisha truck ipi ?
Rigid au tractor? Hub reduction au diff ya kawaida? 8×4 au 4×2 etc.

Au kuna calibration zinafanyika ili hizo version zote ziwe na same digits?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo specs sio za truck ni za engine ... Diff haihusiki hapo
 
Hapa sasa nimekuelewa
Kiufupi hakuna calibration yoyote inayofanyika bali ili ku maintain torque digits huwa Wana vary drive train ratios hapa tunazungumzia diff
Drive ratio huapatikana kwa kuhesabu idadi ya meno kwenye cranwheel (spelling Sina hakika ) kugawanya idadi ya meno kwenye pinion. Kwa mfano wheel ina meno 37 , pinion ina meno 12 ratio ya hii diff ni 3.08 , Kama wheel ina meno 38 na pinion meno 13 , hii diff itakuwa na ratio ya 2.92,
Kwa lugha nyepesi kabisa 6x2 ,6x4 zina final ratio tofauti kabisa Ili kumaintain torque figures . Kwa lugha hiyo hiyo pia maana yake ni kuwa kutokana na kutofautiana kwa ratio , gari hizi huwa na sifa tofauti tofauti , mfano gari ya hub reduction huwa inauwezo mkubwa wa ku maintain torque bali haina mwendo, 6x2 huwa Ina mwendo ,lakini haina uwezo wa ku maintain torque , the list goes on and on
Torque huwa haipimwi huko inapimwa kwenye engine kabla hata ya gia box
 
Zhongtong anatumia leaf steel suspension mbele na nyuma
Sauli anatumia leaf suspension mbele lakini nyuma kwenye diff na terias ni air ride (busta )

Lakini Kama Kuna gari inajua kupiga tuta ni zile Man za taqwa , zenyewe ni full air ride , busta kuanzia mbele, diff na terias .
Haiwezi kuwa sababu ...coz kina rabi , kiazi hazina busta na zinakula tuta
 
Isanga
Ni scania ipi unaongelewa na unailinganisha na benz ipi? Unafahamu most powerful truck duniani ni Volvo fm750 ikifuatiwa na scania s730, both at 3500nm plus of torque?

Hapa kwetu walijaribu Mercedes Benz Kama basi hawana hamu nazo, alianza Dar express, hazikudumu na zilikuwa very slow unakumbuka? Hiyo ya Sauli nayo Wala haikukaa ikasumbua engine. Kuna tetesi pia imewekwa scania engine.

Benz ni status tu, Kama ilivo kumiliki I phone, real workhorse ni swedish,

Sent
Hizi takwimu sijui zinatoka wapi au american trucks hazipo duniani? Maana peterbilt/kenworth wana hadi hp 1000 imekuwaje wawe nyuma ya hp 750?!
 
Hizi takwimu sijui zinatoka wapi au american trucks hazipo duniani? Maana peterbilt/kenworth wana hadi hp 1000 imekuwaje wawe nyuma ya hp 750?!
Hizi takwimu sijui zinatoka wapi au american trucks hazipo duniani? Maana peterbilt/kenworth wana hadi hp 1000 imekuwaje wawe nyuma ya hp 750?!
Hii thread imefocus kwenye European and asian truck kwa sana. Sasa ukisema American truck ata wanaozimili bongo ni wachache na nying niza kizaman sio zakisasa
 
Hizi takwimu sijui zinatoka wapi au american trucks hazipo duniani? Maana peterbilt/kenworth wana hadi hp 1000 imekuwaje wawe nyuma ya hp 750?!
American engines so as trucks hazitambi kwa european trucks
sababu mojawapo american hakuna ushindani linapokuja swala la engine manufactures, , so far, of all the american trucks names unazozijua , wote wana source engine kutoka kwa watengenezaji watatu tu maarufu, Detroit , cummins na caterpillar, hata hao kenworth , peterbilt mack etc wote hawana engine waliyoitengeneza kwa jina lao .kwa sasa Cat hawatengenezi tena truck engines kwa kuwa the last engines zilipata bad reputation ya kusumbua zikiwa mpya kabisa.
hizo 1000hp trucks , ni chipped versions , kwa ajili ya shows na prestiges sio applicable kwa normal truck operations .
kwa sasa the most powerful truck on the road ni scania 770s v8.
 
Hii thread imefocus kwenye European and asian truck kwa sana. Sasa ukisema American truck ata wanaozimili bongo ni wachache na nying niza kizaman sio zakisasa
hata kama ukizijumlisha na hizo american trucks , bado european trucks zipo juu in every aspects, except labda extravaganza ,
minnings in australia ndio sehemu pekee duniani american trucks zinakutana na european trucks , kufanya kazi aina moja , and European trucks are gaining good reputations kadiri muda unavyosonga.
 
Back
Top Bottom