Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,102
- 53,353
Speed limiter ni story tu.Hakuna cha speed limiter wala nini. Majuzi nilikua naendesha Dar - Iringa, nikiwa speed 110 nilipitwa na basi kama nimekaa. Nikabaki nashangaa tu iwapo kweli limiter zinafanya kazi
Huko barabarani upo 140kph na basi yupo nyuma yako.
Kuna siku nilikuwa natoka mlandizi mida ya jioni sana. Kuna new force ya tunduma ikawa inanisumbua niiachie njia.
Nikakaza, naye akakaza. Mpaka tunaacha mbezi mwisho siamini kama basi linaweza kukimbia speed ile tena usiku.