Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Trucknet Ina segments nyingi , Kama If tu , Kama ulikuwa unasoma drivers seat is too high basi ulikuwa unasoma drivers forums , nakushauri soma owners and operators forum uone waliotia pesa zao kwenye Benz wanavyo Zi rate.

Chap aliyesema Benz is less powerful than his previous Xf , yupo sahihi kabisa , mkuu inaonekana wewe. Haupo field , habari ya daf Xf ni nzito , zinakimbia na zina nguvu , reputation yao iliyumba tu baada ya kutoa Daf euro 5 , ikiwa na faulty turbocharger.
Mkuu hawa DAF watu wanawachukulia kawaida lakini gari zao zina nguvu na speed sana, reputation yao nahisi ilishuka baada ya wao kumilikiwa na PACCAR GROUP maana wamarekani kwenye Euro 5 technology wamecomplicate sana ndio maana sokoni bidhaa zao hazikufanya poa.

Ni kwanini engine displacement (cc) za DAF ni ndogo mfano DAF yenye 8500cc inazalisha 410Hp na yenye 11,000cc inazalisha 460Hp ukilinganisha na watengenezaji wengine wa trucks kama Scania,Benz,Iveco,Fodden,Dennis,Mac,International,Atiknson,Faw,Beiben,Howo na nyinginezo.
 
Kwenye torque swedish hawana mpinzani, na ilitabiriwa kuwa lazima new top of the range lazima ije mapema maana recent upaded V8s R580 na R650 , torque zilikuwa karibia sana na R730 ambayo kwa wakati huo ilikuwa top of the range, wakati R 730 inatoa 3500 nm, R650 yenyewe ipo katika 3300nm, hii mpya 770 inatoa 3700nm available kutoka 950rpm.

Kitaalamu engine hii inatakiwa I last almost forever maana top torque @950 rpm ni sawa na kusema engine hii itafanya kazi zake ikiwa just above idling rpm, kikawaida scania huwa Ina idle at 500 rpm
Hii engine ukiweka kwenye meli ndogo utaula maisha. Ngoja zizagae sana huko mjini ulaya nije niitafute kama used niitumie kwenye project yangu ya boat.
 
Mchina yule yule wa tecno, itel na infinix ndiye yule yule wa zhongtong, higher, youtong hajawahi kuwa serious kwenye kazi.

Basi kama lake linauzwa mil 900,yeye anaunda lake anauza ml 250, halafu mtu anakuja kubeza scania/ benz/ volvo si lolote si chochote, basi unamuangalia halafu unfanya ihiiiiiiiiiiiiiiiiiiii (kwa sauti ya magu).
Wewe unajali bei au uimara na uwezo wa kuirudisha bei ya manunuzi na kuanza kupata faida. tofaiti ya kama sh millioni 700 ni kubwa mno. Kabla ya kumkandia Mchina na na kumsifu mswedeni au Mjerumani fanya hesabu za wazi ili tuone ipi bora kurudisha faida. Maana kama scania moja no mabasi karibu manne ya China na kama yatafanya kazi miaka 5 bila matatizo makubwa, hesabu zitakubali.
 
Mchina has neve invented anything , it is a matter of copy and paste!
Wrong! You may hate them (Chinese) but read history on inventions. You will be surprised. Just because they sell you whaty you can afford, it does not mean they cheap!
 
Mkuu hawa DAF watu wanawachukulia kawaida lakini gari zao zina nguvu na speed sana, reputation yao nahisi ilishuka baada ya wao kumilikiwa na PACCAR GROUP maana wamarekani kwenye Euro 5 technology wamecomplicate sana ndio maana sokoni bidhaa zao hazikufanya poa.

Ni kwanini engine displacement (cc) za DAF ni ndogo mfano DAF yenye 8500cc inazalisha 410Hp na yenye 11,000cc inazalisha 460Hp ukilinganisha na watengenezaji wengine wa trucks kama Scania,Benz,Iveco,Fodden,Dennis,Mac,International,Atiknson,Faw,Beiben,Howo na nyinginezo.
Huu mjadala wa daf niliukwepa hapo juu baada ya kugundua mnajadili daf za kwenye makaratasi.

Daf CF 85 yenye 9l ina 360hp, wewe hiyo ya 8500cc with 410hp umeitoa wapi? Au ukiona pale mlangoni imeandikwa 85.410 unafikiri 85 ndiyo 8500cc?

Hiyo CF 85.410 ina 13l engine displacement. Lazima ujue 65,75,85,95,105 &106 ain't indicate engine displacement

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Hii engine ukiweka kwenye meli ndogo utaula maisha. Ngoja zizagae sana huko mjini ulaya nije niitafute kama used niitumie kwenye project yangu ya boat.
kwenye marine application tayari kilikuwa na dc16 V8 ikiwa na horse power zaidi ya 800 kwenye dyno test , na torque ratings za juu sana siikumbuki vzr , kwa kawaida marine engines za scania huwa zinakuwa chipped kutoa power za juu sababu cooling sio issue kubwa huko majini
Hii 770 wakija kutoa orange version (marine ) inaweza hata kufika hata 1000hp
Kwa hiyo Kama uko vzr kwa project yako ya boat unaweza kutafuta DC 16 marine utapata power ratings za hiz 770 mpya
V8 are known for holding their value hii 770 inaweza kuchukua hata Miaka mitano kabla owners huko ulaya kuiachia Kama mtumba
 
kwenye marine application tayari kilikuwa na dc16 V8 ikiwa na horse power zaidi ya 800 kwenye dyno test , na torque ratings za juu sana siikumbuki vzr , kwa kawaida marine engines za scania huwa zinakuwa chipped kutoa power za juu sababu cooling sio issue kubwa huko,
Hii 770 wakija kutoa orange version (marine ) inaweza hata kufika 1000hp
Kwa hiyo Kama uko vzr kwa project ya boat unaweza kutafuta DC 16 marine utapata power ratings za hiz 770 mpya
V8 are known for holding their value hii 770 inaweza kuchukua hata Miaka mitano kabla owners huko ulaya kuiachia Kama mtumba
Huyu jamaa anajua sana mambo. Atakua na kitengo ama ni engineer pale Södertälje, Sweeden. Kiongozi ukipata wasaa em tushushie nondo juu ya engine remapping maana inasemekana kwa gharama ndogo tu mfano unaweza ongeza power na torque ya lets say R620 kutoka torque ya 3000NM mpaka 3500NM hivi ambayo ni torque ya R730 ambayo kwa kweli bei yake ni kiboko!
Nitoke nje ya mada kidogo, binafsi nilisikitika sana sana mdau wangu kwenye ile stori yako ya majambazi. Ingawa ni ishu ya muda mrefu na katika uzi usio sahihi lakini naomba nichukue nafasi hii kukupa pole zangu za dhati kabisa ndg. kiongozi na Mwenyezi Mungu huyu tunamuamini aendelee kukuangazia na kukulinda katika haya maisha.
Let’s keep sharing the knowledge in respect to the Sweedes V8 philosophy of “Emotions meet Logic” live on.
 
Thanks for compliment na thanks pia kwa kunipa pole kuhusu kuvamiwa na vibaka , ninmiaka kumi Sasa imepita nikikumbuka ni Kama Jana tu maaana Nina kilema Cha kidole , ilinibidi Hadi nibadilishe signatures zangu kadhaa maana wakati huo nikiwa timamu nilikuwa na signature moja matata sana , sikujua Kama ilitegemea sana kidole hicho kilichokatika baada ya tukio!!!

Tukija kwenye magari mie hata Sina vyeo hivo Ila naipenda sana scania kwa kiasi flani wengi wanasema naijua , tukija kwenye V8 s huko ndio Kuna stories nyingi, hata hii slogan yao ya "when emotion meets logic " ni slogan mpya wanaitumia mwaka huu kwa 770 Ila naamini kwa waliowahi kutumia V8 hata zile za nyuma Wana Jambo la kusema !! Kuna emotion feelings flani unapata ukiendesha V8 especially likiwa loaded na Lina high milage , those monsters will get you home any how , hata Kama limechoka kiasi gani!!

Kuna mwaka flan tulipat kazi ya kusafirisha mtambo wa mzungu mmoja kutoka dar kwenda Rwanda , ilikuwa ni njia yenye milima sana ukitokea Kigali mtambo ulikuwa ni heat echanger ambayo ilikuwa imekuwa disassembled kwenye trailer 13, kwa Bahati mbaya gari yetu ndio ilionekana ni nzee Kati ya gari zote na supervisor wa mzigo Ali I rule out kwamba kwa thamani ya mzigo na terrain unapokwenda mzigo isingefaa kubebwa na gari yetu , ni 164 480 ya mwaka 2000 na wakati huo na ilikuwa ina Kama Miaka 15 , plus 2 millions km on the clock, bas baada ya vikao vya hapa na pale , tukamjenga transport officer akakubali tupakie kwa masharti ya rate pungufu ili apate pesa ya Maji...!! Kiukweli kazi ilikuwa inalipwa vzr . Kilichotokea huko rwanda gari mbili Kati ya zile pamba zilishindwa kufika eneo la tukio , moja ilikufa Engine km 110 nyuma na nyingine ikauwa gearbox layshaft km 90 kabla ya site , site manager akatoa offer ya kwenda kuvuta zile trailers , wote wakakataa , ikabidi tujitoe muhanga maana bila trela zote kutimia delivery note ilikuwa haisainiwi kwa yoyote hivyo tungepoteza muda sana pale tukaenda kuchukua trela ya kwanza tukaileta site , tukafata ya pili tukaleta site , then tukaenda kupakia horse zote mbili , kurudi dar , Sasa Ile feeling nilisikia wakati narudi nyumbani huku tumezibeba gari mbili ambazo zilitumika Kama kielelezo cha kutunyima kazi ,.. I'll just never forget that, , V8 zina sauti flan ya mamlaka , very sweet , and deep pound to pound note . Tulipo fika dar ndio tulikuwa gumzo kwenye Ile ofisi na tukalipwa rate Ile Ile ya wenzetu plus gharama ya kuzibeba horse na kuifikisha site zile trela ,
 
Daah! Hatari sana. “Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe la msingi”. Kwa namna yeyote ile mtu kukushawishi kuamini kuwa Scania sio gari huwezi muelewa hata kidogo, haingii akilini hata kidogo. Kwenye Scania waga tunabadilisha breakpads, matairi, oil na services ndogondogo, engine hatugusi. Hao warembo wawili waliovamia kazi za kiume ni brand gani hizo? Hii njia ya Rwanda itakua njia dume hii alaf mzee mzima 164L V8 imetoboa ikarudi na zawaidi ya warembo wawili! Can’t imagine how proud you were the whole journey back! Now nimekupata vizuri kabisa unavyosisitiza kuwa katika trucking fuel efficiency siyo criteria pekee ya kuangalia katika truck. Kuna ishu ya Uptime, very very important! Just imagine hasara waliyopata hao jamaa plus muda watakaopoteza kuyatengeza achilia mbali gharama wakati Scania yenyewe inatafuta namna ya kupata riziki nyingine.
 
kwenye marine application tayari kilikuwa na dc16 V8 ikiwa na horse power zaidi ya 800 kwenye dyno test , na torque ratings za juu sana siikumbuki vzr , kwa kawaida marine engines za scania huwa zinakuwa chipped kutoa power za juu sababu cooling sio issue kubwa huko majini
Hii 770 wakija kutoa orange version (marine ) inaweza hata kufika hata 1000hp
Kwa hiyo Kama uko vzr kwa project yako ya boat unaweza kutafuta DC 16 marine utapata power ratings za hiz 770 mpya
V8 are known for holding their value hii 770 inaweza kuchukua hata Miaka mitano kabla owners huko ulaya kuiachia Kama mtumba
Kwa V8 hata ikipita miaka 10 mtu achukue tu. Scania wanatengeza engine. Kwa horsepower ya 770 hiyo sio boat, hiyo ni ka-meli fulani hivi. Whatsup with Scania naona wao hawajafanya diversification sana ukilinganisha na Volvo. Hata kwenye marine sioni akiuza sana. Huko ni Volvo, Wartsilla, Mjapan na hata Wachina nao wana tu-marine engines and shipping is a big big business.
 
R620 ina zaidi ya miaka 10 na ushee, nasubiri kumi mingine ipite nije nimlalie mzungu mmoja huko na pesa zetu hizi ngumu za barani Afrika aniachie chuma!
 
Daah! Hatari sana. “Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe la msingi”. Kwa namna yeyote ile mtu kukushawishi kuamini kuwa Scania sio gari huwezi muelewa hata kidogo, haingii akilini hata kidogo. Kwenye Scania waga tunabadilisha breakpads, matairi, oil na services ndogondogo, engine hatugusi. Hao warembo wawili waliovamia kazi za kiume ni brand gani hizo? Hii njia ya Rwanda itakua njia dume hii alaf mzee mzima 164L V8 imetoboa ikarudi na zawaidi ya warembo wawili! Can’t imagine how proud you were the whole journey back! Now nimekupata vizuri kabisa unavyosisitiza kuwa katika trucking fuel efficiency siyo criteria pekee ya kuangalia katika truck. Kuna ishu ya Uptime, very very important! Just imagine hasara waliyopata hao jamaa plus muda watakaopoteza kuyatengeza achilia mbali gharama wakati Scania yenyewe inatafuta namna ya kupata riziki nyingine.
Iliyokufa engine ilikuwa Daf euro 5 , hii nyingine ilikuwa Man Tga 440huyu alochezea Gia mlimani akakata layshaft kwenye gearbox , trela yake ilikuwa mazingira magumu sana Ila kibingwa tukaunga na kunyanyuka nayo hapo hapo kwenye kigongo, njia ilikuwa ngumu sana na ndio sababu mwenye mzigo we alitaka gari Kali na alilipa kibabe

How proud I felt ?? Yes !!! Especially tulipokuwa tunakaribia nyumbani! Kwenye cabin tulikuwa na wale madereva wa zile gari nilizozibeba, na as we got closer to morogoro , checked fuel ratio iko poa with extra , nikasema ngoja nichezee diesel for the chaps to feel the v8 grunt !!! Mbona walikoma kuljua, wao ndio walikuwa mabalozi wa kusifia tulipofika mjini

Uptime ndio Kila kitu mkuu, some of Irish expensive pharmaceutical containers mpaka Leo Kuna baadhi zinasafirishwa na scania 143 , Irish drivers ndio madereva hatari sana always heavy footed running heavy on limiters na wanaendesha kwa muda mrefu .
 
Kwa V8 hata ikipita miaka 10 mtu achukue tu. Scania wanatengeza engine. Kwa horsepower ya 770 hiyo sio boat, hiyo ni ka-meli fulani hivi. Whatsup with Scania naona wao hawajafanya diversification sana ukilinganisha na Volvo. Hata kwenye marine sioni akiuza sana. Huko ni Volvo, Wartsilla, Mjapan na hata Wachina nao wana tu-marine engines and shipping is a big big business.
Miaka kumi kidogo , my testimony tunalo la mwaka 2000 halijawahi guswa chochote kwenye engine zaidi ya fuel filters na water pump na kwa Sasa lina km 2700000 Kila Siku lina run heavy as we speak lipo kasese Uganda na tunategemea lirudi salama dar then liende kigoma huko, the monster ni double manned kwa hiyo huwa halina vituo vya kulala njiani na kulipa mlinzi , kutembea masaa 27 + bila kuzimwa ni kawaida yake .

Kwa Miaka karibu 20 lime serve two owners huko Europe na sisi ni wa tatu hatuna kinyongo nalo!!!
 
R620 ina zaidi ya miaka 10 na ushee, nasubiri kumi mingine ipite nije nimlalie mzungu mmoja huko na pesa zetu hizi ngumu za barani Afrika aniachie chuma!
R620 ni nzuri pia Ila kwa Tanzania nimeiona kwa Azam tu !
Enthusiast wanasema ndio mrithi pekee wa 143 kwenye latest V configuration,
 
Miaka kumi kidogo , my testimony tunalo la mwaka 2000 halijawahi guswa chochote kwenye engine zaidi ya fuel filters na water pump na kwa Sasa lina km 2700000 Kila Siku lina run heavy as we speak lipo kasese Uganda na tunategemea lirudi salama dar then liende kigoma huko, the monster ni double manned kwa hiyo huwa halina vituo vya kulala njiani na kulipa mlinzi , kutembea masaa 27 + bila kuzimwa ni kawaida yake .

Kwa Miaka karibu 20 lime serve two owners huko Europe na sisi ni wa tatu hatuna kinyongo nalo!!!
Mtu akikuuliza nini maana ya productivity, that 164L inampa majibu bila kumuachia room ya kuuliza tena! Sema pia hazipatikani huko online, nahisi wahuni wanaozijulia wakiziona tu wanamuhesabia muuzaji hela wanamaliza biashara. Kazi zinazopiga hiyo 164L ni ngumu, utasema zile za Australia, mtu ana mzigo wa tani 175 za madini ya chuma, V8 truck inaondoka spidi balaa utafikiri haijabeba kitu na kila siku ipo barabarani.
Vipi hii 144L 460hp V8?
 
Huu mjadala wa daf niliukwepa hapo juu baada ya kugundua mnajadili daf za kwenye makaratasi.

Daf CF 85 yenye 9l ina 360hp, wewe hiyo ya 8500cc with 410hp umeitoa wapi? Au ukiona pale mlangoni imeandikwa 85.410 unafikiri 85 ndiyo 8500cc?

Hiyo CF 85.410 ina 13l engine displacement. Lazima ujue 65,75,85,95,105 &106 ain't indicate engine displacement

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Nikajua umekuja na jibu
 
Nikajua umekuja na jibu
Samahani kama sikueleweka mkuu! Msingi wa swali la Offshore Seamen ulikuwa ni kwanini DAF zina cc ndogo ila power out put ni kubwa sana ukilinganisha na makers wengine?

Kitu ambacho siyo kweli, yeye alichanganya zile namba kwenye mlango akajua ndiyo zinaindicate cc & hp.

Mf. Daf CF 85.410 alijua inamaanisha 8500cc with 410hp lakini kumbe 85 ni toleo 13000cc with 410hp same as other makers he mentioned above

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Mtu akikuuliza nini maana ya productivity, that 164L inampa majibu bila kumuachia room ya kuuliza tena! Sema pia hazipatikani huko online, nahisi wahuni wanaozijulia wakiziona tu wanamuhesabia muuzaji hela wanamaliza biashara. Kazi zinazopiga hiyo 164L ni ngumu, utasema zile za Australia, mtu ana mzigo wa tani 175 za madini ya chuma, V8 truck inaondoka spidi balaa utafikiri haijabeba kitu na kila siku ipo barabarani.
Vipi hii 144L 460hp V8?
144 ni 14 litres engine , ni engine structure hiyo hiyo tangu 1969 so 140 141 142 143 na 144 zote ni karibu sawa , zote ni mechanical pump kasoro 143 500 144 460 na 144 530 hizi zilikuwa EDC electronic diesel control amabayo kwa wakati huo ilikuwa ni euro 1 tier 1&2
14 litres haikuwa efficient kwa maana ya mafuta japo zilikuwa decent power plants kitu kimoja juu ya 14 litres ni kuwa ziliishi maisha marefu sana nyingi Hadi leo zipo barabarani naifahamu moja toka mwaka 1992 Hadi leo ipo barabarani almost Miaka 28
 
Back
Top Bottom