Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 4,930
- 12,475
Mkuu hawa DAF watu wanawachukulia kawaida lakini gari zao zina nguvu na speed sana, reputation yao nahisi ilishuka baada ya wao kumilikiwa na PACCAR GROUP maana wamarekani kwenye Euro 5 technology wamecomplicate sana ndio maana sokoni bidhaa zao hazikufanya poa.Trucknet Ina segments nyingi , Kama If tu , Kama ulikuwa unasoma drivers seat is too high basi ulikuwa unasoma drivers forums , nakushauri soma owners and operators forum uone waliotia pesa zao kwenye Benz wanavyo Zi rate.
Chap aliyesema Benz is less powerful than his previous Xf , yupo sahihi kabisa , mkuu inaonekana wewe. Haupo field , habari ya daf Xf ni nzito , zinakimbia na zina nguvu , reputation yao iliyumba tu baada ya kutoa Daf euro 5 , ikiwa na faulty turbocharger.
Ni kwanini engine displacement (cc) za DAF ni ndogo mfano DAF yenye 8500cc inazalisha 410Hp na yenye 11,000cc inazalisha 460Hp ukilinganisha na watengenezaji wengine wa trucks kama Scania,Benz,Iveco,Fodden,Dennis,Mac,International,Atiknson,Faw,Beiben,Howo na nyinginezo.