Mabao trafiki Dar yavuna milioni 870/- kwa siku 12

Fuata sheria uone kama utabambikiwa Kesi. Kwa anayeendesha gari Dar anaelewa kero ya kuchomekewa kwenye foleni. Juzi kati kuna dada alinichomekea mpaka nikaona aibu. Yule dada alikuwa hafananii na kile kitendo. So, Iam fully supportive kwa traffic kupenalize watu tufuate sheria. In any society kodi ndo suluhisho kwa Watu wakorofi. In fact hata ajali za kizembe kizembe zimepungua. Wange extend kodi kwa madereva WA daladala wazembe, wachafu nk. Bila mijeredi punda haendi.
Usitufananishe na punda.
Kama ni punda basi huyo ni wewe mwenyewe.
 
Hongera sana Police nawaaaminia.JPM anawapenda sana endeleeni watu wamejisahau mpaka zebra wanazikanyaga tuuuu.safiiiiiiii
 
mara nyingine tuletewe takwimu za makosa yanayoingiliana na siasa ktk utendaji wao.......
 
Mi mkinipiga fine naiongezea kwenye gharama za uzalishaji then nawabebesha walaji wa mwisho, serikali ikiwemo, hivyo watairudisha tu one way or the other
 
Fuata sheria uone kama utabambikiwa Kesi. Kwa anayeendesha gari Dar anaelewa kero ya kuchomekewa kwenye foleni. Juzi kati kuna dada alinichomekea mpaka nikaona aibu. Yule dada alikuwa hafananii na kile kitendo. So, Iam fully supportive kwa traffic kupenalize watu tufuate sheria. In any society kodi ndo suluhisho kwa Watu wakorofi. In fact hata ajali za kizembe kizembe zimepungua. Wange extend kodi kwa madereva WA daladala wazembe, wachafu nk. Bila mijeredi punda haendi.
Utakuta wengine wametulia kwenye foleni kimya jeuri anaanza kuchepuka pembeni anaendesha rafu na Mimi nasema bado mpaka hawa madereva wawe wastaarabu pia bodaboda nayo kero nyingine baya zaidi
 
Naona tumepata TRA mpya ya barabarani! Wangejivunia kupunguza ajali na wala sio kukusanya mapato mengi.
Wametoa taarifa, ukitoa taarifa ya jambo flani ni kufurahia?
kha! hilo nalo ni swala LA kujivunia. baada tujivunie Ku export bidhaa tunajisifia kukomoa wananchi

Hivi kweli jeshi la Polisi linafurahia kukusanya pesa kwa makosa ya watu tena makosa yanayo husiana na usalama barabarani!! Hii ni hatari naona wako obsessed na pesa tuu.
 
Hiyo ni taarifa kwa umma jinsi wahalifu wa makosa ya traffic walivyoshughulikiwa hakuna majivuno hapo au na wewe jiwe lilikupata kwa hiyo roho inakuuma?
 
Hivi kweli jeshi la Polisi linafurahia kukusanya pesa kwa makosa ya watu tena makosa yanayo husiana na usalama barabarani!! Hii ni hatari naona wako obsessed na pesa tuu.
Muongo na mkubwa wewe ni wapi walipofurahia?Au wewe unataka polisi wasiwachukulie hatua wahalifu?
 
Yani trafic wamekuwa watu wa hovyo sana siku hizi..kubambika kosa hawaoni tabu...dhambi kubwa sana hiyo ya dhuluma...hii pesa ni dhuluma tupu..na hakika ina laana kuna ms.....e mmoja alitaka nimbambikia kosa ila mwenyew aliona aibu baada ya kumshinda ...hela halali ndio ya kujivunia hii hela traffic asilimia 50 ni ya wizi....
Wewe ndiyo wa hivyo
 
Kwa haraka inaonekana ni sifa lakini hatulioni tatizo linalojengeka hapa! Siku hizi hakuna kitu tena kinaitwa minor offence, ambalo ni kosa la kuonywa tuu unapigwa notification
Minor offences haziepukiki barabarani lakini ndio hivyo tena
Kuonya ni desecration siyo mandatory jaribu kuwa mungwana.
 
Fuata sheria uone kama utabambikiwa Kesi. Kwa anayeendesha gari Dar anaelewa kero ya kuchomekewa kwenye foleni. Juzi kati kuna dada alinichomekea mpaka nikaona aibu. Yule dada alikuwa hafananii na kile kitendo. So, Iam fully supportive kwa traffic kupenalize watu tufuate sheria. In any society kodi ndo suluhisho kwa Watu wakorofi. In fact hata ajali za kizembe kizembe zimepungua. Wange extend kodi kwa madereva WA daladala wazembe, wachafu nk. Bila mijeredi punda haendi.
Safi sana wape ukweli wao manake kuna mijitu humu njini kazi yao ni kulalamika tu.
 
Back
Top Bottom