Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 7,509
- 10,642
Hili sio mpaka mh. Rais aseme la hasha, hii ni kazi ya waziri tu, mabango yamesongamana utadhani msitu , na bado wanaendelea kujenga tu.
Yaani kwa mpangilio huu wa mita moja kutoka! bango moja hadi jingine ni uchafu huu!
Picha inakuja muda si mrefu!
Yaani kwa mpangilio huu wa mita moja kutoka! bango moja hadi jingine ni uchafu huu!
Picha inakuja muda si mrefu!