Mabango ya kutaka Freeman Mbowe aachiwe huru kwa vile siyo Gaidi yatinga kwenye Mkutano wa UN huko Marekani

Hii ndio Halisi kwa sasa , huku Taarifa zikionyesha kwamba Wazungu wengi wanaosoma mabango hayo ambao wanafahamu kwamba Mh Mbowe ni tunu ya amani ya nchi WANASIKITISHWA SANA NA HALI YA UONEVU anayokumbana nayo Shujaa wa Taifa Mbowe

View attachment 1949923View attachment 1949924View attachment 1949925
View attachment 1950107
View attachment 1950108
View attachment 1950168
Pale ikulu, The White House Kuna kitengo kinachoshughulikia mambo ya Africa ,najua wameona hii kitu. Hawa jamaa ndio wasaliti sasa, sijui hawataki tupate misaada kutoka kwa mabeberu? Sijapenda
 
Huyu mama wa kizanzibari atajutia sana maamuzi yake ya okay hii kesi comes 2025.M

Mbowe anaweza kula miaka ndio, sio hilo tu, wanaweza kumuua pia, sababu tunajua amekuwa ni tatizo kubwa sana kwa watawala wa ccm, kubwa sana, we are living with all those possibilities.

lakini comes 2025, kuna kitu kitatokea, waswahili wanasema sio kila siku ni jumapili, na wahenga wanasema hakuna jambo lisilokuwa na mwisho.

Mbowe's end will come, may be it has come, the one for ccm will come too, and it gets closer and closer and closer, day by day.
Halafu wanasema Tanzania kuna Amani
 
Endelea kuota na kutabiri kama nabii feki Lema.
Mdharau mwiba mguu huota tender!Unabii wa LEMA ulitimia JPM alifariki.

Kuna jamaa ametoa ushuhuda wa mwenzenu anayehangaika na magonjwa mazito ya mzazi wake !Kuna cha kujifunza utafute ule uzi,Ni bora ukawa Kama johnthebaptist au YEHODAYA hawa pamoja na ushabiki wao Na mahaba kwa CCM Lakini wanamipaka na utu.Huwezi jua kesho yako
 
Mbona mbowe tu ndiye wanampigania. Sasa njoo wale mashehe wa uamsho wao sio binadamu,wafuasi wangapi wa chadema wapo ndani wasiopiganiwa na Hao jamaa.
Kumbe yeye akiwekwa ndani yeye binadamu.
Afu wengine wanaopigwa na kuwa vilema na kuuwa hawaonekani.
Hii double standard ya kinafiki Sana.
Figure's matter!!
 
Figure's matter!!
So awe anaandamana mwenyewe Mana yeye akiwekwa ndani Kuna wa kumpigia kelele.
Mtu anatumiwa anakuwa mtaji wa mwingine kula vilaini.
Hakuna atakayeniwekea chakula changu Mezani Bali my own brain and hand muscles only.
Akaandamaane mwenyewe Sasa aitishe katiba mwenyewe. Muda ukifika hakuna atakayemshawishi mwingine kuidai
 
So awe anaandamana mwenyewe Mana yeye akiwekwa ndani Kuna wa kumpigia kelele.
Mtu anatumiwa anakuwa mtaji wa mwingine kula vilaini.
Hakuna atakayeniwekea chakula changu Mezani Bali my own brain and hand muscles only.
Akaandamaane mwenyewe Sasa aitishe katiba mwenyewe. Muda ukifika hakuna atakayemshawishi mwingine kuidai
Kakojoe ulale !
 
Kakojoe ulale !
Utakuwa na wewe unatumia mtaji wasio na uelewa wewe unapiga pesa so umeona Kama nakuharibia ulaji wako.
Hakuna nouma.lete namba tuchangie makamanda tukamtoe mafisadi madarakani.
Ila bana mchg ni mjanja kinouma.
Anawashika wengine afu viti maalumu anawapa dada zake wote
 
49 Reactions
Reply
Back
Top Bottom