Mabalozi wote wa CCM kata zote za Arusha kukutana leo! Kisa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabalozi wote wa CCM kata zote za Arusha kukutana leo! Kisa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by LiverpoolFC, Jan 6, 2012.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Nipo hapa jumba la maendeleo hapa karibu na carwash ya hapa karibu na soko la Kilombero.

  Nikaona vazi kijani likizidi kutawala eneo hili.
  Na ndipo nikataka kujua kulikoni na ndipo nikamtokea mmoja wao wa mavazi hayo na akaniambia leo tuna mkutano wa wilaya kupitia mabalozi wa nyumba 10*10 wote.

  Nikajaribu kumwuliza chanzo chake na ndipo akaniambia ya kwmb ngoja kwanza atanirudia.

  Nami kwa kuwa naosha gari hp hakika ni mpaka nijuwe Agenda yao ni nini hasa!
  Source: Mimi mwenyewe!
   
 2. Alfred Daud Pigangoma

  Alfred Daud Pigangoma Verified User

  #2
  Jan 6, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,778
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Tupo pamoja mkuu endelea kuwachunguza mpaka kieleweke! Kwanza siku hizi mabalozi wa nyumba kumi hawana deal.
   
 3. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hao magamba wanaweweseka tu, kwani miongoni mwa bhao mabalozi ni CDM damu wako huko kwa ajila tu.
   
 4. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2012
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Kwani na wewe umehusu ukijani?
   
 5. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  hivi hawa mabalozi wa nyumba kumi huwa wapo? Na huwa ni nyumba kumi za nani hizo? Mtaani kwetu hawa watu hawapo kabisa.
   
 6. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #6
  Jan 6, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Swala zima hapo ni uchaguzi mdogo wa Mdiwani na 'kale ka-mpango wetu ka-uchakachuaji mashinani' kama kawaida.

  CHADEMA, hii ni issue kubwa, shusheni majeshi kitongoji hadi kitongoji kwani ka A-Town CCM bado kinatamani kuendeleza uporaji wa kodi za jiji hilo bila maendeleo. Machalii wote Arusha tushike doria mpaka kura ya mwisho itakapotangazwa.

  Watch out on this CHADEMA pamoja na ushwari wa afya kwa Mh Lema; sote tunafuatilia nukta kwa nukta hadi sasa.
   
 7. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #7
  Jan 6, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hapana Kibunango! Mi nipo naosha kamotokaa changu hapa ila nahakikisha sibanduki mpk nijuwe kijiricho humu ndani.
   
 8. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #8
  Jan 6, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hapa nimetonywa na balozi mmoja wa hapo Sakina ya kwamba maulaji iko hapa ndiyo tunachangamkia fasta nami nikamwambia nakusubiria uje hata ununue lunch naye akaniambia tutachelewa nami nikamwambia sina pa kwenda nakusubia tu! Na akanidodosa ya kwamba kuna Diwani anakuja hapa na Mkuu mwingine naye atakuja na mkutano ingeanza saa nane kamili. Na mgeni rasmi ni Mh. Diana Chilolo na nasikia ni MB sasa sijui ni wa wapi huyu!
   
 9. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #9
  Jan 6, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Darubini kubwa ligeukia Arusha, CCM bado wanaendeleza ung'ang'anizi kukataliwa kwao na wapiga kura Arusha.

  Arusha, wanaitaka huku Machalii wanakataa!!! Kuna tafsiri yule mama buriani kupewa kazi ya ubalozi kilometa chache tu kutoka Arusha. BAVICHA kamioneni Nanyaro na kazi iendelee kiundani zaidi pale A-Town.
   
 10. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #10
  Jan 6, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  diana ni mbunge viti maalum singida hana lolote mwache ahangaike.
   
 11. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #11
  Jan 6, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Itakuwa inahusiana na uchaguzi wao wa ndani baadaye wmaka huu. Wanajua kwua wameshagawanyika sana kwa hiyo wanaanza kuzima moto kabla haujawaka
   
 12. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #12
  Jan 6, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Amekuja kutoa rushwa. Uzuri mmoja hizo rushwa hazitawatosha woote au wapo watakaowadhulumu wenzao. Hilo likishatokea, utaona mziki wake
   
 13. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #13
  Jan 6, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  A point too!!!

   
 14. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #14
  Jan 6, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,364
  Trophy Points: 280
  kikao cha wanga nyama ya mtu haikosi na watu wakiisha wanakulana wenyewe kwa wenyewe..
   
 15. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #15
  Jan 6, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Huyu Diana Chilolo mpk hivi sasa hajaonekana.
  Yani naona kama hawa mabalozi hawadumu zaidi maana nimewakuta kama wanne wanalalamika.

  Kwanini tunaitisha mkutano na bado watu wako nje ya ratiba?
  Mwingine akamwambia,Mi nakaa nusu saa tu kwn nina shughuli ya kufanya.

  Na kwa mtazamo wangu wa haraka nikaona kwa kuwa mgeni mwenyewe amekuwa nje ya ratiba naona hii itawagharimu.
   
 16. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #16
  Jan 6, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mpk hivi sasa Mgeni rasmi hajaonekana tu!

  Nami sibanduki nilishakunywa maji lt 1 ya Kimanjaro na sasa mengine na kumix na sprite moja.

  Kulikuwa na mshikaji wangu wa kwenda kumwona pale Ngaramtoni lakini nimeshamfutia waya ya kwamba tuonane kesho kwn nimepata dharura ya hawa wala rushwa mafisadi wakubwa.
   
 17. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #17
  Jan 6, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Hebu zunguka hapo mtaa wa pili opposite na maromboso hapo kwenye nyumba za manispaa udake allele yako taratibu na bigG kwa fasi uwe unapata handasi huku ukisubiri kinachojiri
   
 18. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #18
  Jan 6, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,978
  Likes Received: 6,616
  Trophy Points: 280
  ho jamaa hawana jipya. wengine wamekuja kuchukua posho tu. leo bar zitajaa. Mia
   
 19. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #19
  Jan 6, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,505
  Likes Received: 2,745
  Trophy Points: 280
  Pesa ya walimu hiyo!!
   
 20. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #20
  Jan 6, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Endelea kutujulisha nn kitajiri mkuu juu ya hao wezi wa rasilimali zetu
   
Loading...