Mabalozi watatu waliomsindikiza Tundu Lissu uwanja wa ndege wanatuma ujumbe gani kwa Serikali?

Wakati Tundu Lissu akiondoka nchini kwenda Ubelgiji kwa matibabu leo, amesindikizwa na mabalozi watatu ambao ni balozi wa Marekani, Ujerumani na Ubelgiji.

Washirika hawa watatu kwa hakika upo ujumbe wanaoutuma kwa serikali ya Tanzania.

Baada tu ya Tundu Lissu kuondoka nchini salama, balozi wa Marekani kwenye ukurasa wake rasmi wa Twitter ameonyesha kufurahishwa na tukio hilo. Aidha anasema kuwa Tundu Lissu anaelekea Ubelgiji kwa matibabu. "Nimefurahi kuwa hatimaye Tundu Lissu ameondoka salama kwenda Ubelgiji" amesema balozi huyo.

Tundu Lissu alibebwa ndani ya gari ya balozi wa Ubelgiji na msafara wao ulipita njiani kuelekea uwanja wa ndege bila kizuizi chochote kile.
Siyo kila unayemwona kwenye gari la ubalozi ni balozi.
 
Hao si wamesindikiza mke wao sasa shida iko wapi,
Ya Lisu muachie Lisu na ya serikari waiachie serikari,
Misheni yao imefeli hivyo tunawachora tu.
Serikari ina mambo mengi ya kufanya hivyo haina muda na mtu anyesindikizwa na watu wake.
Hao mabalozi itafika siku wataondoka wataiacha tanzania moja.

Waulize jiwe, mpara magamba, Kachero Mbobezi na manguli wenzao wakwambie kama huyo alikuwa mke anasindikizwa?

Wenzio hata kula chakula hakipiti kufika tumboni. Maumivu mwili mzima.

Atafanyiza tokea Ulaya. Kina sisi tutabanana nao hapa hapa.

Chini nchale na juu nako nchale!

Kitaeleweka tu.

Hiiii bagosha!
 
Mkuu unajua maana ya neno mesheni (mission). Au unatumia neno vibaya
 
Huyu nigga nae kaenda mamtoni
PicsArt_11-10-08.06.44.jpeg
 
Waulize jiwe, mpara magamba, Kachero Mbobezi na manguli wenzao wakwambie kama huyo alikuwa mke anasindikizwa?

Wenzio hata kula chakula hakipiti kufika tumboni. Maumivu mwili mzima.

Atafanyiza tokea Ulaya. Kina sisi tutabanana nao hapa hapa.

Chini nchale na juu nako nchale!

Kitaeleweka tu.

Hiiii bagosha!
Ni yeye katepeta
 
Wakati Tundu Lissu akiondoka nchini kwenda Ubelgiji kwa matibabu leo, amesindikizwa na mabalozi watatu ambao ni balozi wa Marekani, Ujerumani na Ubelgiji.

Washirika hawa watatu kwa hakika upo ujumbe wanaoutuma kwa serikali ya Tanzania.

Baada tu ya Tundu Lissu kuondoka nchini salama, balozi wa Marekani kwenye ukurasa wake rasmi wa Twitter ameonyesha kufurahishwa na tukio hilo. Aidha anasema kuwa Tundu Lissu anaelekea Ubelgiji kwa matibabu. "Nimefurahi kuwa hatimaye Tundu Lissu ameondoka salama kwenda Ubelgiji" amesema balozi huyo.

Tundu Lissu alibebwa ndani ya gari ya balozi wa Ubelgiji na msafara wao ulipita njiani kuelekea uwanja wa ndege bila kizuizi chochote kile.
Hatuhitaji kuhangaika na vibaraka wa wazungu sisi
 
Kwa Lissu kuondoka, Ccm na serikali mji pange. Kuna radi ina kuja. Tatizo la viongizi na washabiki wa Ccm wana ona mwusho wa pua zao.
Inawezekana wewe huoni hata nje ya macho yako ati radi inakuja ndio itakayompa lisu urais na kuwarudisha wabunge wa chadema bungeni hebu tueleze yale maandamano yenu ya nchi nzima bila kikomo yanaanza lini tena
 
Back
Top Bottom