Mabalozi wa CCM bado wanaandikisha watu

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,720
2,000
Mabalozi wa ccm bado wanaandikisha watu kwenye uchaguzi wa serekali za mitaa,wananchi wanajiuliza wamepata wapi hayo mamlaka wakati siku zilizowekwa na tume ya uchaguzi umeshaisha?
 
laiza

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
1,065
1,195
muongo mkubwa wewe unataka kuchonganisha na kuleta usumbufu tu.. Tume ya uchaguzi imekwishachukua orodha ya wapiga kura na ikaibandika kwenye mbao za matangazo vituoni leo unataka kutudanganya ati mabalozi wa CCM wanaandikisha watu..labda wakuletee wewe hayo majina mapya na uwaandalie kura wao peke yao..
Mabalozi wa ccm bado wanaandikisha watu kwenye uchaguzi wa serekali za mitaa,wananchi wanajiuliza wamepata wapi hayo mamlaka wakati siku zilizowekwa na tume ya uchaguzi umeshaisha?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom