Mabaki ya Buibui Yenye umri wa Miaka Milioni 165 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabaki ya Buibui Yenye umri wa Miaka Milioni 165

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by X-PASTER, Mar 22, 2010.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Mar 22, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Mabaki ya Buibui Yenye umri wa Miaka Milioni 165 yapatikana nchini China


  Mabaki ya Buibui yenye kukisiwa kuwa na umri wa Miaka Milioni 165 yaligundulika katika mkoa wa Kaskazini mwa China Daohugou ni moja ya mabaki yabuibui kongwe kupatikana hadi sasa. kama inavyo onekana kwenye picha mabaki hayo yamelindwa na kuifadhiwa kikamilifu. Paulo Selden, a paleontologist kutoka Chuo Kikuu cha Kansas, anasema, "Jinsi mabaki hayo ya buibui yalivyo ifadhika ni kwa namna ya kushangaza kabisa." (Archeology Daily News)[​IMG]
  Mabaki ya Buibui yenye umri wa Miaka 165

  Kama inavyoonekana katika picha hii buibui huyu aliishi miaka milioni 165 iliyopita hana tofauti yeyote na buibui wanaoishi hivi leo. Mabaki ya buibui huyu hayajabadirika kwa kipindi chote hicho cha miaka milioni 165, hii inamaanisha kuwa ile dhana ya nadharia ya mageuzi (theory of evolution), kuwa ni ya uongo wa wazi kabisa. Buibui huyu baada ya uchunguzi wa kina imeonekana kwamba ana sifa sawa na buibui wanao ishi hivi leo.

  [​IMG]
  Buibui
   
 2. O

  ODILI SAMALU JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2014
  Joined: Dec 13, 2013
  Messages: 1,261
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  duh noma sana
   
Loading...