Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Sasa wewe unajua jins ya kutibu hiyo case lazima uanze na whitefield( comb of salicyclic acid and benzoic acid) though lazima itam irritate sana hasa kweny hizo pumbu

Ukija kwenye skdem baada ya juu kugoma ni vizuri sana kwa maana ina combination of more different drugs(for fungal, bacteria, allergic) ila hata kinheal ipo vizuri kweny hyo case.
Hii sio dawa ya fungus, ni just anticeptic.

Mgonjwa, kwa maelezo yako naona unasumbuliwa na fungus aina ya Tinea ungium. Hapo naomba uanze na tube ya White field. Tumia 1x2 means asubuhi paka baada ya kuoga, then jion oga vzr kisha kausha eneo athirika kisha paka dawa. Fanya hivyo kwa wiki 2. Ukiona haujapona Nunua dawa ya SK Derm, fanya tiba kama awali.

Kama haukupona, waweza kunitafuta privately kwa ushauri zaidi.

NB: Zingatia maelezo ya tiba na usiruke siku. Ukivuruga utaratibu fungus huwa sugu na watakuwa wagumu kuwatibu again. Pia hakikisha usafi wa nguo zako za ndani na nje, pia hakikisha unakuwa mkavu muda wote.

Asante
 
Wanajamii,je ni dawa gani au ni tiba ipi inatibu fungus sugu zilizo sehemu za siri yaani ndani yanapoanzia mapaja kwenye maeneo alipo mzee wa kazi.Naomba ushauri
Pole sana kwa changamoto hiyo, tuwasiliane ufike ofisini au kwa ushauri, nikupatie matibabu kwa uhakika umalize changamoto hiyo ya bacteria hao katika sehemu za siri
0784969283
 
GOOD DAY ALL,

Habari ya week end members. Ninaomba kujuzwa dawa na matibabu ya tatizo la fungus (any kind of fungus) au kama kuna specialist wa hili eneo mnijulishe.

Binafsi ninatatizo la fungus ambao nikitumia dawa wanapotea wote na it takes about a month or two tatizo linajirudia. Nimetumia dawa nyingi na mara nyingi tu.

Msaada jamani.
Pole sana ndugu yangu, Tatizo hilo linatibika na kupotea moja kwa moja
Tuwasiliane kwa ushauri na matibabu
0784969283
 
Salute wakuu

Sifa na utukufu zirudi kwake Mola mlezi alieumba magonjwa na tiba zake ninayofuraha kubwa kuwashirikisha dawa rahisi iliyonitibu ugonjwa ulionisumbua kwa muda mrefu.

Ugonjwa wa fangasi umenitesa sana pamoja na kuwa usafi nilizingatia sana, chupi nilivaa za pamba, situmii sabuni nikiwa najisafisha sehemu za siri lakini bado niliendelea kuumwa.

Katika kusoma nikagundua shida ni goita niliyonayo,dawa nilishachoka kutumia hivyo nilifanya kujaribu tiba ya mtindi na kitunguu swaumu.Wale wenzangu wenye tatizo la fangasi sugu sehemu za siri naomba mjaribu tiba hii.
 
Salute wakuu
Sifa na utukufu zirudi kwake Mola mlezi alieumba magonjwa na tiba zake
Ninayofuraha kubwa kiwashirikisha dawa rahisi iliyonitibu ugonjwa ulionisumbua kwa muda mrefu

Ugonjwa wa fangasi umenitesa sana pamoja na kuwa usafi nilizingatia sana, chupi nilivaa za pamba, situmii sabuni nikiwa najisafisha sehemu za siri . Lakn wapi bado niliendelea kuumwa

Katika kusoma nikagundua shida ni goita niliyonayo,
Dawa nilishashoka kutumia hivyo nilifanya kujaribu tiba ya mtindi na kitunguu swaumu.

Wale wenzangu wenye tatizo la fangasi sugu sehemu za siri naomba mjaribu tiba hii

Mungu ni pendo
Hongera kwa kupona mkuu
 
Salute wakuu

Sifa na utukufu zirudi kwake Mola mlezi alieumba magonjwa na tiba zake ninayofuraha kubwa kuwashirikisha dawa rahisi iliyonitibu ugonjwa ulionisumbua kwa muda mrefu.

Ugonjwa wa fangasi umenitesa sana pamoja na kuwa usafi nilizingatia sana, chupi nilivaa za pamba, situmii sabuni nikiwa najisafisha sehemu za siri lakini bado niliendelea kuumwa.

Katika kusoma nikagundua shida ni goita niliyonayo,dawa nilishachoka kutumia hivyo nilifanya kujaribu tiba ya mtindi na kitunguu swaumu.Wale wenzangu wenye tatizo la fangasi sugu sehemu za siri naomba mjaribu tiba hii.
wewe ni jinsia gani?
 
Dalili zake
 
Similar Discussions

13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom