Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

fangasi.jpg
 
ha ha asante mkuu...unajua watu hawapendi kuwapa watu ukweli ulio wazi...watu wanaharibu pesa kilabkukicha ..lakini hawapon..kwa case study zilizofanyikainasemekani na sio kwamba inasemakana ni mwamba kila wanaume 10 unaowaona wanazungukazunguka bas jua wanaume 6 pale wana chronic fungal infection na haziponi...
unajua ni mini...pharmacy industry wanzalisha dawa kulingana na pesa uliyonayo wwe..ni sasa saw na kusema mchina antengeneza bidhaa feki. ..sio kweli hata kidgo kinachofanyika pale ni mwamba bidha za ubora wrote zinatengenezwa na ukitaka simu ya laki 9 mchina anakutengenezea ukitaka ya 20 mpka elfu 5 IPO but kama ukijua simu ya laki 9 na ya elfu 20 nivtofaut hata displaying system Zke ni tofaut..ya laki 9 utakuwa inatumia android Naughaty 7 au lollipop 6 lakini ya laki moja na 50 utakuwa INA android displaying system 4.0 mabyo ni sandwich ai ice cream na jins zinvodisplay ni tofaut lazima ya naughat 7.0 itakwa vizur ..
kwa hiyo hata dawa ni hivo hata ARV zipo katika grade tofaut so zipo za kunywa kila siku nz zipo za kumeza Mara moja kwa mwaka au moja wa mwezi au Mara moja kwa miaka 5 but ni xo expensive...so kadri unavotumia kitu kila siku kwa mfano dawa ujue effects take ni kubwa na hata fungal nap wana dawa zake kulingana na stage walipi..unakuta MTU ameanza kutumia mafuta ya break kujipaka lakini hakuna akahamia kwenye dawa ya MBA ile ya blue hakuna akarudi kwenye cream tube hakuna tu akarud kwenye vidonge hakuna tu ...yan pale fangus anadevelop drug resistant na hatakuja kuisha kwa dawa za buku buku...kumbuka hizo kuna dawa za 2000 kidonge kimoja utalinganisha na za hero hero box zima...

miez kadha imepita nilikutana na kijana mmoja ambaye kahangaika sana kutafuta dawa za nguvu za kiume anadai hana uwezo wa kuzalisha na ni kweli kapimwa speem count hospital akakutwa na low aperm count na hilo ndo tatizo jingine LA upungufu wa nguvu za kiume...

kwanin chronic fungal infection wa sehem za siri wanasababisha upungufu wa nguvu za kiume..??

the reason ni kwamba ..unajua sperm za mwanaume zinatengenezwa katka joto chin LA joto LA mwili I mean zinatengenezwa chini ya joto LA 37°c yan jotolinalohitajika kwenye via vya uzazi ni around 35°c yan pale sperm ndo zitatoka imara ndo mana mungu wa ajavu katuumbw huku korodani zetu zikiwa nje ya mfumo wa skin contact kuepusha effect ya joto LA mwili LA 37°c ktaka sperm production...
bas unapopata fungal infection sehem za siri kwa muda mrefu na kwa kuwa kunatokea muwash wa hatari kule chino...bas joto linapanda kwenye korodani na sehem za siri kwa ujumla na kumbuka MTU kwenye chronic fungal infection sehem za siri joto LA Kyle huwa linapanda mpka kufikia 40°c kitu ambacho kinafanya abnormal sperm production na kufanya mbegu zinazozinazotengenezwa kuwa hazina sofa na zingine kukosa mikia (sperm tail) za kuzifana ziogelee mpka kwenye fallopian duct sehem ambapo ndo area of fertilization ..badae kuzifanya sperm kushindwa kufika eneo husika na kwa wakati...so pale ndo unakuta MTU analalamika mbona natoa sperm tena kibaba lakini make wangu hazai...kumbuka Yale ni maji maji sperm zimo ndani and you can't observe them by your naked eye...

so tukikupima tunachunguza kwenye sperm na kugundua zime zingine ni abnormal hazina mikia...ndo mana huna uwezo wa kuzasa...

bas bad a ya kumchunguza yule kijana na kmhoji maswali ya kisaikolojia nikagundua na alinieleza ukweli kuwa ana fangus sehem za siri kwa muda wa miaka 6 na hazijawah kupona..na aliniambia watu wamepiga hela kwake kinyama na kila dawa kutumia lakini wapi...

bas nikamwobea huruma sana nikawa nimemwwlekeza cha kufanya na bad a ya miez 3 akarudi na feedback kuwa tayar make wake alikuwa kashabeba kitu ...hakuamini...but in short nilimpa maelekezo ya jina ya kuzikomeskuzikomesha zile jamaa na badae nikampe ushaur wa nutrition ili kuboost sperm quality na production kwa kutumia vyakula vya kawaida na badae mungu si athumuni he is good kabisa...

so my dear bro's na cctaz tatizo LA fungas ni hatari ukilizembea ndo linaloua kizazi kwa haraka zaidi...

be a were how to accomplish the task...
Unatiririka kwa point lakini keyboard ya yako haiko sawa nakushauri mkuu download nyingine isiyounganisha maneno. nitaku PM.
 
asante kwa tiba ngoja na mm niijaribu hyo then ntaleta majibu fangasi wanansumbua sana nna madao meupe mgongoni,usoni,kichwani. fluconazole zmedunda antifangal za kupaka zmegoma naona hii ya septrin itanifaa.
 
I'll oopi9k PO pool Pk POO PO PO PO PO PO OK PO OK OK ppl ppl polo
Kp0ok OK 9
OK o
 
9
asante kwa tiba ngoja na mm niijaribu hyo then ntaleta majibu fangasi wanansumbua sana nna madao meupe mgongoni,usoni,kichwani. fluconazole zmedunda antifangal za kupaka zmegoma naona hii ya septrin itanifaa.
V in ilk OK OK OK OK OKghiplpo8ii.oopjli7i9ll OK8oii pop up99i OK OK OK OK OK j
 
Pole sana Mfianchi!

Ushauri bora kabisa ni kwenda kumuona dk. ingawaje watu wengi huwa na aibu kwenda kwa dk hasa linapotokuwa ni swala la mambo ya siri.

Pia inawezekana kabisa ukwa na tatizo la Candidiasis ambalo ni tatizo sugu miongoni mwa jamii. Kitu cha kufanya
jaribu kuwa msafi (kama alivyoshauri na mjumbe hapo juu)
Jaribu kuvaa nguo zisizo bana, ili kuweza kupata hewa na kufanya sehemu iwe dry,
Jaribu kama ikiwezeka kupaka powder (hii itakusaidia kukeep sehemu kuwa dry)
Hunapo onga hiyo sehemu iliyoadhilika (sehemu za sir) Husikutumie sabuni kwani soap ina bacteria fulani wanao huwa wadudu wa kukusaidia kuzuia hiyo fungal. (hapa onga kama kawaida osha na maji na baada ya hapo jipanguse vizuri tu,
Kama una partner wote wawili tumieni dawa na msijaribu kufanya tendo la ndoa mpaka hapo itakapodhibitishwa wote mmepona.
Dawa za kutumia mara nyingi kwa Candidiasis ni Clotrimazole, Ketoconazoleand .... ila ushauri zaid nenda kwa Dk, au nenda Laboratory kapime na peleka majibu kwa dk au kwa Pharmacist na utapa dawa nzuri tu.

Alinda
Samahan hzo dawa znauzwaje
 
Kuna dawa inaitwa Femicare ninayo mimi nauza na imesaidia had mke wangu kupona kabisa hata kwa wakaka inatibu vizuri tu...phone no.0716753534 nipo Dodoma
 
Habari, ni matumaini yangu hamjambo sana.

Niende moja kwa moja kwenye mada: Hali hiyo imenikuta ya kuwa na michirizi kama kupitiwa na Nairobi fly sehemu za siri pembeni kutoka kwenye centre ya UUME.

Nimeenda hospitali walipima walipatia dawa ya allege pamoja na ya kupaka ya fungus. Hali hii ilipotea kwa kipindi cha miez 6.

Pia ukifikicha zinatoka pumba na kunawasha.

Pia nimetoka kwenye soft water nimekuja kwenye hard water.

Msaada jamani wataalam!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom