Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Wr
Wengi tunashindwa kutofautisha ndimu na limao.? Mikoani tumezoea limao na pwani ndimu. Lakini kunatofauti ya ndimu na limao.
Tufahamishe vizuri ulitumia ndimu au limao
Wewe sasa ndio hujui kitu mimi ni mzawa wa Pwani na Kiswahili kinapotumika sana ndimu na limao ni matunda mawili tofauti ila yana kazi moja inayofanana ndimu ni ndogo ndogo na ziko soft malimao ni makubwa yana size ya machungwa na ngozi yake ni ngumu.

Kwa matibabu, yote yanafaa, malimao na ndimu.

N.B waswahili hasa tunaita limau na sio limao.
 
Wewe sasa ndio hujui kitu. Mimi ni mzawa wa Pwani na Kiswahili kinapotumika sana. Ndimu na limao ni matunda mawili tofauti ila yana kazi moja inayofanana. Ndimu ni ndogo ndogo na ziko soft....malimao ni makubwa yana size ya machungwa na ngozi yake ni ngumu.

Kwa matibabu, yote yanafaa, malimao na ndimu.

N.B...waswahili hasa tunaita LIMAU na sio LIMAO.
Nakwa wanawake wanaowashwa wao wafanyeje? Hasa maeneo nyeti ushauri Tafadhali
 
Hao fungus umewatoa au umetuliza muasho, unaweza kuwa na fungus wala wasiwashe lakini wapo
 
Swali pacha pia, mie nahisi shahawa zangu zina fungus kwani nimwingiliapo hubby wangu nakumwaga shahawa ndani yake hulalamika kuwashwa sana ukeni, je tatizo ni nini? Nifanyaje kutatua tatizo hili? Ila mi binafsi sihisi muwasho wowote!
 
Aisee ulichokiandika umekielewa kweli mkuu? Au unamaanisha nini ili ueleweke vzr
 
Swali pacha pia, mie nahisi shahawa zangu zina fungus kwani nimwingiliapo hubby wangu nakumwaga shahawa ndani yake hulalamika kuwashwa sana ukeni, je tatizo ni nini? Nifanyaje kutatua tatizo hili? Ila mi binafsi sihisi muwasho wowote!
Huby unamwagia shahawa tena? Wewe ni shemale au
 
Swali pacha pia, mie nahisi shahawa zangu zina fungus kwani nimwingiliapo hubby wangu nakumwaga shahawa ndani yake hulalamika kuwashwa sana ukeni, je tatizo ni nini? Nifanyaje kutatua tatizo hili? Ila mi binafsi sihisi muwasho wowote!
Haya mambo ya kuiga bila kuelewa hutuumbua vbya sana
 
Swali pacha pia, mie nahisi shahawa zangu zina fungus kwani nimwingiliapo hubby wangu nakumwaga shahawa ndani yake hulalamika kuwashwa sana ukeni, je tatizo ni nini? Nifanyaje kutatua tatizo hili? Ila mi binafsi sihisi muwasho wowote!
Hivi uko serious au unatuzingua????
 
Salaam wadau,
Kwa kweli JF imekuwa na msaada mkubwa sana kwangu binafsi. Nimejifunza vingi hapa.

Mojawapo ya mambo mazuri niliyojifunza hapa ni dawa ya kutibu fungus za sehemu za siri za wanaume. Sehemu iliyojibana kati ya mapaja na mfuko wa korodani. Niseme ukweli nimwtumia dawa nyingi sana lakini tatizo likawa linapona na kurudi.

Nilipoingia hapa kutafuta dawa nikakutana na maoni ya watu wakisema ndimu au limao ni dawa pia. Ukweli nilipoitumia ilinichukua siku 7 tu kupona. Ni sawa na ndimu 7 tu nilizonunua kwa bei ya sh 100 kila moja. Napata kipande asubuhi na kipande jioni.

Hakuna muwasho tena, hakuna kunuka tena, hakuna kubadilika rangi ya makende wala kutokuwa na confidence siku ukiwa faragha na mwenza.

Jamani nashauri dawa ya bure kabisa unapona. Si gharama na ni rahisi kutumia na inapatikana kila mahali. Sasa nimejiweke ulinzi wa kupaka kila week angalau mara 2 kuhakikisha hazirudi tena kabisa.

Zingatia: usafi ni muhimu sana na epuka unyevu nyevu wa aina yoyote. Ikiwezekana anika taulo lako juani kila baada ya kuoga. Au tumia taulo kavu muda wote.
 
Mkuu sijaelewa vizuri nielekeze
Hivyo vipande asubuh na jioni ni kwamba unapaka sehemu husika ama unakula!!
 
Nachukua jitu linashauri kamuone daktari,sasa huo ushauri gani? Wewe manake sio suluhisho umefeli,swain
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom