Carnivora
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,651
- 5,987
Wewe sasa ndio hujui kitu mimi ni mzawa wa Pwani na Kiswahili kinapotumika sana ndimu na limao ni matunda mawili tofauti ila yana kazi moja inayofanana ndimu ni ndogo ndogo na ziko soft malimao ni makubwa yana size ya machungwa na ngozi yake ni ngumu.Wr
Wengi tunashindwa kutofautisha ndimu na limao.? Mikoani tumezoea limao na pwani ndimu. Lakini kunatofauti ya ndimu na limao.
Tufahamishe vizuri ulitumia ndimu au limao
Kwa matibabu, yote yanafaa, malimao na ndimu.
N.B waswahili hasa tunaita limau na sio limao.