Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Naomba kusaidia kidogo:
Tatizo lako laweza kuwa ni fungus wanaosababisha Tinea cruris na huwashambulia zaidi jinsia ya me. Hawa huanzia kwenye scrotum na kusambaa mpaka kwenye groin wakati mwingine mpk matakoni.

Kikubwa ni kuzingatia usafi wa hali ya juu sana i.e fua boxer kila siku na suruali zako ziwe safi always as uchafu hubeba spores ambazo hu-hatch na kutengeneza uyoga huo. Pia epuka ngono kipindi cha matibabu maana utamuambukiza mwenzako mkigusana naye atakuambukiza mkirudia tendo!!!

Matibabu: tumia tabs za Griseofuvin 500mg/siku mpaka upone. Hii dawa hutumika kwa muda wa week 4-6. Kila siku means utumie 500mg kila baada ya masaa 24.

Dawa nyingine ni Terbinafin, itraconazole au fluconazole.

Onyo: usikatishe dawa hata kama kuna dalili za kupona, hakikisha unamaliza dozi. Hii itakusaidia ugonjwa kutojirudiarudia.

Pole sana!
 
Habari zenu wandugu,ninatatzo ambalo ni zito na kero kwangu kama linavyojieleza hapo head above,ninatatizo hilo la kuwashwa kwenye korodani na kutokewa na ukungu katika eneo hilo kwa muda mrefu.

Sasa na nishatumia kila aina ya dawa za hospitali na dawa za kisuna znazopatikana katika maduka ya dawa za asili za kiislam lakini napata afadhali kwa wiki moja ama mbili then tatizo linajirudia.

Naombeni msaada wenu ninasumbuliwa na hili tatizo kwa muda mrefu sasa yaweza kuwa hata ni mwaka na nusu sasa,naombeni msaada wenu tafadhalini ndugu zanguni

Nenda pharmacy kaulizie Dawa inayoita [fungifen].hakika tatzo lako litaisha Kabisa.me mwenyewe nilipatwa na tatzo Kama lako ila asahv nipo vizuri.vile vile ukioga uwe unajitahidi kukausha map*mb* kwa taulo/kitambaa.kisha ndio uvae nguo yako ya ndani.vile vile hakikisha nguo ya ndani isiwe imeloa au kuwa na unyevu nyevu wowote.pia jitahd nguo ya ndan uwe unavaa kwa siku Moja then unavaa nyegne.
a98f202d4b8fbd84e7320960fbf3a0e6.jpg
 
Shukran sana kk ntafanya hvyooo
sio lazima kupima ngoma kama hujawa tayari,
hii fungus ina tabia ya kutopona kwasababu iko deep mwilini,kwahiyo ukitumia dawa ya kupaka inakusaidia kwa mda tu,ukiacha inarudi,ni kwaszababu hawa fungus aina ya yeast wako mwilini,
kuna vyakula kama sukari vinatrigger hawa fungus,
pombe ,etc,
kuna vidonge vya kumeza,lakini kikubwa angalia diet yako
 
Kama unaogea maji ya chumvi sana itakuwa pumbu alafu hujifuti mwili ukakauka vizuri hiyo itakuwa pumbu erosion
 
Tulia kijana, hii kitu ishatolewa ufafanuzi hapa na sie wajanja huwa hatukulianzishia uzi, zaidi tulilitafuta na tukajipatia tiba ya bei ndogo kuliko ya milele naweza nasema hivyo, maana ilo tatizo lilikua sugu lakini sasa ni history

Nenda duka la dawa kanunue seprine za 1000 then nunua mafuta baby care ndogo kuliko zote

Saga ile seprine yote iwe unga uchanganye na baby care

Anza kupata
Je kama kwenye damu inaweza kusaidia
 
Anitafute nitampa dawa nzuri sana ya kichina ambayo nampa wiki moja tu fungusi kwisha nipigie simu 0715722442 0784722442 0755888215 WhatsApp bei in 25'000/- nimetibu wengi.Doctor.Adam
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom