funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,559
- 21,036
Unaitumiaje mkuu
Unapaka tu chumvi ya unga sehemu yenye tatizo. Hakuna bacteria wa fangus anaye survive kwenye chumvi ndio maana hata samaki ukimweka chumvi haozi bacteria wote wanakimbia
Unaitumiaje mkuu
Kuna tofauti ipi kati ya kanga na tauro?Dawa ya kudumu ni kuacha kabisa kutumia taulo, au kama ukiamua kuendelea kulitumia lazima uhakikishe kuwa unalianika nje kila linapotumika. Ila nakushauri usilitumie kabisa tumia kanga tuu.
Hzo dawa njengine ni za muda tuu.
haya mafuta watu hawaelewi umuhimu wake lakini ni mafuta safi sana aisee, kwa ngozi na tiba mbali mbali, nahisi hata ebitoke hupaka yale mafutaMkuu nilipata tatizo kama lako, mimi lilinipata kwenye dushe, nikaamua kwenda hospitali wakanipa dawa na kuniambia sio ugonjwa wa zinaa ila ukikutana na mwenza ambaye sio msafi anaweza kukuletea fangasi.
Nilitumia dawa za hospitali bila mafanikio, kama ilikuwa inazidi, bahati nikawa nasoma sana google.
Nikaona sehemu wanayasifia sana mafuta ya nazi, wakasema ni tiba ni kubwa, wiki tu nikapona kabisa kabisa.
Ni nzuri sana hiyo dawa shida yake sisi wa bila bia usingizi ni shida inakuwa mtihani kweliKuna dawa moja nilipewaga na docta inaitwa gresefulvin ya vidonge, spell huenda nimekosea. Pamoja na gentrisone ya kupaka. Hii ya vidonge dozi yake ni mwezi 1. Kwa Mimi ilinitibu vizuri sana. Dozi ilikuwa sh. 3500/
ingawa hainihusu nahisi ni yale natural ya bila kemikali yoyote, zanzibar yako mengi sana na bei rahisi sana, chupa la lita na nusu elf 3 tuKaka hayo mafuta ni yale wanayonunua dukan au ya kutengeneza mwenyewe na kama ni ya dukan ni aina gani maana kuna kampuni nyingi zinauza mafuta ya nazi
tauro ndio nini au ulimaanisha tauloKuna tofauti ipi kati ya kanga na tauro?
Duh!pulizia rungu
Dawa ni nyingi inategemea na severity ya ugonjwa..tumia vidonge vya Griseofulvin au ketaconazole au FluconazoleJf doctor naombeni kujua ni dawa gani inatibu fangasi za sehem za siri.... Maana nna fangasi mpaka mkojo unatoka una rangi ya njano
Taulo....... Kwani taulo linasababishaje kwann asilitumie?tauro ndio nini au ulimaanisha taulo
Hahahahaha mkuuu kweli umenikumbusha.....ila unajua hii dawa inakua Kali ile siku yakwanza yamatumizi.Mkuu mshauri awe na feni kabisa maana anaweza hisi pumbu linanyofoka
The mason ninatatizo kama hili kk ulitumia dawa gani mzeeJamani wanajamii naomba mnisaidie mwenzenu haraka sanaa...Ni hivi siku za karibuni nimekuwa na tatizo kwenye ngozi ya korodani (scrotum) tatizo lenyewe ni kwamba hiyo ngozi inakuwa ngumu kidogo ya kujikunja na inawasha sanaa kiasi kwamba ukikuna unahisi rahaa.
Na kibaya sahivi naona imeanza kubabuka yaani kama ile nyoka akifa ile ngozi inavyotoka na haitoki na nyama wala nini.
Sasa wajameni nauliza hili ni tatizo ganii? au ni Fangas??? na situmii dawa yeyote mimii au ni Joto la DSM maana mm Wa Arusha.
PLease help me peoples!
Naomba kusaidia kidogo:
Tatizo lako laweza kuwa ni fungus wanaosababisha Tinea cruris na huwashambulia zaidi jinsia ya me. Hawa huanzia kwenye scrotum na kusambaa mpaka kwenye groin wakati mwingine mpk matakoni.
Kikubwa ni kuzingatia usafi wa hali ya juu sana i.e fua boxer kila siku na suruali zako ziwe safi always as uchafu hubeba spores ambazo hu-hatch na kutengeneza uyoga huo. Pia epuka ngono kipindi cha matibabu maana utamuambukiza mwenzako mkigusana naye atakuambukiza mkirudia tendo!!!
Matibabu: tumia tabs za Griseofuvin 500mg/siku mpaka upone. Hii dawa hutumika kwa muda wa week 4-6. Kila siku means utumie 500mg kila baada ya masaa 24.
Dawa nyingine ni Terbinafin, itraconazole au fluconazole.
Onyo: usikatishe dawa hata kama kuna dalili za kupona, hakikisha unamaliza dozi. Hii itakusaidia ugonjwa kutojirudiarudia.
Pole sana!
Shukran sana kk ntafanya hvyoookapime hiv maana kuna uhusiano wa karibu kati ya hiv na fungus (ukungu)
Tena kama zinajirudia baada ya kutibu cheki mkuu